JamiiCheck - Tanzania

A citizen-centered approach in countering misinformation and disinformation Online and Offline by JamiiForums

JF Prefixes:

BREAKING NEWS: $5 Billion in cash and $700 Million in Gold found in Buhari's New York residence as FBI raids property; Trump orders clampdown on Nigerian politicians homes. Trump has ordered the money to be placed on hold as he doesn't trust the current president of Nigeria, who he said is worse than Buhari. 👑 Priincee Skaywer 👑 The Quantum Activater.
JamiiCheck tafadhali mtusaidie kupata uhalisia wa hii ===== 𝐌𝐀𝐑𝐈𝐀 𝐒𝐀𝐑𝐔𝐍𝐆𝐈 : 𝐂𝐇𝐀𝐃𝐄𝐌𝐀 𝐊𝐔𝐒𝐇𝐈𝐍𝐃𝐖𝐀 𝐕𝐈𝐁𝐀𝐘𝐀 𝐔𝐂𝐇𝐀𝐆𝐔𝐙𝐈 𝐌𝐊𝐔𝐔 𝐖𝐀 2025 Mwanaharakati Maria Sarungi ametoa maoni makali kuhusu mustakabali wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025. Kupitia mtandao wa X (zamani Twitter), ameeleza kuwa chama hicho kimekosa umoja na mipango thabiti, hali inayopelekea migogoro ya mara kwa mara na kukosekana kwa uongozi imara ndani ya chama. Kwa mujibu wa Sarungi, CHADEMA inakabiliwa na changamoto kubwa za ndani ambazo zinaweza kuathiri nafasi yao katika uchaguzi ujao. Aidha, ametaja kuwa mgawanyiko wa uongozi na kushindwa kuimarisha mshikamano wa wanachama wake ni dalili za kushindwa vibaya katika uchaguzi wa 2025.
Dkt. Wilbrod Slaa Aachiwa kwa Dhamana Yenye Masharti Makali Leo Februari 7, 2025 Mahakama Kuu ya Tanzania leo imemuachia kwa dhamana Dkt. Wilbrod Slaa, baada ya kukaa mahabusu kwa zaidi ya mwezi mmoja. Dkt. Slaa anakabiliwa na shtaka la kusambaza taarifa za uongo kupitia mtandao wa X (zamani Twitter), kinyume na Sheria ya Makosa ya Mtandao ya mwaka 2015. Masharti ya Dhamana Masharti aliyowekewa ni pamoja na: Kuwa na wadhamini wawili wenye mali isiyohamishika. Kukabidhi hati za kusafiria mahakamani. Kutosafiri nje ya Dar es Salaam bila kibali cha mahakama. Kesi hii imeibua mjadala mkubwa. Serikali inasisitiza umuhimu wa kudhibiti taarifa potofu, huku wanaharakati wakionya kuwa sheria za mtandao zinatumiwa kuzima uhuru wa...
Nimeipata WhatsApp hii, Je ni kweli? Inadai kuwa ipo dawa mpya inayojulikana kama 'strawberry quick' ambayo imekuwa ikitolewa kwa kificho kwa wanafunzi kwa malengo ambayo hayajafahamika hadi sasa. Taarifa inadai zaidi kuwa Watoto wanakula wakifikiri kwamba ni peremende na wanakimbizwa hospitali wakiwa katika hali mbaya. Pia inakuja katika chokoleti, siagi ya karanga, cola, cherry, zabibu na machungwa. JamiiCheck tusaidieni kufuatilia!
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kikiwa na historia ya miaka 48 ya uimara, umoja, na mafanikio makubwa, kimeendelea kuwa mwamba wa siasa za Tanzania huku kikijipambanua kama kiongozi wa maendeleo na mshikamano wa kitaifa. Kwa upande mwingine, vyama vya upinzani, kama CHADEMA, vimeonekana mara kwa mara kushindwa kuonyesha uimara wa kisiasa na kusimamia masuala ya msingi yanayogusa maisha ya Watanzania. CCM, kupitia misingi yake imara ya kihistoria, kimefanikiwa kuimarisha uchumi, kuleta amani na utulivu, na kuendelea kushika usukani wa maendeleo ya kitaifa. Kwa mfano, katika awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, CCM imeonyesha jinsi ya kuendesha diplomasia madhubuti, kuimarisha miundombinu, na kutoa fursa kwa Watanzania kushiriki...
Zipo imani na madai ya mbalimbali ya kijamii yanayobainisha namna ambavyo mama anaweza kumdhoofisha (kumbemenda) mtoto wake baadhi ya madai hayo ni: 1. Baba na Mama hawapaswi kujamiiana wakati kipindi cha unyonyeshaji kwa sababu kufanya hivyo hupelekea mtoto wao kudhoofika (kumbemendwa). 2. Lazima mama aoge ajioshe na sabuni kwanza baada ya kujamiiana ndipo amnyonyeshe mtoto wake ili asimbemende. 3. Mama akipata ujauzito wakati bado ananyonyesha anaweza kumbemenda mtoto wake. 4. Mzazi akijamiiana nje ya ndoa akishiriki tena tendo na mwanamke wake anayenyonyesha anambemenda mtoto.
Nimekutana na hii taarifa mtandaoni ikisema mamlaka ya vitambulisho vya Taifa (NIDA) kwa kushirikiana na chombo cha utoaji wa huduma za Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) kwa pamoja wametoa mkataba KANJU ENTERPRISES LDT wa kutoa huduma kwa wananchi ya kufanya marekebisho ya majina/taarifa zilizo tofautiana kwenye; Cheti cha Kuzaliwa na NIDA/Kitambulisho cha Taifa. Je ni upi uhalisia wa taarifa hii?
Back
Top Bottom