Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara imefanya marekebisho kwenye ratiba ya michezo miwili ya Simba SC kutokana na sababu mbalimbali za kiufundi. Mchezo wa Simba SC dhidi ya Singida Big Stars, ambao...
1 Reactions
1 Replies
463 Views
Kumekuwa na malalamiko kutoka kwa Washabiki wa CS Sfaxien wa hapa nchini ambao hawajui sheria za mpira kwamba ni lazima mpira uchezwe dk zote 90.Na pia hajui kuwa dk zinazoongezwa huwa ni kwa timu...
10 Reactions
79 Replies
3K Views
Naendelea vyema na tabiri zangu na kuna watua mbao wananipigia kunishukuru kutokana na kufanikiwa katika kile ninachowapatia . nina ilimu ya Nyota hii nilijifunza kitambo kidogo. mara nyingi...
3 Reactions
21 Replies
742 Views
Nashaangaa mpaka sasa viongozi simba hawaoni.Nimeandika nyuzi nyingi za kuhusu fadlu na kuja kuua vipaji.. Sasa uwezo wa Chares Auwa, Balua na Kijili unashuka sana. Ata ateba sio alivyokuja Hadi...
0 Reactions
9 Replies
489 Views
1. Nafasi ya kiungo mshambuliaji no. 10 imeendelea kuwa ni tatizo kwa Simba, ni aibu timu kama Azam ina Feitoto halafu Simba haina mtu wa maana nafasi ile. 2. Simba inatakiwa ifanyie kazi eneo la...
7 Reactions
46 Replies
2K Views
Kibu Denis amefunguka baada ya kuibeba klabu yake ya Simba kwa kufunga magoli kwenye mechi na CS Sfaxien
4 Reactions
7 Replies
605 Views
Uchambuzi wangu Tangu nianze tasnia ya uchambuzi hapa Tanzania...Kila nikiiona Simba naiona ipo kishari shari ( vita) sio Kwa viongozi, wachezaji na viongozi Tuanze Kwa viongozi Viongozi wa...
0 Reactions
0 Replies
146 Views
Sikuwaelewa Simba kwa Fadlu David. Record mbovu mno aakiwa kocha mkuu. Anakuja kupewa timu kwa record za akiwa asistance kocha. Kila timu ikienda mapumziko inarudi ikiwa mbovu kuliko awali...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Hali ilibadilika ghafla Mashabiki wa CS SFAXIEN wakaanza kupigana wenyewe kwa wenyewe na hii inatokana baadhi ya mashibiki wa Timu hiyo wakitaka kuwapiga wachezaji wao ma wengine kuwazuia...
0 Reactions
7 Replies
871 Views
Ilikuwa inaelekea mwisho mzuri. Huyu dogo Kibu Denis akaja iharibu mwishoni kabisa. Simba kutoa draw ingenifanya nifurahie sababu wote sisi tungekuwa hakuna wa kumcheka mwenzie. Lakini. Dk za...
5 Reactions
4 Replies
329 Views
Jana wakaweka formation ya Yanga vice versa, leo hii wameweka mfungaji wa goli la Namungo dhidi ya Ken Gold ni Fabrice Ngoma
1 Reactions
3 Replies
334 Views
Mashabiki wa timu fulani wanatia huruma wakiongozwa na memba mwenye namba tatu kwenye id yake. Au ndio tuseme wameshajikatia tamaa na timu yao. Yani wameshupaza shingo kuisemea simba kisa bravo...
3 Reactions
5 Replies
278 Views
Bravos do Maquis 2 - 0 Constantine | CAF Confederation Mchezo unaendelea dakika ya 24 Bravos anaongoza goli 2-0
2 Reactions
108 Replies
5K Views
Timu iko Full Nondo. Ila wachezaji kufunga itategemea uwezo binafsi. Mechi mbili na Record zake akiwa kocha zinanifanya nimnyime timu fadlu David. Hana plan kamili ya kukaba au Kufunga tofauti...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Timu haitashinda mechi yoyote ya ugenini au Ngumu na Huyu huyu Fadlu. Ana cv mbovu sana akiwa kocha. Mbovu mno. Nimeandika uzi ya kumi hii tena kabla ata hajaja. Wajinga wanamfananisha na...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Kama we ni mtu wa mpira na sio mtu wa kuleta ushabiki kwa kila jambo utaungana nami, mfano ni tukio la kadi ya njano la Che Malone refa alipiga filimbi wakati mshambuliaji kapiga mpira kuelekea...
5 Reactions
21 Replies
998 Views
1. Simba ifanye tathmini upya kipindi hiki cha dirisha dogo kuhusu uwezo wa wachezaji wake wa kigeni kama kweli wanaweza kuitetea bendera na heshima ya Simba.Hadi sasa dirisha dogo linafunguliwa...
2 Reactions
27 Replies
1K Views
Ngoma ngumu ; waangola wako vizuri sana kuliko mategemeo yetu, wako kwao na wanajua kutumiia uwanja wa kwao, hadi sasa washamtandika Constantine mabao 2 0 na wanashambulia kama nyuki, Bravos...
5 Reactions
14 Replies
639 Views
Aisee hyu Jamaa arudi kwao maana Simba imemshinda, bora Morrison au arudishwe Sakho kuliko hasara hii, hii ni hasara kubwa kwetu, rudisheni Morrison
1 Reactions
7 Replies
414 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…