Ustaadhi wetu kashamaliza mchezo. Mchezo ulikuwa ngumu kutokana na Simba kuwa wana timu nzuri lakini kwa mipango hii tumewashika pabaya. Mzee Mpili alitimiza malengo akapata changamoto kidogo...
Hii ni kutokana na kulaumiwa sana na mashabiki kwa kutolewa Klabu Bingwa Afrika. Kosa lililofanyika ni mashabiki wao kudanganywa na kuwa na matarajio makubwa mno.
Kwenye soka kuna wavakati...
USHAURI:
Kwa mabosi na wadau wa hapo Chamazi akina Saidi, Omary, Hashimu Ibwe, Zakaria (ZakaZakazi) na wengineo mnataka kujua umafia na kufanya mageuzi kwenye timu yenu basi msajili kocha mzawa...
Siku ya leo Derby kati ya wababe wawili Simba dhidi ya Yanga itaweka rekodi ya kushuhudiwa na kufuatiliwa na makocha wa timu 16 za Afrika.
Mchezo huu muhimu utashihudiwa na Kocha wa Club Africain...
Nimekuwa shabiki wa Mayele sana lakini kwa wakati huu anazingua. Yanga wanahitaji mshambuliaji mwingine ambaye atachukua nafasi Yanga.
Fiston amekuwa mchoyo sana, pia anashindwa magoli ya wazi...
Moja kwa moja.
Inakera sana unakuta upo kibanda umiza mnaangalia mechi mtu anaanza kushangilia goli kabla ya mpira kuingia wavuni au mtu anahadithia tukio la mbele kabla kutokea wakati mechi...
Kwa ufupi sana, hiyo siku simba hawezi shinda, labda ashinde njaa. Hana ubavu wa kumfunga Yanga, akijitahidi sana basi atoe sare, na ni baada ya kupunguza magoli mawili ya Yanga ili iwe 1:1...
Iko wazi kabisa kuwa Yanga wameshikwa pabaya! Tumaini lao lililobaki kwa mbali ni kutaka kufurahisha na kuwasahaulisha machungu ya kufurumushwa CAF Champions League kama kibaka fulan hivi, kwa...
Declaration of interest.
Mimi ni Yanga kindakindaki na sina mkia wowote maungoni mwangu na moyoni mwangu.
Utabiri huu umeegemea upande wa kiroho zaidi kuliko upande wa kimwili ambao unajumuisha...
1. Farid Musa
2. Bakari Mwamnyeto
3. Feisal Salum Fei Toto
Hivyo nawaomba wachezaji wa Simba SC kama ikiwezekana wafukizwe sana moshi wa .... au wapakae mafuta ya nguruwe.
Na kwa wale wa...
Katika tathmini yangu ya Habib Kyombo, namuona ni mchezaji mzuri sana anayestahili kupewa nafasi zaidi.
Sitaongelea mikimbio yake wala mbwembwe zingine, ni mchezaji anayeonekana ana IQ nzuri ya...
Huyu jamaa alisajiliwa kimyakimya na hata gharama za ujio wake hazikuwekwa wazi.
Ameonesha kuwa ni winga mwenye makali ya kimataifa. Ana kasi, pasi za upendo, anaona nafasi katikati ya msitu wa...
Amaan na iwe kwenu.
Mechi ya leo kati ya Simba na Yanga imekuja patamu sana. Na wenye faida kubwa na mechi ya leo ni Club Africain ya Tunisia.
Ni patamu kwa sababu Simba imefuzu makundi ya CAFCL...
Habari wadau,
Ni dhahiri kwamba mwalimu wa Manyara FC alitukosesha ushindi jana nyumbani. Kikosi alichokipanga kipindi cha kwanza kilikuwa na uwezo mdogo, baada ya mapumziko alivyofanya...
Usiku wa deni ni mfupi sana
Hayawi hayawi ...?
Hii si mada ya kutabiri mshindi kwakuwa tayari anajulikana[emoji881]...! Hii ni mada ya harakati kuelekea kilele cha Derby hii ninayoweza kusema ni...
Mchezo umemalizika kwa Tanzania kupoteza kwa bao 3-0 dhidi ya Colombia.
Magoli yote tumefungwa mapema sana kipindi cha kwanza na hii inaonyesha Kocha Bakari Shime alivyowaingiza mabinti bila...
T A A R I F A
Bodi ya Azam FC imesitisha mkataba na Denis Lavagne, kama kocha mkuu, kuanzia leo, Oktoba 22, 2022.
Uamuzi huo ni kwa maslahi mapana ya klabu na mustakabali wa mradi wake wa...
Leo Niwape Story Fupi Kuhusiana Na Mimi Na Feisal Salum “FeiToto”.
Nakumbuka Ilikua Mwaka 2016 Wakati Tunaenda Zanzibar Na AzamFc Katika Kombe La Mapinduzi.
Wakati Tupo Njiani Wachezaji Wenzangu...
Yaani kukosekana Haji Manara kwenye mpira ni hasara, yaani utadhani kesho hakuna mechi. Kweli Manara alikuwa na amsha amsha.
Nani kama Manara? TFF mfungulie mtu huyu.