Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Msimamo upo taiti sana kwa Yanga, msimamo unamaanisha kwamba kuna timu ina point moja tu ikishika mkia. Nayo inataka kuingia robo fainali. Yaani timu zingine pale juu ziwe zinaitazama tu ikiingia...
13 Reactions
56 Replies
2K Views
Nimeona Kuna umuhimu wa kuwa na bandiko Mahsusi mwa mechi zitakazochezwa na timu zisizo maarufu kwenye Ligi ya Tanzania. Hiyo imetokana na kuwa kama Simba au Yanga hawachezi habari za mechi za...
7 Reactions
35 Replies
1K Views
Leo tarehe 15 dirisha limefunguliwa Me kama mwanachama hai wa Yanga Nina mapendekezo yafuatayo 1. Kiungo mkabaji Yanga inahitaji kiungo mpya wa ukabaki Khalid Aucho naona amechoka, ana majeraha...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Siku moja baada ya kuibeba Yanga SC kwa bao la dakika za majeruhi dhidi ya TP Mazembe, mshambuliaji Prince Dube amejiondoa katika mitandao ya kijamii. Hatua hiyo imewashangaza mashabiki na kuibua...
2 Reactions
3 Replies
447 Views
Kiongo Awesu Awesu anaanza leo, sambamba na Deborah Mavambo ambaye atazima na Fabrice Ngoma, juu wanacheza Lionel Ateba, Kibu Denis na Jean Charles Ahoua. Chini kama kawaida hakuna mabadiliko ni...
1 Reactions
9 Replies
388 Views
MIMI SIYO “MZALENDO” Napenda kumshukuru Mungu wangu kwa kunikirimu afya njema bila ya kumfanyia chochote cha maana. Hiyo ndiyo maana kubwa ya neema kwa jinsi ninavyoelewa mimi. Ahsante sana...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Yanga SC Kamfunga Simba SC Simba SC Kamfunga Azam FC Azam FC Kamfunga Yanga SC Imeisha hiyo.
8 Reactions
12 Replies
823 Views
Simba SC inakabiliwa na mwitikio mdogo wa mashabiki wake kuelekea mechi yao ya tatu ya Kundi A kwenye Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Sfaxien, Jumapili Disemba 15,2024 katika dimba la Mkapa...
0 Reactions
10 Replies
858 Views
Mechi: Yanga SC VS Tabora United Ligi: NBC Premier League Uwanja: Azam Complex Tarehe: November 7,024 Muda: 🕖 6:00PM Dakika, 11 Si Yanga wala Tabora hakuna timu iliyopata goli hadi sasa...
14 Reactions
1K Replies
48K Views
Man City na Yanga Afrika ni miongoni mwa timu zenye kiburi na jeuri katika ulimwengu wa Soka nchini Uingereza na Tanzania kwa ujumla. Sasa hivi utawala wao umefikia ukingoni kutokana na kupokea...
2 Reactions
29 Replies
1K Views
⚽️ Young Africans SC🆚Azam FC 📆 02.11.2024 🏟 Azam Complex 🕖 12:00 Jioni Kikosi kinachoanza dhidi ya Azam FC Mpira umeanza Dakika ya 3 Yanga SC wanashambulia kwa kasi Dakika ya 5 Dube anakosa...
22 Reactions
936 Replies
27K Views
Labda tunaweza kuziita feki (bandia) kutokana na ubora usiokidhi viwango.. Lakini kubwa ni kwamba mwenye dhamana ya kuziagiza hajatoa kibali kwa mwingine yoyote kuagiza kusambaza na kuuza...
34 Reactions
265 Replies
26K Views
Waingereza wanasema mchezaji wa Chelsea raia wa uingereza ana muelekeo wa kuwa Messi mwingine siku za mbeleni Wewe unakubali au unakataa? We taja wa kwako mwenye muelekeo huo, mimi namkubali huyu...
8 Reactions
112 Replies
3K Views
Haichukui nafasi ya daktari lakini kusema ukweli Yanga wameanza kuonyesha matumaini. Huenda wakaingia robo fainali kwa kushinda mechi zote 3 zilizo baki huku ikitegemea na matokeo ya mechi...
7 Reactions
113 Replies
3K Views
YangaSc Vs Al Hilal NJE YA PICHI.... Kesho Yanga watakuwa uwanjani dhidi ya Al Hilal miongoni mwa mchezo ambao nafikiri utakuwa mzuri na mgumu sana kulingana na ubora na uzoefu wa timu zote...
2 Reactions
2 Replies
482 Views
Mashabiki na wanachama wa Yanga acheni kusubiri dezo, kanunueni tiketi za mchezo wa Al Hilal, nimeambiwa trend ya ununuzi wa tiketi sio nzuri na imebakia siku moja.
6 Reactions
47 Replies
2K Views
Baaada ya Yanga kuichakaza team ngumu ya Sudan Kusini kwa bao 9-0 (yes ni ngumu ni mabingwa na siyo dhaifu kama unabisha na wewe ni dhaifu maana mayelle alikupiga bao 2) hali hapo jijini Khartoum...
14 Reactions
59 Replies
4K Views
Yanga kabakiza mechi 4. Anatakiwa kushinda mechi 2 za nyumbani. Anatakiwa kushinda mechi 1 ugenini. Anatakiwa kupata sare mechi 1. Akiwa na point 10 anaenda robo fainali. Matokeo ya jana sio...
8 Reactions
30 Replies
2K Views
Kocha Mkuu wa Simba SC, Fadlu Davids, amewataka mashabiki na vyombo vya habari kuacha kumwekea presha mchezaji wake Jean Charles Ahoua, akisisitiza kuwa kijana huyo bado ana safari ndefu ya...
1 Reactions
11 Replies
833 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…