Kuna wakati unatamani ujifiche. Tangu mwaka jana tunaondolewa CAF CL ni kwa sababu ya ujinga wa bvr kwa sababu why wanashindwa kuajiri kocha mwenye leseni A kwa nafasi ya MATOLA why?
Hizi aibu...
Wakuu Habari zenu?
Baada ya korona naona tumerudi tena kwenye mchezo wetu pendwa wa mpira wa miguu ili tumalizie mechi zilizo baki.
Wakuu nimekuwa nikifatilia mpira wa miguu kwa muda mrefu sana...
Habari wadau!
Nahitaji mawazo yenu kati ya hawa watu wanne niliowataja hapo, ni nani ambaye anajua kuchambua soka kwa ufasaha zaidi?
Shafih kila siku tunamsikia pamoja na Geofrey Leah, Dr Leaky...
Dah nimepita sehem maeneo ya uwanja wa Taifa, mambo ya nje ya uwanja yanayofanyika ni hatari tupu, nashindwa kuelewa hivi hata Zalan ni ya kuvunja nazi mida hii, ina maana kwa usajili mlioufanya...
Inawezekana wanaamini kuwa mpira ni kusukuma tu gozi uwanjani ama makocha wao hawawafundishi kuwa mpira ni sayansi na ni sanaa pia. Labda pia wanadekezwa na udhaifu wa Marefa wetu katika kusimamia...
MNAYAKUMBUKA LAKINI YALE MATUSI YENU??
Walikuwa hawazijuhi shida za kwenye duara kama hawajakutana na huyu mwanaume pale kati.
Wanamkubuka vizuri tu, chini alikuwa anasimama yeye na Victor wa...
Hebu fikiria Kibu Denis alicheza Mbeya huko miaka na miaka!! Lakini siku alitia mguu wake Simba Tanzania yote ilisimama! Na hatimaye mambo ya Uraia yakajitokeza! Amini nakuambia angeenda yanga...
Raundi ya Kwanza ya Michuano ya Afrika ngazi ya klabu inatarajiwa kuanza wikiendi hii ambapo timu za Tanzania pia zitakuwa uwanjani ndani na nje ya Nchi.
Leo Septemba 10, 2022, Yanga itavaana na...
Aliyekuwa kocha wa Mamelodi Sundowns na Al ahly ameteuliwa na klabu ya Bournemouth kuwa mkurugenzi wa ufundi.
Awali ilisemekana "Mlete mdhungu fc" wana mpango wa kumleta kocha huyo mwenye CV...
Katika hali ya kawaida , jambo lililotokea kwenye timu yetu ya Simba, si rahisi kusema kwamba limetokea kwa bahati mbaya. Sisi wengine tukiangalia uwezo na elimu kubwa waliyonayo viongozi wa...
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF Wallace Karia ametembelea Kambi ya Yanga Avic Town na kushuhudia mazoezi ya klabu hiyo kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Zalan...
Kocha Juma Mgunda atakuwepo kesho September 10 kwenye benchi la ufundi la Simba SC dhidi ya Nyasa Big Bullets katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika na ndiye ataongoza benchi zima la ufundi...
Sina tatizo na Juma Mgunda (Guardiola Mnene) kuwa Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC kwani natambua uwezo wake ila tatizo langu ni kwanini Matola Yeye haondoshwi Simba SC kama wanavyoondoshwa makocha...
Nimegundua kuna vyombo vya habari uwepo wake unatokana na kuwepo watu wengi vilaza hususan wa club ya kinye fc.
Kutokana na sababu hiyo,wamekuwa wakitangaza habari nyingi za uzushi kuhusu Simba...
Kufundisha timu mbili za ligi moja kwa wakati mmoja wa ligi haikubaliki na sio weledi. Madhara yake ni pamoja na:
1. Juma mgunda ana mapenzi/maslahi na timu mbili za ligi kuu kwa wakati mmoja...