Hizi ni tetesi ambazo zimeanzishwa.kwa lengo la kuwapoteza maboya Simba. Simba wana tatizo kubwa sana la mchezaji wa ukabaji na sio box to box. Tatizo hilo liliwapelekea kushinda game 1 kati ya...
LICHA ya kutimiza idadi ya wachezaji 12 wa kigeni, Mwanaspoti limebaini Simba inaendelea na mikakati ya chinichini ya kumalizana na mido mpya kutoka Nigeria. Lakini wanafikiria pia kumalizana na...
Ahlan Ahlan bik
Habari zenu wana Jf, wadau wa soka na wapenzi wa wana lunyasi, giants of Africa, Simba Sc.
Jana nilipata safari kidogo kutoka Bergamo kwenda katika jiji la bandari, Piraeus...
Bongo hatari sana, kuna siku Pambalu wa CHADEMA kwa niaba ya BAVICHA aliitisha press kuzungumiza upandaji wa uongo wa mshahara na siku hiyo hiyo s Alhaji Takadini alikuwa na press yake ya...
Madau wa michezo hebu mtueleze nini kitampata mtu aliyefungiwa na taasisi yetu ya kusimamia mchezo wa mpira wa miguu nchini TFF kujihusisha na mchezo huo kwa kipindi fulani let's say mwaka au...
Nashangaa mzungu wa Simba anakejeliwa na watu wanacheka na amebeba kejeli zote ,ila Mzungu pori wa Yanga akikejeliwa ni nongwa.
Huyo wa Yanga asikimbilie kuonewa huruma au kusingizia ukilema...
Juzi yanga wakasema wana jambo lao saa tano jana. Ghafla viongozi wote wakatoka mashimoni kujibu kuhusu usajili wa manzoki kumbe wao wapo kwenye mambo yao ya biashara.
Kiujumla viongozi waache...
Habari za weekend wakuu,
Tukiwa tunajiandaa kuhesabiwa baada ya burudani ya kesho huku league ikiwa imeanza kushika kasi ila pale lunyasi hali si swari kabisa.
Wakati ligi kuu nchini Tanzania...
Dada msomi, dada mzungu ,msouth america, mlatino , m colombia, miss gonzalez, masihara yakizidi hutumbua usaha, the chickens are coming home to roost
Hizi tetesi kama ni kweli narudia tena kama...
Chelsea wanataka kufanya usajili unaotajwa kuwa unaweza kuwa wa kushtua baada ya kudaiwa wanamtaka Harry Maguire wa Manchester United.
Chelsea wanataka wamsajili beki huyo katika dili la...
Ikiwa ni majira ya Saa 4 usiku huku niliko, na Saa 5 Usiku hapo Nyumbani Tanzania, napenyezewa habari nzito kidogo kutoka mitaa ya Msimbazi.
Ikiwa imepita miezi miwili tangu dirisha la usajili...
Kwa mujibu wa Barua iliyotumwa kwa vyombo vya Habari, Kupitia kwa Bodi ya Ligi, Bodi imeboresha kanuni ya Ngao ya Jamii ambapao kwa kwa kanuni mpya kutakuwa na shindano la Ngao ya jamii ambalo...
HAYA HAYA HAYA HAYAAAAA KESHO TUTAKOMA DADEEEKI UUUWIIII CONFIRMED kabisa na mtangazaji wa michezo huko Uganda ka confirm kwamba SIMBA WALIKATAA KUTOA USD 200K na walimpa offer ya mshahara usd...
Baada ya simba kuonyesha jezi kwenye mkataba wa m-bet wana utopolo wakiongozwa na kubwa la ma NINCOMPOOPS Alhaji sope takadini zeru square waliwasikitikia sana wanasimba kwamba wametapeliwa kwa...
Manchester United imekubali kutoa Paundi Milioni 60 (Tsh. Bilioni 167) kwa ajili ya kumsajili kiungo mkabaji wa Real Madrid, Casemiro baada ya klabu hizo kufanya mazungumzo kwa siku kadhaa...
Klabu ya Yanga leo Agosti 19, 2022 imetangaza kuingia mkataba wa miaka miwili na Kampuni ya Marketing ambayo ipo chini ya mtaalamu wa Marketing nchini KELVIN TWISA.
Mkataba huo kati ya Johnson...
Hili sakata la usajili lilivyokosewa kiuzembe kwenye namba 6 na 9 ukilichunguza kwa makini ni uzembe mkubwa sana wa bodi yote ya simba plus Mohamed dewji
Sasa kinachotokea ni nini? PROPAGANDA...
Naona mashabiki wanachanganya mambo hapa juu ya suala la manzoki, Ukweli ni kwamba yanga wamekubali kuvunja mkataba wa manzoki na kulipa pesa ambayo vipers wanaitaka na hilo limejiri baada ya...
Mshambuliaji wa timu ya Vipers(Uganda) Cesar Manzoki muda mchache uliopita ameweza kushare picha kwenye ukurasa wake wa Instagram wenye kumaanisha bado yupo kwenye mahaba mazito na timu ya Simba...
Tumeanza Kwanza leo na Kiungo Mkabaji Fundi Morice Chwuku kisha tunamalizana na ama Kumuuza Kanoute au Sakho ili Ceaser Lobi Manzoki atue Simba SC.
Haendi Yanga SC msidanganywe.