Tangu ujio wa huyu Kocha Robertinho Simba kiwango chake kinazidi kwenda chini.
Tukumbuke Kocha wetu Mgunda hatukufungwa mechi yoyote kwenye kampeni ya kuingia makundi ligi ya mabingwa Afrika...
Habari wanamichezo.
Hivi karibuni zimeibuka tetesi Simba SC wanahitaji kuajiri kocha mkuu na kocha anaepewa nafasi kubwa ni yule Mbrazil wa Vipers.
Kwa mtazamo wangu naona Simba SC wanajiandaa...
Baada ya kupatia utabiri wangu wa wiki iliyopita leo tena nawasogezea utabiri wa mechi za weekend hii kwa wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya kimataifa.
Simba ambayo inashuka dimbani leo...
Yakiwa yamebaki Masaa yasiyozidi therathini kwa Timu zetu za Kariakoo kurusha karata zao katika mashindano ya kimataifa, ghafla nazinduka usingizini baada ya kuyakumbuka maneno ya mzee mmoja...
1. Mruhusuni aje na Wasaidizi wake na siyo atakaowakuta.
2. Mkitaka asaidiwe na Mzawa mtafutieni Mtu tofauti na Mgunda na Matola.
3. Maamuzi yote ya Kiufundi ndani ya Klabu yetu aachiwe Yeye na...
Wakuu
Siku ikitoka ahadi ya pesa tafadhali tuchague watu wa hayo makabila wakapambanie kombe muone kama hawashindi.
Pesa umuahidi mchaga aiache? Kwa mbinu zozote lazima aipate. Umuahidi muha...
Simba atakufa 1-0 wakati Yanga atakufa 3-0.
Huu ndio utabiri wangu kuelekea ufunguzi wa mechi za ligi ya mabingwa pamoja na shirikisho Afrika kwa ngazi ya makundi. Simba na Yanga watapoteza mechi...
Its Super Saturday!!
Ni banduka bandua katika ligi ya mabingwa Africa leo.
Vibonde wa kundi C, Vipers SC ya Uganda leo watashuka dimbani pale St. Mary's Stadium, Kitende kuwakaribisha Horoya AC...
Kwa kweli nimekuwa nashangazwa sana kuona gari la zimamoto hapa bongo kila wakati mechi zikiwa zinachezwa, sasa najiuliza la nn badala ya kuweka ambulance nadhani ni chombo husika.
Nasikia kuna...
Ndiye mchezaji pekee anayejituma sana hapa Yanga. Na Aziz Ki naye anajitahidi. Ila michezaji ya ndani imezubaa sana. Huoni hata ikiumia tunapopoteza points.
Nimependa Hersi jinsi ambavyo amepiga...
Imekuwa ni kawaida kwa wanadamu kufanya Dua/Sala zao za mwisho pale mauti yanapowakaribia. Hivyo Kwa mwana Simba yeyote aliyepo mahali popote muda ndio hivyo unayoyoma hebu mgeukieni Mola wenu kwa...
Nimeangalia game ya Mamelody Vs Cotonsport. Mamelody wametimia kila idara aisee. Wachezaji wapo sawa kuanzia akili na miili.nimefatilia nikagundua wachezaji wa Mamelody sio wachezaji wa bei rahisi...
Nasikia mama katoa milioni 5 kila gori ila kiukweli hizi timu zikiwa ndani hapa unasema ni bora ila zikiwa nje ni mbege ya moshi.
Tunaitaji kufumua soka la ndani kwanza tutaendelea hivi hivi...
Naona zimeanzishwa nyuzi nyingi humu za utabiri wa Raja kumshushia Simba kipigo, binafsi pamoja na ushabiki wangu wa Yanga lakini inapofikia mechi ya kimataifa uwanja wa Mkapa kwa timu ya Simba...
Tangaza kwa wana simba wote
Leo hakikisha umekula na kushiba vizuri
Na ukiona kama unaumwa naomba usiende kuangalia mpira
Sina mengi ya kuwambia ila nitacheka tu kidogo...
Ukiitazama Yanga vizuri utagundua kuwa timu inamatatizo mengi ndani ya uwanja kuliko ubora na sifa inazopewa. Kwanini? Naomba unifuatilie kwa makini.
1. Kuwa na mabeki wafupi eneo la kati ni...
Oy wanangu nilikuwa napitia pitia misimamo ya ligi tofauti nikakutana na serie A aseee
Moto wa napoli ni wa kuweka mbali na watoto yaani 23 games 62 pts khaa asee hii nongwa sana team ya pili...