Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nimepenyezewa na watu wangu kuwa mipango inafanyika Simba apoteze kwenye mchezo wake dhidi ya Bata Bullets siku ya Jumapili, kuna uchafu mkubwa umefanyika ili tuondoshwe. Nashauri mchezo wa kesho...
7 Reactions
34 Replies
3K Views
Jamani eeeh kale kajamaa kanachojiita Canelo kamepigwa kipigo cha mbwa koko 🤣🤣🤣🤣 Kalikuwa kanajiona kameshamaliza kila kitu mpaka muda mwengine kanadhani kana uwezo wa kumpiga Money May😅😅😅😅😅😅...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
Timu za bara kushiriki mashindano ya Mapinduzi kuna faida chache sana za kimpira kwa TFF, ligi, timu na wachezaji wa timu za bara kuliko hasara.
2 Reactions
9 Replies
901 Views
Mwenzangu unaonaje?
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Hapa Onyango atajilaumu kwanini karudi maana alivyosikia anakuja aliomba kuondoka, namuonea huruma Babu wa watu. Naona muda wa kupimana Umri umefika Sasa, Shida iko PALEPALE Onyango alikubali...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu, Ni dhahiri TFF kuna shida kubwa na inaelekea kupelekeshwa na siasa za Kariakoo. Kuna mtiririko wa matukio ambao unaacha doa kubwa ambalo ipo siku hizi nyufa tutajenga ukuta. Haya ni...
7 Reactions
10 Replies
999 Views
Habari wanamichezo, Juzi niliangalia goli alilofunga Mayele, kasi yake alvyopokea mpira, utulivu wake, akili yake ya kufunga, control yake hakika niseme asante Engineer Hersi kwa kutuletea huyu...
11 Reactions
29 Replies
2K Views
Na tusio na Timu ( Ushabiki ) wa Klabu yoyote ile hapa Tanzania ila ni Wadau tu wa Mpira na Maendeleo yake tunajua Kocha 'Genius' Nabi hatoanza na Kisiinda ( Nuksi ) hiyo tarehe 23 Oktoba, 2022...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Hii barua ya TFF inajieleza kabisa kwamba usajiri wa Kisinda ulishindikana sababu Yangu walikuwa na wachezaji wengi wa kigeni na Dirisha lilishafungwa ,Kisinda anaingiaje sasa Wajuzi wa mambo ?
1 Reactions
12 Replies
954 Views
Leo nimekuwa zangu mtandaoni naona mashabiki wa Simba wakitukana saana Mayele Ila kwa wakongo wenyewe jambo la Mayele kuachwa kwenye timu ya taifa hawajafurahishwa nalo Kwenye mtandao wa linafoot...
5 Reactions
67 Replies
5K Views
Name: Lazarus kambole Position: striker Minutes played: 0 Goal scored : 0 Signing fees: free agent Previous club: yanga Current club: unknown Wachambuzi wa michongo wapo kimya kama...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Pamoja na GSM kumwaga hela kwa timu SImba inacheza nazo kama tulivyoona kwa Prison Kuaahidiwa hela nyingi wakiifunga SIMBA bado simba msimu huu tunawakati Mgumu sana. Kwa Yanga hii me nadeclare...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Nianze kwa Kuwasalimu, Naamimi Mko salama na Mnaendelea Vizuri Kusubiri Weekend Hii kuona Timu zetu Za Tanzania Zitafanya nini Katika Michuano Ya Kimataifa. Kwa Miaka Kadhaa Sasa vilabu vikongwe...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Geita gold walipoteza mchezo wao wa ugenini kwa kuruhusu goli 1-0 dhidi ya Hilal Alsahil, leo ndio siku ya marudiano je? Hilal Alsahil warndeleza moto ama Geita watalala yoooo? tusubiri dakikak 90.
0 Reactions
5 Replies
877 Views
Winga ya Kulia Morrison, Winga ya Kushoto Kisinda, Mbele anasimama Mayele halafu nyuma yake kidogo yuko Aziz K huku wote hawa wakiwa Wanatibiwa vyema na Daktari bora kwa sasa ndani ya NBC Premier...
8 Reactions
9 Replies
855 Views
leo katika pita pita zangu youtube nimeona video moja hivi ndani ya video hiyo kuna msela fulani kavaa T-shirt yenye picha ya fiston mayele nataka kuuliza ndugu zangu. Hivi ni kweli hizi t-shirt...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
YANGA imeendelea kuboresha rekodi yake ya kucheza mechi mfululizo za Ligi Kuu Bara bila kupoteza, ikifikisha 41, baada ya Jumanne wiki hii kuifumua Mtibwa Sugar kwa mabao 3-0 katika pambano...
1 Reactions
0 Replies
929 Views
Habari za majukumu mashabiki na wapenzi wa soka nchini Tanzania na Africa mashariki kwa jumla naamini niwazima na wale wenye changamoto mungu awasaidie na kuwafanyia wepesi. Twende kwenye mada...
8 Reactions
49 Replies
4K Views
Kwani mwana michezo Amos makalla kuna shida gani ndugu yangu , ghafla kubwa la machawa limeandika hivi? unahisi utatumbuliwa? kamati ya usalam mmeshindwa ku inflitrate hao watoto wa miaka 16 hata...
0 Reactions
3 Replies
819 Views
=> Tumeingia mkataba mpya wa kutengeneza jezi na vifaa vya michezo kwa miaka 5 na kampuni ya GSM Group Of Companies wenye dhamani ya Tshs Billion 9.1" Rais wa Young Africans SC Hersi Ally Said =>...
8 Reactions
102 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…