Oscar Oscar amekuwa ni mtu wa kupost vichekesho kwenye page yake lakini kwa hapa amedhamiria. Hakuna vichekesho, kuna ujumbe anaufikisha sehemu. Na hii sio kawaida yake, je nani amemtuma Oscar...
Habari za jioni wakuu,
Ikiwa umepita mda mchache toka kuanza kwa kikao kikubwa cha soka barani Africa ila kinachoendelea mitandaoni kinasikitisha sana.
Katika tasnia zilizovamiwa Tanzania ukiitoa...
Huu ni utabiri wangu
Mayele leo kwenye dakika ya 20+ atafunga simba bao la kichwa
Kwenye dakika ya 50+ aucho atafunga goli la kumalizia
Kwenye dakika ya 67+
Simba wata gomboa goli kwa mkwaju wa...
Mshindi wa tuzo ya Ballon d'Or kwa mwaka 2021, Lionel Messi hajatajwa kwenye orodha ya Wachezaji 30 wanaowania tuzo hiyo kwa mwaka huu
Tangu mwaka 2005, Messi amekuwa akitajwa kwenye orodha ya...
Mwaka jana mwezi March wakati Motsepe anachaguliwa kuwa Rais wa Caf katika mkutano uliofanyika Rabat Moroko kiu na hamu ya wengi ilikuwa ni kumuona CEO Senzo na Injinia Hersi wa Yanga wakitia team...
Uongozi wa klabu ya Yanga kupitia kwa Kaimu Mtendaji Mkuu, Simon Patrick umethibitisha rasmi kuachana na aliyekuwa Afisa Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo Hassan Bumbuli, baada ya muda wake...
Katika marais wa awamu zote Karia ndo Rais aliyeleta maendeleo kwenye mpira pamoja na madhaifu yake.
Mikataba na Azam media
Mikataba na TBC
Mkataba wa gharama na NBC
Vilabu kufaidika kutokana na...
Tukiwa tunamalizia msimu huu, baadhi ya timu zimeshaanza kutoa jezi mpya kwa msimu ujao. Timu kubwa ya kwanza kuachia jezi zao ni Liverpool.
Uzi huu utakuwa unakuletea jezi mpya kadri...
Hizi ndio Timu 10 ambazo zimekua confirmed Zitashiriki Super League Mwakani
1. Al Ahly
2. Zamalek SC
3. Mamelodi Sundowns
4. Orlando Pirates
5. Wydad AC
6. Raja CA
7. RS Berkane
8. Yanga SC
9...
Nilileta uzi hapa wiki iliyopita Kuhusu Yanga kuchangisha mchango wa mganga kutoka visiwani.
https://www.jamiiforums.com/threads/yanga-wanachangisha-pesa-ya-mganga-kutoka-visiwani.2008077/...
Simba imeshindwa kusajili wachezaji wafuatao ndani ya Dirisha kubwa 2022-23.
1. Victoria Adebayor.
2. Stephan Azizi Key.
3. Luis Joseph Miquisson.
4.Abdul Suleiman Sopu.
5. LOBIE CESAR...
Kila wakati tukisema viongozi wa yanga uwezo wao ni mdogo, watu wengi hamuelewi.
Mkutano uliofanyika jana ni General Assembly ya CAF. Ni mkutano unaowakutanisha viogozi wakuu wa mataifa wa mchezo...
Taarifa ya Tff kuhusina na yanga kutokualikwa
Pia soma
https://www.jamiiforums.com/threads/kama-yanga-haikualikwa-basi-ni-kweli-tff-ina-chuki-mgogoro-dhidi-ya-yanga.2009540/unread
Msimu jana ilionekana huyu jirani yetu amefanya copy and paste ya jezi ya timu ya taifa ya Tunisia kwa zile jezi nyeupe, ilitakiwa kuwa kengere ya kuwaamsha ili suala ilo lisijirudie tena cha...
Kwanza natanguliza salam kwenu ndugu zangu wa JF wote.
Sasa bila kupoteza muda ndugu zangu, hayo chini ni baadhi ya mambo ambayo ukiyafanya, katu moyo wako hautapata maumivu ya aina yoyote katika...
Taarifa iliyotolewa na Klabu ya Yanga leo, imethibitisha kuachana na Afisa Habari wake, Hassan Maulid Bumbuli baada ya Mkataba wake kumalizika.
Hassan Bumbuli ameitumikia Klabu hiyo kwa kipindi...
Miongoni mwa habari ambazo zimeshtua baadhi ya wadau wa soka nchini ni habari inayohusiana na kutoalikwa kwa klabu ya Yanga katika Mkutano Mkuu wa Kawaida wa 44 wa CAF uliofanyika jijini Arusha na...
Bwana Wallace Karia ameomba msamaha kwa kauli yake ya hovyo aliyoitoa kuhusu Tundu Lissu.
Gazeti la michezo la Mwanaspoti limemnukuu kiongozi huyo wa michezo akisema hakuwa na nia mbaya wala...