Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hivi Bondia Anthony Joshua ( Uingereza ) akijua kabisa anaenda Kupigana na Bondia Mchovu na asiye na Uwezo wowote ule Kwake Twaha Kiduku ( Tanzania ) anaweza kweli akajitangaza na akaitangaza (...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Jezi hiyo ilivaliwa na MJ kwenye fainali za mchezo wa ufunguzi za NBA, imeuzwa kwenye mnada na kuifanya kuwa moja ya kumbukumbu za gharama zaidi katika historia ya michezo duniani. Rekodi ya...
5 Reactions
41 Replies
2K Views
TFF ni chombo cha umma na kinachominiwa ndani na nje ya nchi. Jemedari Said anasema kuwa ana uhakika na vyanzo vyake vya habari ambazo zinahifadhiwa TFF. Ni mfanyakazi gani ndani ya TFF ambae...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Za ndani kabisa kuna jamaa alikuwa anachati na mchezaj mmoja. Wanasema posho ya wachezaji imeshushwa ndio maana wachezaj hawajitumi kabisa. Viongozi wa Simba kama kuna ukweli mnatuangusha sana...
1 Reactions
9 Replies
874 Views
Pongezi nyingi kwa Klabu ya Simba kuweza kutoa Mchezaji wake ( Beki tegemeo ) Henock Inonga Baka na Mchezaji husika kwa kuweza Kuitwa hivi majuzi tu katika Kikosi cha Timu ya Taifa ya Congo DR...
5 Reactions
35 Replies
3K Views
Kuna swali najiuliza, hivi team ikisajili mchezaji na kabla ya deadline huyo mchezaji huyu akawa mgonjwa, inamaana hairuhusiwi tena kusajili mchezaji mwingine kabla ya hiyo deadline? Kama ni ndio...
17 Reactions
212 Replies
11K Views
Kama Moses Phiri ataendelea na moto huu huu maana yake hatumhtaj manzoki kwa sasa. PHIRI ameonyesha ni goal scorer mzuri. Kufika January tutaona mwenendo wake lakini anaonyesha ni mzuri wa...
7 Reactions
42 Replies
3K Views
Nadhani tukubaliane tu kuwa Fiston Kalala Mayele ni mshambuliaji hatari zaidi kwenye ligi yetu kwa sasa. Takwimu zinaongea
13 Reactions
22 Replies
2K Views
Kwa kujibu wa Othman Kazi, ilipaswa kuwa offside kabla mpira haujafika kwenye tukio linalobishaniwa la mpira kutoka/kutotoka. Aidha, tukio la Moses Phiri kuangushwa na kipa wa Prisons lilipaswa...
1 Reactions
2 Replies
748 Views
Wakuu Jana niliwasilisha barua yangu Ya Malalamiko Pale Tff dhidi ya Mwandishi wa Habari Jemedar Said Kuhusu Tuhuma zake Kwa Kocha wa Yanga Kwamba Hana vigezo za Kukaa kwenye Bench Siku ya Mechi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mchambuzi wa Azam Sports 1, James Samwel amelichambua goli la Simba na kukiri wazi kuwa mpira ulishatoka kabla ya Kibu kuurudisha tena uwanjani na Mkude kuuweka ndani ya nyavu. Ameyasema hayo...
5 Reactions
54 Replies
5K Views
Kama kuna Mchezaji wa Simba SC ambaye Kutwa anatupandisha Hasira wana Simba SC na hatujui ni kwanini Makocha huwa wanapenda Kumuanzisha First Eleven ni huyu Pape Ousmane Sakho. Na kama kuna...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Kamati ya Rufaa ya Maadili ya TFF, Richard Mbaruku akisoma uamuzi wa Kamati yake katika Rufaa aliyokata aliyekuwa msemaji wa Yanga, Haji Manara, amesema mtuhumiwa alikuwa na makosa...
1 Reactions
7 Replies
690 Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi, ametoa siku 7 kwa watendaji wa Idara ya Michezo kukamilisha nyaraka za miradi yote iliyoko chini ya Idara hiyo la sivyo...
0 Reactions
0 Replies
452 Views
Captain wa Tanzania Prisons, Afande Benjamin Asukile ameweka wazi wao kama Prison hawana uoga wowote dhidi ya Simba katika mchezo utakaopigwa leo saa 10:00 katika dimba la Sokoine jijini Mbeya...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Simba inabidi Okra asikae benchi, speed yake inaipa Simba nguvu. Namshauri Mgunda asimsikileze Matola. Okra anajua anaspeed anapiga, hakuna haja ya kumuweka Kyombo mbele tunachelewa kushinda...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa wachezaji wa Draft la playok, Tunajua mabingwa wa kule ni ashkelon, Davidmbeya, kongomsumari, na mohammed19997, ila cha ajabu wote hao walishapigwa na mkulima wakaishia kumuita mkulima ni...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Akihojiwa na kituo cha Radio cha EFM kupitia kipindi cha Sports HQ mapema leo September 12, 2022 Mkurungenzi wa ufundi wa TFF, Oscar Milambo amethibitisha kuwa Kocha Mkuu wa Yanga SC, Nasreddine...
10 Reactions
95 Replies
5K Views
Mimi mtu akiniuliza kati ya Kambole na Mayele; Who is the best Striker (Mshambuliaji bora)? Kwangu mimi nitasema Kambole ni bora kuliko Mayele Kama una angalia video za nyuma kabisa za huyu...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…