Jamani Asprin yuko wapi? Namtafuta sana, kuna kazi ya Taifa naona anaweza kusaidia
Nadhani wote mnafatilia soap opera ya ukaguzi wa vyama na kamati ya PAC
naona ni kama mambo yamekwama sababu...
Sio kwamba naabudu wazungu ila mara nyingi ukikuta wanawake wa kizungu wanapiga story za kawaida utakuta wanaongelea masuala ya vyakula , afya, mazingira tofauti na hawa wakwetu ambao lao moja...
Na kisha mkishakazana kuuperuzi Uzi wangu , mnipe ushauri wenu .
Ili iitwe jamii ni lazima pawe na watu wenye silka tofautitofauti .
Waungwana , washenzi , wahuni, wezi , mashoga , vibaka ...
Salaam!
1.Huyu yupo katikati ya ngazi kasahau kama anapanda ama anashuka
2.Huyu upo kitandani kasahau kama anataka kulala ama kuamka
3.Huyu chupi ipo magotini kasahau anavaa au anavua
4.Huyu...
Unataka mwanamke/msichana akupende na kutokuacha kamwe?
Basi fanya yafuatayo:
MOSI,Mpe hela,
hilo likishndkana,
PILI MPE FEDHA,
Bado hakupendi?
Tatu,aisee toa PESA,
nne,MPE hela,
na...
Pastor was standing at the door after mass greeting people..
He grabbed Onyango by the hand & pulled him aside...Pastor told Onyango,
"U need 2 join the Army of the Lord!"
Onyango: "I'm already...
Kwamba wewe unaeperuzi hapa , ima uwe Njemba (Me) ama uwe Shori (Ke)
Una mpenzi wako mnaependana sana kwa dhati ya nafsi zenu .
Pamoja na kupendana huko , watambua ktk suala la kumlinda...
Kulikua na kikao cha wazazi kuhusu vijana wetu wanaosoma watu wakachangia ndo ikawa zamu ya mzee mmoja wa kihaya na tulimjua kabila lake kutokana na jina na lafudhi ikawa badala ya kuongea...
UMOMBO WALETA BALAA
Jamaa kaenda sehemu kwenye interview ile kuingia tu chumba Cha interview,
Boss akamwambia" Wait Please''
Jamaa akajibu 75 kg Sir*
CHEZEA UMOMBO WEYE,!!!
Cheki Watoto Wa Tz WalivyoHaribika:
Wazir Wa Ujenz Magufuli,
Alifanya Mkutano Akasema mtu Yeyote
Akijenga Pemben Mwa Barabara hiyo
Nyumba Tutaiwekea X, Akashanga
Watoto Wanashangilia Kwa...
Naomba kuleta mawazo haya kwenu nakumbuka mwaka jana tulikutanisha wana CC pale kebbys naomba mwaka huu tu organiz kitu kama hicho kabla ya Christmas na kifanyike pale escape1 au 2 je mwaonaje...
Mtoto:Baba nikwambie kitu...
Baba:Nilikukataza kuongea wakati wa kula haya nyamaza....
Mtoto:Akaendelea kula mpaka wakamaliza kula...
Baba:Haya sasa sema ulichotaka kuniambia...
Mtoto:Nilitaka...
Ni toleo jingine la JF UDAKU mwezi wa kumi likiwa limesheheni habari motomoto, Kwa hisani ya TANMO , Bishanga na Elizabeth Dominic natiririka kama ifuatavyo...
1.Sakata la madawa ya kulevya...
ukiivuta chini unaumia, ukivuta kwa juu unaumia. ukisema itulie hapo hapo ilipo nasa unaumia. ushaonja maumivu ya zip iliyo nasa kwenye ngozi ya mdudu?. mia