Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habari wakuu, Mfano aliyesomea stashahada ya uhasibu, uchumi au sheria, anaweza kuja kusoma ualimu ngazi ya shahada?
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Assalaam alaykum jamani vipi kuhusu transfer mbona wametoa wa medical tu sisi wengine vipi mbona wametuacha kwenye mataa mwenye taarifa atupe
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari wakuu, ST, Joseph Arusha haina hostel, ndugu kama unataka chumba plz nicheki kupitia 0684587770 kwa msaada. Mimi ni 1st yr km ww.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwenye kujua kama kuna batch nyingne za loan au ndo tushakosa kwa first yr na naomba mniangalizie namba s3623/0081/2010 kama imepata mkopo au imekosa. Natanguliza shukraan
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wale walio omba vyumba angalieni ARIS tayari wametoa majibu
0 Reactions
21 Replies
3K Views
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.myexample.Math_Form_pro This app is the basic mathematics learning and preparation materials that provide the depth of coverage necessary to...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
kumekua na mabishano ya muda mrefu juu ya hii hoja, tumalize malumbano hapa kwa kutumia "relevant facts" je hesabu ni sayansi au hesabu ni sanaa?
0 Reactions
90 Replies
7K Views
Wakuu, naamini mpo wazima. Niende moja kwa moja kwa nachoomba msaada. Naomba kuuliza, Je, marejesho ya Loan board kwa sisi tuliokuwa na,mkopo enzi tukiwa chuo yanaanza kulipwa mda gani baada ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Msaada kwa anayefahamu! Ukishadownload form za uhamisho na kujaza kwa wale wa NACTE zinatumwaje hizo form za maombi ? Sioni maelezo yao kabisa hawa nacte. Ni tangazo tu na form no directions kama...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Mwezi huu wa Octoba wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na elimu ya juu hapa Tanzania wameanza kuripoti kwenye vyuo walivyopangiwa. Awali ya yote nichukue nafasi hii kuwapongeza wale wote ambao...
9 Reactions
35 Replies
6K Views
Naomben mnisaidie pia mnipe ushauri nifanye nini maana nimepata chuo Sua ada yake ni 1,263,000/= bado vitu vingine chuo kinafunguliwa tarehe 13/10/2014. Nifanye nini mwenye kuguswa na tatizo hili...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Pamoja na yoote bado shule Umefanya Vizur hongereni sana kwa matokeo haya
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Je, kama hujalipa kias unachotakiwa kulipa kwa ajil ya tuition fee unaweza kuwa registrated na mwisho wa kulipa n muda gan? Mwenye uelewa na hil.
0 Reactions
22 Replies
4K Views
kuna haja gani ya kuwapo na huo utaratibu wa kupeleka form tajwa hapo mashuleni na vyuoni ukizingatia asilimia kubwa huwa zina fojiwa... naona haina haja yakua na huo utaratibu kwenye sehemu kama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mi ni mwanafunzi wa first year Primary Health Care Institute PHCI-Iringa natafuta chumba kilicho karibu na chuo umbali usiozidi 2Km kwenda chuoni na kodi isiyozidi 30,000. mwenye tetesi anitafute...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari, Attached ni majina ya wanafunzi ambao transfer zao zimekubaliwa, TCU wameanza na medical related programmes Tanzania Commission for Universities NOTICE TO ALL APPLICANTS WHO APPLIED...
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Jenista Mhagama, Deputy Minister for Education and Vocational Training Tanzania government may soon release the much awaited national education policy that aims to monitor, control and direct...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
TUME YA VYUO VIKUU TANZANIA (TCU) TAARIFA KWA UMMA TUME YA VYUO VIKUU TANZANIA (TCU) INA MAMLAKA KISHERIA KUSIMAMIA NA KURATIBU UDAHILI WA WANAFUNZI WOTE WANAOJIUNGA NA VYUO VIKUU VYOTE NCHINI...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Rais wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania alinukuliwa na vyombo vya habari akisema kuwa umefika wakati wa elimu ya sekondari kutolewa bure na Wanafunzi wa elimu ya juu walioomba mkopo kupewa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hbr za cku nyingine njema wadau wa JE? Leo naomba mdau anayefahamu utaratibu mzm wa utoaji wa pesa za kujikimu kwa wanachuo,maana nimeckia wananatoa kwa awamu.Natanguliza shukrani zangu za...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…