Helo. If you have graduate student loans, have you thought about refinancing to a lower rate? CommonBond allows you to consolidate your graduate (& undergrad) loans. They offer fixed and variable...
IS A university degree a good investment? Many potential students are asking the question, especially in countries where the price of a degree is rising, as a result...
Taarifa zilizotufikia ni kuwa kuna wizi (wenyewe huupamba kwa kuuita ufisadi) unaoendelea Chuo Kikuu Dodoma ambapo wanafunzi wanaohitimu wamekuwa hawarudishiwi pesa zao za kukodisha jofo kama...
Mwalimu Daniel Urioh.
Ninaomba WIZARA YA ELIMU iwe makini na wawekezaji katika secta ya elimu, hasa kwenye shule ambazo zinatoa msaada kwa watoto wakitanzania ambao familia zao hazina uwezo...
Mradi huu ambao uko katika mikoa minane hapa nchini umeanza kwa kutoa mafunzo mbalimbali kwa wadau anuwai kwa mikoa hiyo; lakini mradi huu unaonekana kama unafanya maigizo vile.
Mfano walimu...
Nina wazo la kuanzisha shule ya sekondary, nimeshajenga darasa moja tu, kwa sasa chekechea wanasomea asubuhi, na jioni pre-form tution. Je nitapateje fund kwa ajili kujengea madarasa 7 mengine...
Habari!
Naomba mnisaidie kupata jina zuri la shule.
Shule ni ya sekondari kuanzia O'level mpaka A'level,dini zote (non-denominational),jinsia zote (co-ed),kutwa na bweni na ipo Bagamoyo mkoa wa Pwani.
Mdogo wangu alipata matokeo haya hapa chini mwaka 2012:
LULUMBA SS-SINGIDA-Ana four ya 27(IV 27)
Physics=D
Chemistry=D
Biology=C
Ukiacha VETA,Anaweza chuo chochote kingine...
Habar wana jf ninaomba kufahamu hivi kwa chuo cha Ardhi university hakuna option ya mtu kuweza ku apply chuo moja kwa moja chuoni bila kupitia tcu,hii ni kwa wale walio maliza diploma kutoka vyuo...
Wadau,
Kwanza kabisa napenda kutoa pongezi zangu za dhati kabisa kwa baraza la mitihan Tanzania.Kwakweli kwa miaka miwili mfululizo sasa(2013&2014)wamejitahidi kutoa matokeo ya drs sa 7 mapema na...
ni takribani mwezi mmoja na wiki kadhaa zimepita toka vyuo vya ualimu tanzania kuhama kutoka katika mtaala wa content based curriculum kwenda kwenye competence based curriculum, kwa mujibu wa...
Najivunia sana kusoma somo la Kiswahili katika ngazi ya elimu ya juu, tunakidharau Kiswahili lakini kiukweli hatukijui. Kama wewe unakijua vizuri Kiswahili naomba unijibu swali hili dogo, mobile...
Heshima kwenu wakuu naomba kufahamu ni course ip? nzuri kwenda kusomea degree kwa mtu mwenye Diploma ya nursing anayetaka kuwa special na kitengo fulani?
Hello members
kwa yeyote anaejua mchanganuo wa alama na madaraja kwa O-level na A-Level naomba aniwekee hapa. Kuna app ilikuwa na madaraja ya zamani sasa tunataka kui-redevelop upya.
Zamani Mfano...
Ni takribani mwaka sasa tangu rais J.K kutoa agizo juu ya ujenzi wa vyumba vya maabara ktk shule zote za sekondari nchini!!
Wilaya ya Buhigwe - Kigoma ni moja kati ya wilaya chache nchini...