Ushauri natarajia kwenda advance miezi michache badae but kuna baadhi ya topic nilizipotezea ktk Chemistry na physics wakati nipo O-level,wale waliopitia hiyo njia kuna ulazima nizisome maana hivi...
Unapokuwa unasubiri jambo,na kwa mapana yake ,wahusika wenye dhamana haswa viongozi walio na dhamana ya kuaminisha au kuondolea utata jambo hilo wanapokuja na kauli za kilaghai na kitapeli,huu ni...
Walimu waliodanganywa ajira na serikali tayari wamepanga kufanya maandamano makubwa nchi nzima mikakati hiyo inafanywa kila mkoa. tayari vikao vya kupanga mikakati vinatarajiwa kuanza leo join...
Habari,
Tafadhali, kwa anayejua gharama za ku'publish' kitabu chenye page 500 tafadhali naomba anijuze!
Mungu awabariki sana.
NB: Ni kitabu cha somo la Hisabati kwa shule za primary.
habarin wakuu! binafsi naamani pamoja na sababu zingine ndugu zetu walimu(taraji) hawajapata ajira mpaka sasa ili uandikishwaji wa daftari la kudumu la kupiga kura uishe au uwe umefanyika sehemu...
Tunaomba mfuatilie na pia mtoe taarifa ya ukweli kuhusu kilichosababisha ajira za ualimu zisitangazwe leo kama ilivyoahidiwa na TAMISEMI mbele yenu. Hasa ITV
Unyangema,ugaidi,uasi,ushetani,ufrimesan,uuaji,ubabaishaji,utani Wa Ngumi Wa Serikali Juu Ya Walimu(TARAJALI) Umenipa Wazo La Kutaka Kuungwa Mkono Na Walimu Tarajiwa,waliomakazini Na Wenye Upendo...
Wakuu naibu waziri wa fedha mh mwigulu nchemba amekaririwa akitamka wazi kuwa serikali kwa sasa inakabiliwa na ukata wa fedha na hivyo kushindwa kuwaajiri walimu wapya kwa kuwa haina fedha za...
Habari Wanajamii Forum?
Naomba Kupata Ushauri Kuhusu Maombi Ya Kusoma Vyuo Vya Afya 2015/2016, Moja Ya Sifa Zao Ni Kuhitimu O Level 2009 Mimi Nimehitimu 2008 Na Sifa Nyingine Zote Ninazo Naweza...
Nafikiri labda walikuwa wanataka waachie kwanza majina ya machalii au madogo wanaoingia kidato cha V, then after majina ya walimu na vituo vyao vya kazi yanafuatia so may be kesho au kesho kutwa...
I am looking for someone who is studying or has completed a masters degree in microbiology and immunology at MUHAS. I just wanna know more about the courses and work load. Any help rendered will...
Sitaki kuamini kama sasa ni saa 12 jioni,, siamini kama tamisemi wameshindwa kutimiza ahadi,! Hivi Bwana Sagini kwa nini ulikurupuka na habari usiokua na uhakika nayo?...Watu tumesimamisha...
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Hatimaye yale yaliyokuwa yanasemwasemwa saaaana kuwa hii serikali ni zaidi ya "magic movie" nimeamin aisee, yan viongoz hawana "Ethics ya...
Tunaiomba tamisemi ituwekee hewani orodha yetu ya majina ya walimu wapya kwa mwaka wa kumalizia masomo 2014/15 kama walivyotuahidi sisi wahitimu kupitia vyombo mbalimbali nchi Tanzania kama vile...
Kila thread ooooooh ajira tumechoka sie wengine tunamambo mengine - fanyeni mengine na kumbuka hakuna chama kinakachowakomboa pasipokuwepo na revolution hapa tanzania
Mambo yote mbele kwa mbele...