Nimekuwa nikipitia hatua mbalimbali za maisha, nilihitimu kidato cha sita mchepuo wa sayansi (PCB) miaka kadhaa iliyopita, sikubahatika kuendelea na ngazi ya shahada ila nikajiunga na masomo ya...
salaam sana, wana jamvi naombeeni kuelimishwa namna ya kutuma maombi ya ualimu wa diploma shule ya msingi, aidha nimeenda kule kwenye website ya necta maelezo nimeyapa nusunusu. sijaeelewa...
Habari,
Naam,ndugu zangu mnaoenda kusomea ualimu jueni ya kua nyie ni watu muhimu kwa taifa hili kwa kua in the near future ndio mtakao kuja ku impart knowledge and skills kwa watoto wa kitanzania...
Baada ya kimya cha muda mrefu hatimaye ajira za ualimu zimetoka. Ingawa wengi wamepelekwa vijijini lakini kutoka kwa ajira hizo kumeleta matumaini na furaha mpya kwa wahitimu wote waliokuwa...
Habari wanajamvi!
Tukumbushanene mambo yawapata wahitimu pindi wanapofuatia vyeti vyao!
Mimi ni pamoja na kuchelewa gari wakati nimesha kata ticket na lugha mseto!
Vipi wewe unakumbuka nini na...
habari ya jumapili, samahani ninatafuta chuo cha ualimu kwa ngazi ya cheti pia nauliza kwa wanaoelewa naomba kujua kama kwa matokeo haya naweza kupata hiyo nafasi, C moja, D Tatu, na E tatu
Kwa walimu wapya wanaoanza ajira, hizi ni adhabu mbalimbali zinazotokana na mwalimu kukiuka kanuni za maadili.
KILWA DISTRICT COUNCIL
KIKANDA SECONDARY SCHOOL
OFFENCES AND PUNISHEMENTS TO...
Serikali jana nimetangaza majina ya walimu msingi na sekondari. Na wataalamu 264 wa maabara za shule cha ajabu sasa majina ya wataalamu wa maabara ayajatoa eti kisa maabara za shule ya kata bado...
Ukiangalia kwenye post za ualimu watu wamepelekwa sehemu mbali mbali. Wengine wametajiwa jina la sehemu na kuandikwa TC, sasa hebu niondoleeni utata;
TC=Training College? Teaching College...
Hongereni sana wakuu kwa kuajiriwa,tulikua tunawacheka wkt tuko chuo ila nyie mmetangulia kula mema ya nchi.sisi wenzenu kozi tulizosoma ndo zile za kujazwa diamond jubilee kwenye usaili.
kama una uzoefu na hili jambo hebu toeni msaada though walimu wengi walioondoa supp last year majina hayapo na wengine baadhi ya vyuo hawapo nini kifanyike?
je ni kwenda vyuoni su Tamisemi?
Wanajamii forum wenzangu.
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili katika chuo fulani na ninachukua degree ya mawasiliano ya umma. ninaomba msaada wenu kuhusu topic zinazo relate na masuala ya...
Nacte wana mpango gani na wahitimu wa 4m4 wa mwaka jana maana gpa zao hazieleweki maana wa pass,credit hawaeleweki wataenda wapi? Duuu:(:D:p:D:(;):beer: