Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Jaman naomba kufahamishwa kwa wale ambao wapo kwenye sekta ya elimu (walimu)kwa sasa mishara kwa level ya cheti, stashada na shahada ni kiasi gani kwa maana mm pia najiaanda kuwa mwalim.
1 Reactions
55 Replies
12K Views
Niliposikia rais akitangaza kuwa kuanzia mwakani elimu nchini itakuwa bure nilijiuliza maswali haya: 1. Mbona kuna wanafunzi wengi mpaka sasa matokeo yao ya mitihani yamezuiliwa serikali haija...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za kwenu waheshimiwa. Mimi ni mgeni katika jukwaa Hili lakini kuna jambo limenigusa nikaona nililete kwenu wazee wa uchambuzi huenda tukawasaidia Watanzania. Mwanafunzi wa kidato cha...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu Katika pita pita zangu internet nimekutana na page ya chinese goverment sponsorship for internatinal students na nlikuwa nataka kuapply lakini katika process ya application...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Muda wowote kuanzia sasa, kutafanyika mgomo na maandamano makubwa kwa wanafunzi wa BAED mwaka wa kwanza na mwaka wa pili ili kushinikiza chuo na bodi ya mikopo kuleta majina ya kusain pesa na...
2 Reactions
50 Replies
11K Views
1: Mkimaliza kuongea, niambieni niendelee kufundisha. 2: Baba yako aliuza ng'ombe ili alete ng'ombe mwingine shuleni. 3: Kama unajua kuliko mimi, njoo ufundishe wewe. 4: Ulikuja peke yako na...
8 Reactions
101 Replies
17K Views
Nimekuwa nikijiuliza suala hili mara nyingi unamkuta graduate wa Chuo kikuu amemaliza na anaishia kulalamika tu kuwa hana kazi. Swali ni kuwa wanafunz hawa wana sifa za kuaji
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Watu wengi niliosoma nao tokea shule ya msingi mpaka chuo wamekuwa wakiogopa sana kujihusisha na michepuo ya masomo ambayo ina hesabu kwa wingi, au ikitokea somo la hesabu ni lazima katika mchepuo...
2 Reactions
51 Replies
6K Views
NAOMBA UNIJIBU NA KAMA HAKUNA BASI FUATILIA HILI. Viongoji kwa mtazamo wangu wana ubaguzi wa hali ya juu sana, hii inamaanisha na serikali kwa jumla. '' watoto wa maskini na wa matajiri inatakiwa...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Kuna uwezekano mtu mwenye diploma ya account kusoma actuarial science degree
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Write the distance of any point of a line Y=mx + c from the origin as a function of x , hence find the coordinate of the point on the line Y=2x + 5 which is closest to the origin.
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Serikali kuweka majina wazi ya walimu wapya muda wowote kuanzia sasa. Chanzo:Katibu mkuu wa wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi,Prof.SIFUNI MCHOME...
0 Reactions
52 Replies
14K Views
Habari. Naomba anaejua wapi naweza kupata german dictionary in dar anijulishe. Shukran.
0 Reactions
0 Replies
936 Views
wakuu poleni na majukumu naomba msaada wa learning material ya cpa katika masomo aya A5 perfomance management na C2 auditing and assurance jamaa wa nbaa waliweka kwenye website yao ila inasumbua...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Wadau naomba Masada kama kuna mtu anayejua hii shule ilipo anifahamishe Tafadhali.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu kuna kozi za hesabu hazina manufaa kabisa. Mfano abstract algebra yaani ni kutesana bila kuleta mafanikio. Mlioisoma popote pale tubadilishane uzoefu maana mi ningekuwa senete ya chuo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
INTRODUCTION OF MID EXAMINATIONS The NBAA Governing Board in its 2nd extra-ordinary meeting held on 29thDecember 2014 approved among other things the conduct of mid-examinations inthe months of...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Jamani mimi nimesoma mpaka Form six nimemaliza mwaka jana Div 3....sasa nataka kusoma kozi fupi fupi ambazo zitanifanya nipate ajira kwa urahisi. Naomba mnishauri nisomee kitu gani..... Vipi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani huku kwetu Jumatatu tar 9/02/2015 kuna uchaguzi wa CWT wa wawakilishi wa walimu. Sasa kinachonishangaza mimi ni Mwalimu ambae kwa uanachama ni mwanachama kamili wa CWT, lakini kuna majina...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu naomba anayejua jinsi GPA inavyopatikana anisaidie maana nimeangalia matokeo ya Form 2 yamenichaganya kidogo kwa maana sehemu nyingine GPA kubwa inakuwa ufaulu mkubwa lakini sehemu nyingine...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…