Timu ina mdomo sana,jana imekomeshwa. Magoli yote ya aibu, sekunde ya 30 ikapigwa cha kuku chwiiiiiiiii. Kipindi cha pili ikanyunyizwa kona goli. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Oh asante sana aisee , I hope kijana wetu Dejan anatumia hii Vlach magic ya huko nchini kwao unaambiwa ni uchawi hatari hata voodoo ya wa benin na wa haiti inasubiri
Sasa ajaribu kinyago yoyote...
Mwanitesa united a.k.a manyua au maarafu kama man utd imekumbana na kitu kizito kichwani leo hii baada ya kulwamba magoli 2-1 hi timu ni mbovu mnoo inaleta stress, inaleta magonjwa ya moyo kila...
Ni wajinga na wapuuzi wanaweza kuamini kuwa mikwara ta barua yenu inaweza kuzaa matunda.
Kabla Haji Manara hajaalikwa kama MC wa kisherehesha Wiki Ya Wananchi walikaa mezani na waasheria wao...
Ukifatilia mtililiko wa matukio wa timu ya yanga,toka Eng Hersi Said awe pale kama mwenyekiti wa kamati ya mashindano na sasa ndie Rais wa yanga,unaona kabisa anakosa kabisa sifa na hana sifa za...
Wajumbe mnajua kabisa Yanga ni timu isiyofahamika Africa ila Tanzania ndo inajulikana sana na wanajiita Mabingwa wa khistoria.... kiukweli Vipers wangefurahi sana kucheza na Simba SC Tanzania na...
Ni muda muafaka wa kumuonyesha Wallace karia kuwa Ligi ya Tanzania ni Simba na Yanga tu, Wengine wote ni mbwembwe tu
Karia anahujumiwa na watu wake wa chini kama akina Clifford
Ukiwa Bosi...
Kiutani GENTAMYCINE nawacheka mno Yanga SC na nimefurahi sana kwa Kufungwa Kwako ki 'Beauty Beauty' Goli ( Bao ) Mbili za Vipers FC ila tukiondoa Utani Wetu wa Simba na Yanga kwa ninavyowajua...
Mara uzembe, hakujua kama sponsor anabadilishwa? jezi kweli zimechelewa lakini ni nani alijua kwamba tangu wakiwa Misri video/photoshoot za wachezaji zilifanyika kule?
Laiti kama Sope Takadini...
Nimesikia hii habari ikitolewa na Mtangazaji wa E-FM, Abdulrazack Maji akisema jana aliona mageti hakifunguliwa ili mashabiki waingie bure
Hii ni AIBUUUUU
Klabu ya Manchester United imeanza mazungumzo na Bayern Munich kwa nia ya kumsajili winga wa timu hiyo, Leroy Sane.
Sane bado ana mkataba wa miaka mitatu na Bayern Munich ambayo taarifa kutoka...
Tukio lililotokezea hivi karibuni kwa Mmilikiwa Club ya Napoli nchini Italia kuzungumzia kuwa kwa sasa hatapendelea tena kusajili wachezaji kutoka Africa kwa sababu ya kuwa wamekua wakim cost sana...
Nachojua mm manara kaja pale kama mc wa shughuli tu, na mechi ya Leo sio ya tff ni yanga wanasherehekea na kutambulisha wachezaji wao ,,hivyo hii mechi tff haiwahusu nachojua manara baada ya...
Poor rational thinking, mhandisi kahawa na mwanasheria kishoka. Tunakabidhi timu kwa watu tunaoamini ni wasomi na wenye kusimamia maadili halafu matokeo yake unashindwa kusimamia na utaratibu na...