Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Zaidi ya Wanafunzi 200 wanaotakiwa kujiunga na elimu ya juu mwaka huu waandamana na kutinga hadi studio za ITV. Wakilalamika kunyimwa mikopo ya elimu ya juu ingawa wana vigezo vya kupata mikopo hiyo.
1 Reactions
17 Replies
3K Views
kutokana na mkopo utolewao na HESLB hususani 'tuition fee' kutokidhi mahitaji halisi ya wanachuo tulio wengi na hii ni kutokana na hali halisi za famila zetu. basi yeyote anayejua VYANZO VINGINE...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
jamani wadau naomba tujadili kwa pamoja, ni nani anafahamu hatma ya wadogo zetu waliodahiliwa na private institution kwa ajili ya ualimu daraja la 3A? maana huku mtaani ni mkanganyiko sana, kwani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tanzania Commission for Universities CLARIFICATION ON THE TRANSFER PROCESS The Tanzania Commission for Universities (TCU) would like to clarify to all the prospective students who applied for...
0 Reactions
98 Replies
28K Views
WanaJF naombeni msaada kwenu kwa anayefahamu. Ni course au program gani ya Masters degree anaweza kuchukua mhitimu wa BED Sc Biology zaidi sana kwa kudeal na Biology hiyohiyo. Mchango wako ni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Niaje wakubwaa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimefanya second round nimeandikiwa PROCESSED SUCCESFULLY YOU HAVE BEEN SELECTED niliomba geoinformatics apo ardhi university, so jaman naweza kubadili nkifika chuoni nikaenda geomatics mana...
0 Reactions
30 Replies
11K Views
Habarin za asubuh, mimi ni mmoja kati ya walio ktk janga la wanafunzi walio kosa mkopo mwaka huu, jana alhamis nimeona taarifa kwenye blog 1 iv et serikali kwakuwa imeona watu wengi wamekosa mkopo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani ndugu zangu ningependa kuwakumbushia kuwa msicheze peku Huko chuoni... kuna watoto wa mama salma.. Naongea hili baada ya kushuhudia mmoja wa wana chuo pale tumaini campus ya mwenge...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Anayefaham njia ya kuhama kozi kwa urahis ndan ya UDOM ingawa ajaanza fanya usajiri. Naomba maelekezo!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi mtumishi anaponyimwa ruhusa na mwajiri wake kuwa asiruhusiwe kwenda kusoma eti hajakizi vigezo hasa kuwa kazini miaka miwili na huku chuo kapata na loan tena asilimia 90 ni halali ? Na pia...
1 Reactions
26 Replies
6K Views
Ni zaidi ya miaka 50 tangu tujitawale wenyewe. nimetafakari sana kuhusu hali ya miundombinu ya shule kongwe za sekondari za serikali ilivyokuwa mbaya kwa sasa. hizi shule tumezirithi toka kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu wanajamvi, Awali ya yote niwatake radhi nitakao wakwaza kutokana na kauli zangu. Sina lengo baya zaidi ya lile la kuboresha. Ukitembelea majukwa mengi hapa JF, japo basi unaweza kutoka na...
4 Reactions
10 Replies
4K Views
Kwanza niwapongeze wale wote waliochagulia hapa chuoni kwetu (SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE ) kwa sababu mmepata bahati sana na pia hamtojutia kupata nafasi katika chuo chetu hiki kikongwe...
3 Reactions
197 Replies
28K Views
Nani kawaambia hayo? wengine tulifaulu vzr fm 4 na tulikuwa na sifa za kujiunga "A" level ila kwa hiari zetu tukaenda teaching as a right way of achieving triumphs,sasa wale wanaobwatuka2 eti wlm...
1 Reactions
74 Replies
6K Views
Siamini kama kwa mara nyingine nimekosa mkopo,kwani wakati nipo first year niliomba wakaninyima,nika appeal wakaninyima,nimeomba tena now holaaa,daah. Sifa ninazo ila kila nikiomba wananambia...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
At TCU wanadai waliopata transfer majina yao yanaanza kupelekwa vyuoni kesho..but kujiregister nako wanataka wajue percent yako ya mkopo ili waweze kuweka mambo yao clear...nao bod haifahamiki...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
IMPORTANT NOTICE TO CONTINUING STUDENTS PAYMENT OF TUITION FEES AND DIRECT COSTS: ALL CONTINUING STUDENTS ARE REQUIRED TO PAY TUITION FEES AND DIRECT COSTS FOR ACADEMIC YEAR 2014/2015 BY 30TH...
0 Reactions
22 Replies
9K Views
Nimeingia humu kuleta dukuduku langu kuhusu TCU nikakutana na nyuzi zilizoondolewa zinazohusu TCU. Sijui zilikuwa zinaongelea nini? Mi nauliza tu wale wadogo zangu waliopita kwenye mchakato wa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Mimi ni mhitimu wa shahada ya kwanza katika chuo kikuu cha St. Augustine, mwaka 2012, nilipata 100% loan from HESLB. Nafanya kazi private sector, kuna bwana mmoja alikuja mwaka jana akidai...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…