Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ni ushauri tu. Ili kuwaongezea morali wachezaji wa Yanga kuelekea mechi ya hatua ya Kwanza, zidi ya Al hilal, Yanga icheze mechi za kirafiki angalau mbili ili kujiridhisha na ubora wa kikosi Cha...
11 Reactions
22 Replies
2K Views
Kwanini timu ya simba inaongozwa ki propaganda saana Kuna mda najiuliza hivi hii ni timu ya mpira au ni kikundi cha siasa Hii timu imechaguwa saana maneno kuliko vitendo Watu wamejaa propaganda...
3 Reactions
27 Replies
1K Views
Huu uonevu hadi lini jamani? wanayanga wanahoji huko mtandaoni haswa facebook... wanadai mechi ya ihefu iliahirishwa kimkakati ili Bm 3 aikose simba Kwani ratiba ya international games...
9 Reactions
30 Replies
2K Views
.... Kinachofurahisha kwa sasa ni kuona baadhi ya mashabiki Tanzania WAKIISIFU SANA klabu ya Al Hilal [emoji1232] na kuwa na uhakika kuwa klabu hiyo ya Sudan itaitoa Yanga klabu bingwa Africa...
9 Reactions
32 Replies
2K Views
Mpeni nafasi tena namba 8 na namba 6 katika mechi zote mbili vs kipanga na malindi Hatutarajii mambo ya ya yayayayayayaya trab na trat Mpeni nafasi tumuone kama hafai tujue moja
1 Reactions
9 Replies
918 Views
Ninaona wana Simba wengi wakitamani hawa jamaa watolewe kwenye michuano hii mikubwa mapema. Mimi nawaomba wapenzi wenzangu wa mnyama tumuombee mtani asonge mbele ili ubora wake authibitishe...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Simba SC, Barbara Gonzalez ametangazwa kuwa Mjumbe wa Kamati ya Maandalizi ya Mashindano ya Vilabu vya CAF na Usimamizi wa Mfumo wa Leseni za Klabu Rais wa Shirikisho la...
12 Reactions
36 Replies
4K Views
Watu wametuma maombi wengi kwelikweli lakini ni lazima THE GENIUS HAJJ MANARA msomi mwenye degree mbili moja ya media toka south africa na moja ya political science toka china aridhike na...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Shirikisho la soka Barani Ulaya limeshikilia msimamo wake wa kutoiruhusu nchi ya Urusi kushiriki michuano ya kufuzu UERO mwaka 2024. Huu ni mwendelezo wa vikwazo kwa nchi hiyo kufuatia kufanya...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Pamoja na mambo mengine, kitu kilichowapa umaarufu mkubwa Simba ni hili yukio. Hongera zao
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Naam Takadini alicheza kama pele kuchelewesha mchakato wa kumpata afisa habari wakati huohuo mamlaka za juu zikifanya kazi yake kuamuru afunguliwe haraka sana. Sasa ni wazi Sope takadini ndiye...
4 Reactions
41 Replies
4K Views
Hakuna kitu kilimuuma sope takadini kama uongozi wa simba ulipotoa statement ya kumkana na kauli yake ya kupiga marufuku mashabiki wa yanga kuingia mechi za kimataifa za simba ushajiuliza angetoa...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Watanzania ifike wakati tuukubali ukweli, hatuna timu ya Taifa ya kushindana na wenzentu mpaka tufikie viwango kama hivi vya Burkinafaso, yani ukicheza ligi ya ndani sahau kuitwa timu ya Taifa...
10 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakati Kombe la Dunia likibakiza miezi miwili kuanza, tayari inaonekana nyota wa Ureno na Manchester United Cristiano Ronaldo ataingia kwenye michuano hiyo akiwa mchezaji mwenye nguvu zaidi...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni mojawapo ya watu wenye roho mbaya sana nchi hii Ni aina ya mtu ambaye kadiri watu wanavyolalamika maisha magumu,bando bei ghali yeye anataka waumizwe zaidi Huyu mzee ni saddists,tafadhali...
12 Reactions
17 Replies
996 Views
Inakuwaje mwamuzi wa ligi Kuu anawaonyesha Kadi za njano Wachezaji 2 àmbao hawakufanya makosa? Yaani kosa anafanya mwingine Kadi anaonyeshwa mwingine? Kelvin Yondan na Juma Mahadhi wameonyeshwa...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Wenzetu wa mataifa ya ulimwengu wa Kwanza hupigana kufa na kupona kupata kitu Bora kiwe Mali yao hata kama kiasili hakikuwa cha kwao. Hispania iliwahi kupigana kidiplomasia ili Lionel Messi awe...
4 Reactions
7 Replies
638 Views
Habari za mda huu wakuu. Kwa kiwango anachokionyesha kiungo kijana fundi mkabaji wa Real Madrid Tchouame'an kilichomfanya Casemiro kukimbilia Manchester united. Je nafasi ya Ng'olo kante Bado...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Watu wa Simba kuweni makini na huyu mtoto Ahmed Ally atakuja kuwagharimu, tunza hii thread mtakuja kuthibitisha ninachowaambia Leo. Mwenye macho na aone ugomvi wa Barbara na Manara ni kuvujisha...
10 Reactions
93 Replies
7K Views
Kocha wa Tottenham Hotspur, Antonio Conte ametajwa kuhusishwa kuwaniwa na Juventus kama itamfukuza Max Allegri ambaye anakabiliwa na presha kubwa kutokana na matokeo mabaya wanayopata. Juventus...
0 Reactions
1 Replies
621 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…