Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Haiwezekani kila baada ya mechi ya Simba tena wakifanya vizuri wao ni press tu na kwenye press hamna cha kuzungumzia zaidi ya mabadiliko na usajili wa wanachama. Kama kuna shabiki wa Yanga...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Kila mchezaji duniani kote ana ndoto na anaomba ajiunge na timu ambayo inashiriki mashindano ya kimataifa, ili acheze mechi za kimataifa kwa lengo la kujinadi kimataifa aonekane kimataifa ili...
9 Reactions
56 Replies
5K Views
Mazingira ya soka yanabadilika sana kwa sasa kulinganisha na miaka 20 au 25 iliyopita. Uhusiano wa kocha na wachezaji ulikuwa wa "kigumu". Kocha aliweza kumuweka mchezaji benchi na uamuzi wake...
0 Reactions
1 Replies
469 Views
Ikitokea Simba SC yangu ikashinda au hata tu kutoka Sare / Suluhu na RS Berkane Keshokutwa ( Jumamosi ) nitakuwa ni mwenye Furaha Kubwa kwani Lengo letu Kuu litakuwa limetimia hasa kwa Mechi za...
8 Reactions
30 Replies
3K Views
Henock inonga baka (varane) (electrical fence) ni sawa na Abdul shaibu 19 Bakari Nondo Mamunye to 10 Kibwana shomali 40 Shaban djuma 19 Na ni 98℅ ya Raphael Varane mwenyewe alichomzidi huyu ni...
11 Reactions
42 Replies
4K Views
Hivi nikisema huyu ndo namba tatu bora wa muda wote katika ligi kuu ya Tanzania bara nitakuwa nimekosea? Huyu jamaa amecheza kwa kiwango bora kwa misimu karibia kumi mfululizo, amecheza timu ya...
14 Reactions
67 Replies
4K Views
Nyosoo alikutwa na masahibu gani? Mpaka akamfanyia mwenzake vitendo viovu kiasi ile?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Muda mchache ujao, wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Caf Confederation Cup, Simba SC atashuka dimbani ugenini nchini Niger, kumenyana na wenyeji wao, US Gendermerie katika dimba la...
13 Reactions
647 Replies
34K Views
Katika siku ambayo Dauda ameongea maneno ya hekima na busara basi ni jana YANGA kuna haja kubwa ya kujifunga kutoka kwa watani zenu "Kuna wakati wengine wakae na Viongozi wa Simba mnajadiliana tu...
7 Reactions
16 Replies
1K Views
Ufuatao ni Mjumuisho wa Kauli yake Moja tu aliyoitoa kila alipokuwa akihojiwa kuhusu Maoni yake juu ya Rufaa ya Yanga SC dhidi ya Wakili Msomi Raia wa Ghana Bernard Morrison aliyewamwaga Utumbo...
12 Reactions
33 Replies
4K Views
Here is my 3 hours workout on jersey design. What is your comment about this design? let me know. #jerseydesign #simbasportclub #graphicsdesign #creativity
0 Reactions
11 Replies
665 Views
Wana Yangu oyeeee!! Inatakiwa mlalamike jaman,maana umepangwa kind gum mno Jana mlopocheza na clab ya Al shabab mlitoa sare Polen sana
3 Reactions
17 Replies
944 Views
MFAHAMU MTOTO. ALLY KIMARA KWA UFUPI. Ally anamiaka 11 (anatimiza mwezi wa nne) mwaka huu, Ameanza kuugua akiwa na umri wa miaka miwili na miezi minne (2.4) Mama ake anasema ilitokea ghafra...
8 Reactions
17 Replies
2K Views
Lengo kuu la hili bandiko langu humu jukwaani, ni kukuomba tu kwa heshima na taadhima! Mheshimiwa Rais kuangalia namna ya kuvirejesha kwenye Halmashauri zetu baadhi ya viwanja vya michezo nchini...
7 Reactions
7 Replies
799 Views
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe.Mohamed Mchengerwa amesema Tanzania haiwezi kupiga hatua kwenye sekta ya michezo, iwapo itashindikana kuboresha miundombinu ya michezo, ujenzi wa viwanja...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
WanaYanga nadhani kesho ni muda wakuonyesha mshikamano wenu kwa kuwasindikiza Rs Berkane hata Kama wamefungwa wasindikizeni tu maana mliwapokea kwa shangwe
2 Reactions
4 Replies
616 Views
Ukiangalia wachambuzi wa super sport huwa wanakuwa wapo neutral kwanzia anayefanya marejesho ya video hadi wachambuzi na kuchambua kila aina ya tukio kwa kufuata sheria za soka kwa marejeo ya...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Haimbwi sana na mashabiki, haongelewi sana na vyombo vya habari,labda kwakua yeye ni Mtanzania,Watanzania hatuna tabia ya kusifia vya kwetu,au ndo Nabii hakubaliki kwao? Itoshe kusema kua huyu...
10 Reactions
37 Replies
3K Views
1.Fiston Abdoulrazack alisema wachezaji wa Simba walionekana hawana akili kwa sababu hawajui hata kujiposition Je wachezaji wa Berkane walijua kujiposition kwa mkapa? 2.Edo Kumwembe na Ambangile...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Hii ni kutambua uwezo mkubwa wa huyu Mchezaji ambaye hakuna wa kufanana naye katika wote wanaocheza Ligi ya Tanzania
13 Reactions
26 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…