Kati ya taasisi ambazo nilitokea kuzikubali kiutendaji ni baraza la mitihani la tanzania (NECTA) Lakini kwa hili naanza kuwa na wasiwasi na utendaji wa baraza kwa sasa. kinachopelekea niseme ivo...
Wizara ya kilimo, chakula na ushirika imetangaza nafasi za masomo kwa ngazi ya diploma na cheti katika vyuo vya kilimo. Mwisho wa kutuma maombi ni 30 mwezi wa sita.
Tembelea www.kilimo.go.tz kwa...
Habari wa ndugu !
Naomba kusaidiwa majina ya shule zinazofundisha walimu wa nursery (english medium) kama itawezekana na mawasiliano yao .
NB: kwa zile zilizosajiriwa na serikali.
Asante.
Umakini wa serikali yetu uko wapi???? Tamisemi imetoa majina ya ajira mpya za walimu lakini cha kushangaza imeajiri walimubambao wako kwenye ajira tokea mwaka jana...Walimu waliomaliza chuo cha...
Wadau, nauliza hivi bado kuna malipo kwa ajili ya watoto wetu wanaosoma shule za sekondari? Mtoto wangu ameniletea barua kutoka shule ikinitaka kulipia mahitaji kama nilivyoorodhesha hapa chini:-...
Tunafurahi kuwatangazia Walimu Wastaafu wote katika Mkoa wa Shinyanga kujiunga na "Umoja wa Walimu Wastaafu_Shinyanga.
Upatapo taarifa hii, mjulishe Mwalimu Mstaafu aliye Jirani yako.
Kwa maelezo...
Nikiwa kama msomi mpaka sasa naamini mambo yafuatayo kuhusu lile tangazo;
1. Katibu mkuu alitumika kujibu presha ya social network bila scientific evaluation ya reality ofisini kwake.
2. Lile...
Habari walimu wenzangu?
Me ni miongoni mwa waaanga wa janga hili la ajira za mwaka huu. Kutokana na sintofahamu inayojitokeza, kesho asubuhi nitaenda kupata maelezo ya kina katika Jengo la...
Kwanza kabisa TAMISEMI hamkua na ulazima wa kutoa ahadi ya ajira kwa walimu wapya ifikapo 25/04/2015. Tamko mlilolitoa limeathiri watu wengi kisaikolojia, hivyo mkiwa kama taasisi yenye dhamana...
Jaman kama kuna mwenye tetesi kuhusu majina ya wanafunzi watakao jiunga na vyuo vya ualimu yanatoka lini naomba anijulishe,mahana nili2ma kama mwanafunzi wa prvt sijuhi nitashughulikiwa!!maana...
Hello Wanajamvi.. Habari zenu..
Mimi nataka Kuulizia Kuhusu Bodi ya Mikopo je wanaanza Lini kutuma Maombi kwa Njia Ya Mtandao. Mana Kuna Mwanajamvi niliona Amesema Wameshaanza Kuapply toka...
Nina cheti cha grade A Ualimu, pia nina cheti cha elimu maalum cha Patandi na nina cheti cha foundation cha Open University na elimu ya kidato cha 4. NACTE wamenambia nipeleke vyeti vyangu...
Ndg mwl.utakayependakubadilisha kituo cha kazi njoo wilaya ya ngara-kagera nami niende geita.Idara ya
shule ya msingi.
Wasiliana nami kwa namba hii
0754403166
tulieni muda ukifika yatatoka,alietoa kauli pia ni binadamu kama leo ni weekend wakati anatoa kauli hakujua tar25 ni lini..?,wewe mwalimu unawaza hivi na umeahidiwa ajira je aliesoma...
Habarini! Leo majina yatatoka na vituo tulivyo pangiwa hata yasipo toka leo ila ni lazima yatatoka hio ni panga pangua,either unapenda au hupendi na naamini lazima nipangiwe sasa mm hapa nilipo...
Serikali mara nyingi inalalamika walimu wa sayansi hawatoshi, ukimya huu unapeleka message gani kwa waalimu hao? Toeni hata tamko basi msiwavunje moyo kama hizo ajira zipo na kama hamna wajue waka...