Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Jaman mtu aloahilisha mwaka akaandika na barua ya kusitisha mkopo wake akitaka arudishiwe coz anataka kuendelea na shule anafata procedure gan??? Help plz!!!!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini wanaJF wenzangu! Nnatoa dukuduku ya niliyoshuhudia leo, leo nililazimika kwenda kuituma fomu ya bodi kinachoshangaza hawa jamaa wanataka tutume kwa EMS. Nilifika posta nikakuta foleni...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Moja ya vitu ambavyo serikari ya awamu ya nne imemaliza navyo ni kuunda Tume ya Utumishi ya Walimu lengo kuu ni kutatua matatizo ya walimu na kuunda sheria na kanuni za utumishi katika kada ya...
0 Reactions
15 Replies
9K Views
Wapendwa wana Jf nimekuwa naona jinsi wanafunzi wanavyo hangaika kupata fomu yenye maelekezo (joining instruction) mara wanapo chaguliwa, swali langu ni; serikali inashindwa nini kutengeneza...
0 Reactions
0 Replies
940 Views
Wakuu poleni na majukumu Kuna ndugu yangu kaniomba nimsaidie kuulizia gharama za kumpeleka mtoto A-Level (private schools), mimi nilisoma gvt zama hizo, hivyo sina la kumwambia. Naombeni muongozo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Natafuta chuo kinachotoa masters ya Transport Economics. Mwenye msaada plse.
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Mwenye join instruction ya kigama sekondari anifanyie mchakato.0784979520.
0 Reactions
0 Replies
983 Views
Mwenye kujua anifahamishe. Mahali ilipo Lilian Kibo Sekondari. Ukiwa Ubungo panda gari za kimara mbezi na shuka Mbezi Mwisho then mwambie dereva yeyote wa boda boda au bajaji atakupeleka hadi...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Anayejua mahali mwanafunzi anaweza pata mkopo with guarantee kwamba atafanya kazi bure kwenye hiyo taasisi au kwa uyo mtu atujuze tafadhari manke tumekwama ada wingine tunaelekea kutokufanya UEs...
0 Reactions
0 Replies
808 Views
Habari wanaJF Natumai nyote ni wazima kuna huyu dogo alikuwa anajitahidi sana darasani matokeo yalivyotoka alipata pass ya 1.4 alikuwa na C-4,D-2,E-1,na F-1.na zilibalance kombi za arts Matokeo ya...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu kwa mtu anaetaka kurist ili apate credity utaratibu ukoje sahv...na kama una credity mbili,unahtaj upate ya tatu unaruhuciwa kurist masomo mangap!!!!!???
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau, Naomba tujiulize hilo swali, je ni kitu gani huwa kinafanya kiungo chochote kifanye unachotaka? Na hicho kinachoamua hiyo body part ifanye huwa inaambiwa ifanye na kitu gani? Mfano...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wapendwa kwa mwenye taarifa anijulishe kama wizara ya mifugo na uvuvi imetangaza majina ya waliochaguliwa kujiunga na masomo mwaka huu msaada tafadhali
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Habari wanajamvi…! Naomba msaada kama kuna mtu anaweza nipatia Contact za Lyamungo Secondary School iliyoko wilaya ya Hai mkoa wa Kilimanjaro, ni vyema kama ningepata za Mkuu wa shule au msaidizi...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
samahani kwa anaejua join instruction za kifaru zinapatikana wapi anisaidie maana siku zimeenda kweli..ahsante
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nipo chuo kikuu cha Muhimbili mwaka wa pili, natafuta tempo ktk masomo ya Chemistry na Biology kwa miezi mitatu from August to early November. Nikipata Mwanza, Dsm, au Geita itakua nzuri zaidi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana JF, Je, mtu mwenye ordinary diploma ya education, ana uwezo wa kusomea kitu chochote?? Na kwa level ipi? Punde amalizapo kozi hiyo ya ualimu.. Nawasilisha wakuu!
0 Reactions
3 Replies
948 Views
Tafadhali naomba anayefahamu vigezo vya kujiunga na Kidato cha 5 atuwekee humu jamvini. Tovuti ya wizara ya elimu inaonesha kuwa wameshatoa vigezo lakini ukifungua link husika unakuta ni Barua...
1 Reactions
4 Replies
11K Views
Waungwana mnisaidie, kama kuna shule nzuri za science hasa za private nitajien
0 Reactions
63 Replies
21K Views
Jaman Nahitaji shule za advance michepuo ya science
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…