Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Msaada wakuu ninahitaji kujiunga na chuo facult ya medicine ngazi ya stashahada ila kwa sasa ni mwalimu na nategemea huo mshahara unisogeze hadi nitakapomaliza chuo. Swali je, naweza kujiunga na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Invalid posts ID misused by another user
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hey Guys ningependa kufahamishwa kuhusu mtu mwenye Bachelor of Arts in Philosophy anaweza kufanya masters ya aina gani na gani. Msaada Wakubwa
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Je una mtoto mwenye umri kati ya miaka 0-12? Na unampenda? Ungependa apende kujifunza na kuwa makini na mahiri katika elimu? Tuna kitu cha kumfanya awe hivyo na ni hiki hapa, kutana na programu...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Naitwa madam Mahenge nipo chuo kikuu cha Dar es salaam mwaka wa mwisho nasomea ualimu kwa hiyo natafuta tempo baada ya kumaliza chuo.Namba zangu ni 0766633753'0719136187 Asanteni sana
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau tu! Mimi ni mwalimu mzoefu wa masomo tajwa hapo juu,nina (B.A.ED)-UDSM. Natafuta kazi ya kufundisha A-LEVEL&O-LEVEL. Kwasasa namalizia mkataba wangu na mwajiri wangu niliyenaye!
0 Reactions
0 Replies
789 Views
Naitwa Adam Moshi Jr, ni mwanachuo Mtanzania nasomea "International marketing" kwenye chuo cha "Norwegian School of Business BI" nchini Norway. Kwa miaka kadhaa niliyoishi nchini Norway, nimepata...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
samahani wanajamii mi ni mhitimu wa kidato cha nne 2014-15.nilikuwa nahitaji msaada wenu naombeni mniambie vyuo pamoja na course zinazotolewa vyuoni hapo ambazo mtu anaweza kujiajili...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nataka niisome hiyo kozi mwaka huu...ushauri wenu wadau je iko poa?? Nimeona kama wana collaborate na Bradford university, reputation yake ikojee??? asanten
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Wadau .. msaada tutani ...ni chuo gani kizuri kwa kuanzia certificate ya Community development kwa aliye maliza form 4 mwaka jana. asanteni
0 Reactions
11 Replies
3K Views
kwa definition yangu masters is a political education basing ya field angu ya biashara so nahitaji kusoma chuo chenye credibility na kimeandikishwa na kinatambulika kitoacho masters kwa muda wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
tafadhari: kwa anaejua vizuri jinsi ya process za kuappeal kupata mkopo mwaka wa masomo 2014/2015
1 Reactions
19 Replies
13K Views
samahan sana ndugu zangu kwa anaye jua vyuo vya afya vinavyotoa course ya clinical officer ktk certificate na diploma naomba mnijulishe wadau pia ada zake na mahali kilipo
0 Reactions
0 Replies
2K Views
70% of the city's population lives in informal settlements. Kuna jamaa humu JF alitumia neno "stoo"!! [Mimi simo, nimeweka link hapo chini] Which is the poorest city in the world? | Cities | The...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MGOGORO ulioibuka katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Joseph tawi la Arusha baina uongozi wa chuo na wanafunzi umechukua sura mpya kwa hatua ya mmoja wa wahadhiri wa chuo hicho kutoka nchini India...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari ya uzima wakuu, Naomba kuuliza, ni lini result slip zitatoka kwa waliomaliza cha NNE 2014? Kwa yeyote anaejua pls
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Heshima kwenu wanajamvi!!!....kuna swali linanitatiza nalo ningependa pata majibu toka kwenu.Mtu aliyepata degree toka chuo cha ITA huanza kufanya mitihani ya bodi ya wahasibu kuanzia module...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habarini wakuu. Naomba mnijuze shule nzuri za sekondari za binafsi ngazi ya o level zilizopo wilayani Same. Shukrani.
0 Reactions
22 Replies
13K Views
jamani nasikia hii coz ya ENVIRONMENTAL HEALTH SCIENCE Ni nzuri sana na ina mishe nyingi za kuingiza hela kuliko hata M.D? kuna ukweli hapo??
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…