TANGU MWEZI AUGUST UANZE
Simba imecheza mechi 3 (St.George, Yanga na Geita)
Imeshinda mbili imefungwa moja
Imefunga goli 6 imefungwa goli 2.
Goal difference ni 4+.
Wachezaji 6 wamefunga (Kibu...
Nimeona tambo nyingi kuwa Yanga wanawinda saini ya Manzoki. Kwa intelijensia yangu ni kuwa wanasini mkataba na mdhamini mwingine. Hahaaaa bado Manzoki ni Mnyama.
Wanasimba tutulie ni swala la...
Kule kwetu siku za nyuma, nyumba ilijengwa nyuma ikiwa na pori dogo. pori hili lilikuwa mahsusi kwa kujisaidia wanawake, wagonjwa, wazee na watoto.
pia mbali ya nyumba, umbali kama kilometa nne...
Anthony Joshua na Oleksandr Usyk wanatarajiwa kupanda ulingoni kesho Agosti 20, 2022 katika pambano la Uzito wa Juu, taarifa ni kuwa mabondia hao kila mmoja anatarajia kupata zaidi ya Dola Milioni...
Habari wakuu
Me ni shabiki wa Team ya Simba Sc
Kuna kitu nakiona kwenye team yetu hasa idara ya kiungo mkabaji ambayo iko chini ya Wajina wangu JM
Ni wazi kwa sasa team inacheza kwa uwezo...
Wakuu,
Huu uongozi umeshindwa kuwafunga Yanga, wakubali hatuwezi kuishi bila kuwafunga Yanga. Wajiuzulu tupate watu wenye mipango mipya.
Kufungwa na Yanga ni aibu isiyo na excuse! Ni kama...
Leo tena Mabigwa wa nchi, FA na Ngao ya jamii timu ya Yanga inaanza rasmi mbio za ubigwa wa ligi kuu Tanzania Bara.
Leo majira ya saa 10:00 jioni macho na masikio ya Watanzania yataelekea huko...
Beki wa Manchester City, Benjamin Mendy (28) imeelezwa kuwa alitumia mashine ya alama za vidole kumfungia mwanamke chumbani kabla ya kumbaka.
Hayo yameelezwa Mahakamani ambapo Mendy anatuhumiwa...
Hivi huyu jamaa Simba, Yanga, Azam hawakumwona ?imekuaje akabaki Geita Gold? Kuna maslahi gani pale au kati ya hizo timu hamna iliyomfuata?
Maana msimu huu sidhani hata goli 8 kama atafikisha...
Nguvu moja hatukatai, Lakini sasa kwa hali hii uongozi wa Simba mmeanza kutukatisha tamaa asiee, Ni kivipi deal ya Manzoki imebuma ?? ......
nimeanza kuamini hata maneno ambayo sipendi kuyaamini...
Baada ya mechi ya ligi msimu uliopita ya Simba na yanga iliyofanyika uwanja wa taifa na CEO wa Simba kuzuiwa kuingia uwanjani, viongozi wa Simba, wanachama na mashabiki walikuja juu na kuamua...
Mnaojiuliza na Kuumizwa kama Mimi ni kwanini Simba SC ni sawa na Mke Mkongwe wa Mume Shababi Yanga SC ( nikimaanisha anafungwa muda wowote ule ) majibu ni haya yafuatayo.....
1. Mjumbe Mulamu...
Ikiwa ligi kuu bara alimaarufu NBC ikiwa imeanza jana tarehe 15 Agosti 2022. Hii ndio top 4 yangu kwa msimu wa 2022/2023.
1. Yanga SC
2. Simba SC
3. Singida BS FC
4. Azam FC
Tupia na yako...
Ninawapongeza watani kwa ushindi. Lakini ushindi wenu umejaa sintofahamu sana. Maana usajili wenu hauendani na aina ya mpira mnaocheza.
Yaani butua butua zimekuwa nyingi mno. Mmekosa kabisa...
Ahlanbik kutoka Lombardia ndani ya jiji la Bergamo kaskazini mwa nchi ya Italy:
Jana nlifanikiwa kuitazama mechi ya miamba ya soka nchini Tanzania ,Simba dhidi ya timu ya Geita Gold nikiwa hapa...
Huyu bwana ni striker wa ukweli ila sasa majeruhi imekuwa donda ndugu kwake..
Kama asipojilinda na kucheza kama staa akawa anaendelea kukomaa kama anavyofanya sasa, kila siku mabeki watamkamia na...
Watu wa Soka,
Tumejiandaa vya kutosha kuanza mchezo wetu wa kwanza wa Ligi Kuu kesho dhidi ya Tanzania Prisons.
Mashabiki wetu tunawakumbusha kukata tiketi mapema kupitia N-CARD kisha mjitokeze...
Nasikia muda wowote Mzungu 'Mserbia' anasainishwa na Kutangazwa badala ya Mchezaji ambaye wana Simba SC wote tunamtama, anajua Kufunga na tumemsubiria muda mrefu Ceaser Lobi Manzoki.
Naandaa sasa...
Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally jana Asubuhi ukiwa Wasafi FM ulisema tena kwa Kujiamini kabisa kuwa Mchana au Alasiri mtamtangaza rasmi Manzoki kuwa Mchezaji Wetu na haikuwa hivyo.
Nilitegemea...