Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wale wa Fair competition kwenye hili mbona mko kimya? Mgunda kaazimwa na Simba SC kutoka Coastal Union, haijulikani ni lini atarejea Coastal Union" "Halafu kabla ya December klabu iliyomuazimisha...
12 Reactions
33 Replies
2K Views
MINOCYCLINE ni kama Bahari ambayo kamwe huwa haikai na Uchafu kwakuwa nina desturi ya Usafi. CEO wa Simba SC huko nyuma nilishaambiwa na Watu wako wa Karibu na hata Haji Manara alishawahi kusema...
5 Reactions
47 Replies
4K Views
Inaonekana timu zetu zinakurupuka kupita kiasi. Kumbe Mgunda hana vyeti husika......
9 Reactions
48 Replies
5K Views
Naandika maoni haya nikiwa nimeshuhudia mechi kadhaa za Simba chini ya Pablo Franco. Naandika Kwa msisitizo kwamba kocha Pablo ana mengi ya kujifunza ili kuwa kocha Bora. Nashangaa pamoja na "li...
19 Reactions
39 Replies
2K Views
Makolo mulibwanji?😄😄 NAWEKA REKODI SAWA JE PABLO FRANCO MARTIN, ALIWAHI KUWA KOCHA MSAIDIZI WA REAL MADRID? Taifa limeendelea kudanganywa kwa mara nyingine, naweza kusema hivyo bila shaka...
36 Reactions
247 Replies
23K Views
Kwa matokeo wanayopata leceister city mechi.5 point 1 na wanaburuza mkia. Ni wazI mwamba anasubir tu mkono wa kwaheri toka kwa tajiri. Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
1 Reactions
8 Replies
666 Views
Wakuu salama, Nimeangalia mechi ya timu yangu pendwa ya wananchi jana nikagundua beki yetu inaonekana mbovu na kujichanganya simply because viungo wakabaji hawafanyi kazi yao vizuri Bigirimana na...
12 Reactions
31 Replies
3K Views
Kocha mmoja kufundisha timu mbili ligi moja kwa wakati mmoja kivyetuvyetu. Timu kukosa golikipa na kumtumia mchezaji wa ndani kama kipa kivyetuvyetu. Kosa moja kutendwa na watu wawili...
2 Reactions
9 Replies
620 Views
Klabu ya Coastal Union imetangaza kutokuwa na mkataba na Kocha Juma Mgunda ambaye kwa sasa anaitumikia Simba akiwa kocha wa muda. Coastal imeeleza mazungumzo ya kusaini mkataba mpya baina yao na...
2 Reactions
58 Replies
4K Views
Kocha mkuu wa muda Juma Mgunda akiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mapema leo September 8 akiwa ameungana Kikosi cha Simba SC, Wekundu wa Msimbazi, safarini kuelekea nchini Malawi...
17 Reactions
60 Replies
5K Views
Ni sehemu Kuu ya Agano la 'Kishirikina' kutoka kwa Waganga wao wa Kienyeji ( hasa yule wa kutoka Kigamboni aliyekuwa akimpa Dawa ya Mvuto wa Watanzania wote Mstaafu namba Nne wa Pwani na ambaye...
7 Reactions
21 Replies
3K Views
Kauli mbiu lazima ibebe uhalisia,huwezi kusema hatukamatiki wala hatushikiki kwa team gani uliyonayo? huwezi tukana mamba ukavuka mto, babra kinacho muumiza sasa ni hizo kauli mbiu zisizo na...
5 Reactions
52 Replies
3K Views
Hamna kitu sasa hivi kinaumiza watu kama timu yetu ya taifa na pia uchezaji wao na uwajibikaji.tunapaswa kuzidi kuwapa sapoti kubwa kwani kutoa sapoti kwenye klabu kama simba na yanga ni kubwa...
0 Reactions
0 Replies
272 Views
Yes Matola amekuwa kocha msaidizi muda sasa! Ili Simba ibadilike inahitaji kocha msaidizi mwingine ili kuja na mawazo mapya MATOLA hana mbinu za kumsaidia mwl refer mechi ya YANGA vs SIMBA...
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Simba sports club are in talks with former Al Ahly head coach Pitso Matsomane, hao ndio Simba. Zoran Mack ameomba mwenyewe ku terminate contract na Simba wamekubali baada ya kuona their...
13 Reactions
86 Replies
7K Views
Naam yeye mwenyewe Kisubi alipokuwa simba alinyoroshwa vizuri sana na watu wa moro hadi akaomba poo, sasa huyu jamaa toka nchini Mali anajifanya mjanja siyo? Anayoroshwa huko na watu haohao wa...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
BM 3 kwenye madai yake alipohojiwa na saleh jembe alisema aliitwa ofisini na CEO na kuambiwa posho na mshahara wake utapunguzwa kama anataka kusaini mkataba mpya Inasemekana posho zimepunguzwa...
11 Reactions
38 Replies
3K Views
Katika Fainali za Kombe la Dunia 1994, kikosi cha Colombia kikiwa na wachezaji mahiri kama akina Faustino Aspirilla, kilitolewa hatua za mwanzo bila matarajio ya wengi baada ya kufungwa 2-1 na...
1 Reactions
2 Replies
571 Views
Hivi ni lini tutaanza kupenda vya kwetu! Unakuta mtu anamchukia Matola! Ukimuuliza sababu anasema amekaa muda mrefu! Hivyo tu! Tangu lini kukaa muda mrefu sehemu ikawa kosa? Lipi baya ambalo...
2 Reactions
7 Replies
591 Views
Wakuu, Tupo kwenye hali mbaya sana kiufundi kama club. Kwahali ilivyo sasa ni muhimu kesho mapema iitishwe press conference chini ya all top management team waongee na wanaSimba. Hii ni lazima...
8 Reactions
26 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…