Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

KUNA WACHEZAJI WAMERIDHIKA HAWATAKI KUBADILIKA. “Kuna wachezaji wameridhika hawataki kubadilika hauwezi kuwa timu kubwa kama Yanga na akili yako haitaki kwenda mbele Kuna wachezaji Wapo Yanga...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Kocha wa Yanga akumbushwe kwamba TP Mazembe siku zote wanacheza mpira wa kujiami sio ugenini au nyumbani kwa hiyo akija na mpira wake ule wa kutafuta possession na kushindwa kupeleka mashambulizi...
7 Reactions
36 Replies
3K Views
Wakuu, Hivi kweli tumeshindwa kutunza huu uwanja? Usafi wa vyoo na maeneo mengine imekuwa tatizo sugu lakini aibu kubwa zaidi ni sasa hata pitch imetushinda. Ni aibu National Stadium nyasi...
18 Reactions
78 Replies
6K Views
Ndugu zangu sioni ni jinsi gani Yanga atamfunga giant TP Mazembe hapo Jumapili. Kwa aina ya uchezaji wa Yanga wa kutegemea goli kipa afanye makosa ndio washinde siioni hiyo nafasi Jumapili.
15 Reactions
121 Replies
9K Views
Kwa sasa ukiambiwa utaje top ten midfielders... unaweza weka Nani ukaacha Nani?.. 1. Debruyne 2.Caisedo 3. Tchoumeni.. 4. Jude Bellingham. .5. Musiala.. 6. casemiro 7.Ordegaard . 8. Rodri...
8 Reactions
53 Replies
2K Views
Hawa jamaa wanalipana mishahara kwa wiki. Wataalam wa mahesabu njooni mtuambie kwa pesa zetu za kizalendo Ni Kama shilling ngapi? Wataalam wa michezo njoo mtwambie tunafanyaje na sisi tufike huku?
3 Reactions
65 Replies
9K Views
“Simba imepungua ubora kidogo, lazima tuwe wakweli. Kwanza kuna nyota wetu ambao ubora wao umepungua kidogo kwa sababu ya kuchoka, wamefanya kazi kubwa kwa miaka 5, wamecheza sana kwa miaka yote...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Kutoa motisha mbalimbali kwa Wanamichezo imo kwenye Ilani ya CCM Rais Samia amefanya jambo jema na Ndio sababu Simba na Yanga zikawa na morari ya hali ya Juu ya kutafuta magoli Kwaresma njema!
1 Reactions
2 Replies
286 Views
Waswahili walisema Ukipanda mchicha usitegemee kuvuna mahindi. Huu ni usemi Ambao unadhihirika kwenye timu yetu ya Simba. 1. UBAHILI 2. KIBURI 3. KUTOKUSIKILIZA USHAURI Hakuna timu Ambayo...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Huu ni weledi gani kwa TBC? Iweje mtumie matukio ya Simba kuhusianisha na ushirikina? Mmekosa namna bora ya kuwasilisha habari yenu bila kuitaja Simba? Bila shaka mtalifanyia kazi na kuwahoji...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania bara Young Africans jioni ya leo majira ya saa 10.00 watashuka katika dimba la Benjamin Mkapa kumenyana na Kinondoni Municipal Football Club ( KMC ) katika...
9 Reactions
150 Replies
11K Views
Mpaka sasa ni kama hamueleweki nani hasa mnamuangushia jumba bovu au mnamtoa kafara kuhusiana na matokeo mabovu ya timu yenu. Ni kama hamuelewi nani hasa anahusika na matokeo mabovu ya timu. Wapo...
4 Reactions
7 Replies
442 Views
Ni wachache wanaofatilia mchezo huu ukilinganisha na michezo mingine. Kitu ambacho wengi tunachofikiria ni mchezo kama mchezo wa mbio za magari. Ni kweli ni moja ya mbio za magari ila mchezo huu...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Kwa namna hali ilivyo tu, ukiangalia unagundua kila kitu kuhusu Simba SC hakiendi sawa tangu miezi ya mwisho ya Barbara kuelekea kuondoka Msimbazi. Ni kama Mo kasusa timu, wachezaji hawana mori...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu, Matokeo ya weekend yametuvuruga Simba kuanzia mashabiki, wachezaji, makocha hadi viongozi! Ni kama hakuna anayejua tumekosea wapi. Kuna tetesi mitandaoni kuwa kocha Robertinho amepewa...
24 Reactions
71 Replies
5K Views
Katika mechi nzuri kila upande umepata unachostahili japo tulitamani kupata zaidi lakini haikua hivyo!!! Well done boy’s 👏 jasho lenu limevuja kuipigania Simba lakini mambo yamegoma Hongereni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Gunners wenzangu, huu takribani msimu wa4 tumekua tunaikosa UEFA, ukiangalia kipindi cha Wenger hatukua tunakosa. Match ya Jana dhidi ya liverpool ndo imekata tumaini kabisa. Tatizo ni...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Kama unajua Mpira, unajua fitina za Mpira utajua wazi kuwa Mgunda ndie anayemshauri vibaya Mbraziri ili aharibu timu, kifupi anaharibu timu kwa tamaa za muda mfupi. Falsafa alizokujanazo Mbrazili...
8 Reactions
34 Replies
2K Views
Djigui Diarra anarejea kileleni kwa cleansheets kwa mara ya kwanza msimu huu. [emoji3544]Djigui Diarra (Yanga Sc) Michezo 16 Cleansheet 10 [emoji3544]Aishi Manula (Simba Sc) Michezo 18...
4 Reactions
62 Replies
4K Views
Baada ya kipindi kireeeefuuuuu cha kukalia usukani hatimae Arsenal wameshushwa leo na Man City. Je, ndio basi tena au watarudi?
9 Reactions
37 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…