Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Habari wakuu Tukiacha hizi tamaduni za utani wa kisoka na kuja kwenye proffesion ya mpira wa Bongo huyu mwamba Hans Pope alikuwa ni mtu na nusu kwenye carrier ya usajili. Hizi tension za mara...
5 Reactions
29 Replies
1K Views
Nani alaumiwe kwa yanayoendelea msimbazi?Tafadhali piga kura yako hapa A. UONGOZI B. MWEKEZAJI C. WACHEZAJI D. BENCHI LA UFUNDI Tafadhali piga kura yako hapa
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Ndugu zangu watanzania tunasababu ya kuiondoa ccm kutawala ktk nchi hii. Maana inachofanya ccm ni kutukandamiza wananchi ili wao wanufaike na familia zao. Yaani ukibeba gunia 4 za mahindi au...
2 Reactions
8 Replies
917 Views
Leo nashuka hapa kumumpa Wosia Kiungo wa Azam Sospeter Bajana kipaji kikubwa anacho japo kulikuwa na walakini kwenye jina lake Mimi ni shabiki wa Azam fc kipindi unatumia jina la Brayson...
7 Reactions
37 Replies
3K Views
Kocha Mkuu wa Simba SC Juma Mgunda, amezungumza na waandishi wa vyombo vya habari nchini Malawi kuelekea mchezo wa kesho wa Ligi ya Mabingwa Afrika CAFCL, dhidi ya Nyasa Big Bullets ya nchini...
15 Reactions
27 Replies
2K Views
Najua nitaitwa majina yoote hapa, "shabiki maandazi, hujui mpira wewe, ushawahi kucheza mpira?unachangia sh ngapi" Kwa kweli ikitokea simba ikachukua ubingwa wa ligi basi itakuwa miujiza mikubwa...
15 Reactions
27 Replies
2K Views
Kwa mara ya kwanza almanusura KMC ichukue point zote 3 mbele ya timu ambayo mashabiki wake wanajinasibu wanayo timu bora. Unaokota point 1 mbele ya timu ambayo ni ya kawaida tena kwenye uwanja...
7 Reactions
19 Replies
1K Views
Mashabiki wa utopolo na baadhi ya wanasimba oyaoya, jengeni hoja kuanzia hapo, Nimewapa mwongozo wapi muanzie. Ila mfahamu tu taifa stars ilicheza mechi za kimataifa zinazosimamiwa na CAF ikiwa...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
CEO Barbara alituletea Kocha Pablo akituaminisha ni Kocha bora hakukaa akamtimua. CEO Barbara akatuletea Kocha Zoran na kusema ni Kocha bora hakukaa juzi wamemtimua Kidiplomasia. CEO Barbara...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Binafsi ni shabiki wa Arsenal, Ila kitendo cha Chelsea kumfukuza Tuchel baada ya kufungwa na Leeds naona Chelsea wamekurupuka na itawacost
0 Reactions
2 Replies
542 Views
Ndugu zangu wanasimba poleni na stress za hapa na pale juu ya timu yetu. Tuna uongozi mbovu haijawahi kutokea. How comes unarelease barua ya kupata kocha mkuu wa Mda (MGUNDA) huku...
11 Reactions
44 Replies
2K Views
Jana mashabiki wamepaza sauti zao baada ya sare na KMC, makelele mengi yalikuwa ni kumkataa Selemani Matola kwa madai anaihujumu timu, wengine walifikia hatua ya kutaka kumpiga hadi inasemekana...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Kuanzia sasa MINOCYCLINE nitakuwa Naipamba tu Yanga SC huku Nikiichana mara kwa mara Simba SC na nitaacha kufanya hivi pale tu Kocha Msaidizi Matola atakapong'olewa (atakapofurumushwa).
15 Reactions
61 Replies
3K Views
Mgunda tulipata habari zake akiwa airport hakuna cha gazeti wala wacha mbuzi uchwara waliojua kinachoendelea. Zoran pia ilikuwa ni suprise ya hatari kuwa katemwa. Yule mzungu pori ndio alikuwa...
13 Reactions
36 Replies
2K Views
Huu ni uhuni, pamoja na kelele zote kumbe hata leseni A ya CAF hana, simba panashida sana, ujanja mwingi hakuna kitu.
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Viongozi siasa janja janja oya oya, makocha wanaletwa oya oya, wachezaji oya oya, mashabiki na wanachama oya oya yani wote hawajielewi. Kwa vile mudy na wenzake ni oya oya wamejua sisi ni oya oya...
2 Reactions
6 Replies
410 Views
MICHUANO YA KIMATAIFA KAMA JUKWAA LA FURSA YA KIBIASHARA KWA VILABU VYETU NCHINI Kuelekea kuanza kwa michuanao ya kimataifa ngazi ya vilabu barani Afrika mwishoni mwa juma hili Jamhuri ya Muungano...
0 Reactions
0 Replies
364 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…