Habari Wakuu,
Kuelekea Mechi za CAF CHAMPIONS LEAGUE kesho tarehe 2 December, Matokeo yatakuwa kama Yafuatavyo,
Yanga vs Al Ahly (Yanga Atashinda)
Jwaneng vs Simba (Itaisha kwa Draw)
Tp...
Habarini wakuu,
Mechi kati ya Mc Alger vs Tp Mazembe,
Al Hilal vs Yanga
Hizi mechi CAF waziangalie kwa jicho la ukaribu zaidi na la kijasusi zaidi wakitega mitego yao kuna Mtu atanaswa na ndo...
We jamaa pamoja na kwamba unachezea utopolo nimekupigania sana ili timu yako isilalie fursa zinazokujia. Niliwahi kusema ukipunguza wenge wewe ndiyo unaenda kuchukua mikoba ya kina Samatta na...
Huyu dogo alikuwa na kipaji sana. Sana walimwita Messi. Ramadhani Singano. Alipotelea wapi? Anafanya nini kwa sasa?
Kizazi chake katika soka ni akina Mohammed Hussen kama sijakosea. Hawa...
Ili Yanga iweze kufuzu hatua ya robo fainal basi ndiyo timu inayohitaji maombi zaidi kwasasa.
Maneno hayo yamesemwa na Wilson Oruma a.k.a Mzee wa Jambia
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, haya mashindano ya mpira huko visiwani maarufu kwa kombe la mapinduzi huko Zanzibar kushirikisha timu za mataifa mbalimbali kuliko mtindo wa zamani...
Naam, Tanzania tunaenda kuwa sehemu ya wenyeji waandaaji wa CHAN 2025.
Ngoja niwaambie,
Haya mashindano ndio size yetu kwa 100% tukiwa serious kama tulivyokuwa serious wakati mashindano haya...
Feisal 'Fei Toto' Salum - Azam FC
Katika dirisha la usajili la kiangazi Julai 2024, Fei Toto alihusishwa na klabu kubwa Afrika kama Mamelodi Sundowns na Kaizer Chiefs kutoka Afrika Kusini...
Habari wapendwa naomba niwaambie ukweli wanao simamia timu ya Taifa kule Mapinduzi Cup mnatuonea sana Wa Tanzania,timu IPO chini ya kiwango,wachezaji wabovu,kocha mmbovu hivi kweli mnashindwa kuwa...
Nimemuona ktk video moja akiwa msikitini siku ya ijumaa. Allah amjaalie adumu ktk ibada.
Waliokaribu nae wamshsuri asikubali tena kumvisha jezi yule dada siku ya Yanga Day.
Dini yetu inakataza...
Samahani wakuu kama ww ni Mtanzania unayeishi hapa hapa tz unawezaje kucheza lotto online ya nchi za nje kama USA, Australia,UK ?
Sent from my Pixel 3 XL using JamiiForums mobile app
Za ndaaaaaaaaaaaaaaaani, Ibenge amepigiwa simu akiombwa sare ili fainali iwe kwa Mkapa.
Daaah nimesikitika sana, Ibenge kawajibu atawapa majibu ndani ya siku 2 lkn wajiandae kumwaga mzigo...
Dar es Salaam. Mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize (20) amechaguliwa na shirikisho la soka Barani Afrika (CAF) kuwa mchezaji bora wa wiki baada kuisaidia Yanga kupata ushindi wa mabao 3-1 dhidi...
Mnyama Simba aliongoza kundi mbele ya mabingwa wa kihistoria Al Ahly katika Ligi ya Mabingwa Afrika.
Mambo kama haya ni wakubwa wa kazi tu, timu yako kama ina watoto wanaopaka rangi nywele huwezi...
Nimesikitishwa Sana Kusikia eti Simba imeifunga timu ya Madrasa huko Tunisia CS Sfaxien...! Hawa jamaa ni Mabingwa mara nne wa michuano ya CAF miaka ya karibuni.
Hawa wanaosema hivyo, ndo Wale...