Wakuu kuna hii kozi ya bachelor of science in aquatic science and fisheries, inayotolewa hapa UDSM..
Naomba kujulishwa kuhusiana na soko lake la ajira lipoje.?
Hususan kwenye kuajiriwa na...
nimejaza formu ya mdogowangu ya mkopo onlline na kuimaliza kabisa lakini sasa nimekutana na jambo la ajabu nikitaka kuiprint naambiwa sijamaliza kucomferm post form four exams, nikienda kwenye...
Habarini vijana wenzangu,poleni na mchakato mzima wa ujazaji hizi fomu za helsb kwakuwa zimekuwa na changamoto tofauti.
Sasa kwa wale ambao katika fomu wamejaza details zao na kisha ku...
Habarini Wakuu nilikuwa naomba kuuliza kwenye kujua kozi tajwa hapo juu inayotolewa UDOM zaidi inahusika na nini na mtu anaehitimu hapo anaenda kuwa nani huko kazini?
Pia vipi kuhusu ajira...
Ujira wa assignment dunia ya elimu ya bure
Kuvuja kwa pakacha nafuu kwa mchuuzi: ni hivi kuna vilaza luluki wanaolazimisha elimu bila ya kuwa na maarifa sasa hapo imejotokeza nafasi ya...
Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI inatangaza ajira ya wahitimu wa mafunzo ya ualimu na mafundi sanifu maabara katika mamlaka ya Serikali za Mitaa.
Kwa Maelekezo zaidi tafadhali soma taarifa...
Kwenye tangazo la vijana wa kujiunga JKT wanaseme waende na vyeti vya kuzaliwa na Living za form six. Sasa mjomba wangu alikuwa na haraka akasahau kuchukua living. Je asipoenda nayo watamrudisha...
Mwanasheria mkuu wa chuo kikuu cha Dodoma ameandika barua ya kuacha kazi ndani ya masaa 24. Hii imetokana na yeye kushindwa kuendelea kuvumilia kitendo cha uongozi wa chuo hicho kuwa na tabia ya...
Habarini wanajamvi,
Kwa ufupi ni kuwa mdogo wangu alimaliza form six 2014 na kupata division one ya points 7 PCM,lakini kutokana na alipata kikazi cha kujishikiza kidogo akaamua kuto aplly mwaka...
Wadau nimekuja kwenu leo, kutaka majibu ya maswali yaliyokuwa yananitatiza kwa kipindi kirefu.
Na pia nimeamua kumwaga hoja hii mbele yenu nikiamini kabisa kuwa hapa ni mahala sahihi kwa kila...