Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Taarifa niliyopewa leo na heslb juu ya wale wote ambao hawajapata taarifa juu ya mkopo kwamba wamekosa au wamepata, yaan akaunti zao hazidisplay taarifa yoyote ni kwamba admission zao hazijafika...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wana jukwaa. Mimi ni mwanafunzi katika chuo kikuu cha Mtakatifu Agustino cha Tanzania, Mwanza mwaka wa tatu 'BAED' na nimepanga kufanya utafiti (Research) juu ya mtazamo wa...
0 Reactions
3 Replies
976 Views
Wakuu, Kuna jambo moja limenishtua na nikaona tushirikishane. Jana niliona snapshot ITV kuhusu mzee mmoja akizungumzia swala la elimu nchini, aliongea kwa masikitiko makubwa na kuhitimisha kwamba...
0 Reactions
3 Replies
785 Views
Habari Za majukumu wasomi wenzanu. Nimeona C vibaya nikitumia fursa hii kuwapa muhtasari wa majibu tuliyopewa jana tarehe 13 October mimi na wahanga wenzangu wa NOT SECURED tulipokwenda...
5 Reactions
59 Replies
8K Views
Nisaidien wadau me nimetoka third selection kipindi wanatoa fursa ya kuomba kubadilishiwa vyuo sisi majina yetu yalikua bado hayajatoka, sasa binafsi gharama za saut sitoziweza nataja nihamie udom...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani hivi haya majibu ya transfer lini mbona kimya sana mtu hadi unakata tamaa ya kusoma mwenye kujua tunaomba atujuze
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mnakaribshwa wote kwa wale waliochaguwa Mzumbe kwa acourse mbalimbali Administration, Social science, bussines, economics na law. Karibuni Moro km20 from Moro mjini, friendly environment for...
1 Reactions
127 Replies
32K Views
Habari wakuu, Chuo kikuu cha Dar-es-Salaam(UDSM) kimetoa majina ya waliofanikiwa kupata mkopo kwa mwaka wa masomo 2014/15. Nimeattach hapa chini na yapo katika mfumo wa PDF
1 Reactions
80 Replies
28K Views
Kwa mdau anayejua gharama na upatikanaji wa hostel binafsi au hata magheto ya kupanga kwa maeneo yanayozunguka Nit anijuze wakuu kwani niko first year pande hizo.Ahsanteni kwa michango yenu wadau.
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Habari wakuu, Naomba msaada kama kuna mtu analink ya joining instruction za Udom 2014/2015 anisaidie
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari zenu WAKUU, nimeona vema tushirikishane katika hili kwa sababu kuna jamaa zangu kadhaa tumekuwa tukiwasiliana ili kuulizana na kujuzana ni yapi yanaweza kuwa ni mahitaji ya msingi ili uweze...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Inavyosemekana ni kwamba kuappeal huwa ni mwezi wa 12 ukishasajiliwa na chuo. Ambapo bodi ya mikopo huwa inatoa nafasi kwa wanafunzi wanaotaka kuappeal. Ninachojiuliza, je mwaka huu appeal...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwaka jana niliomba chuo na nikapata. Pia niliomba mkopo ila sikupata hata asilimia 0. Kutokana na kutopata mkopo nilishindwa hata kwenda kiripoti chuoni badala yake ilinibidi kujipanga mwaka huu...
0 Reactions
0 Replies
994 Views
Wana Jf nimepangiwa chuo cha st. Joseph kilichopo songea ila kwa sababu zilizonje ya uwezo wangu na familia yangu sitaweza kujiunga nacho kwa sasa mpaka mwakan Mungu akijalia. Nichukue hatua gani...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
habari za asubuhi waja jf kiukweli nimechaguliwa chuo cha Udom kupitia Nacte na nahitaji kuomba barua ya ruhusa kazini ila kikwazo kikubwa ni kuwa jina langu bado halijafika...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wadau.. Humu ndani kuna uzi mmoja nilisoma wa Mdau ambae anasoma IFM ambae yuko mwaka wa 3, Mdau Hakupata Mkopo ila sasa ana miezi kadhaa kumaliza, nilipenda sana kwani haya kweli huwa ni mambo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwanza Kabisa Nawapongeza LAPF kwa kuanzisha huu mpango wa kukopesha wanachama wake, maana wengne mafukara tulishaanza kukata tamaa ya kuendelea na masomo baada ya kufanya maombi HESLB mara kaza...
1 Reactions
4 Replies
11K Views
Inanishangaza sana pale serikali inapokosa pesa z kuwasomesha elimu ya juu watoto wa masikini,wakati huo huo ikiwa na pesa za kumlipa kila mjumbe wa BMK Tsh 300,000 kwa siku pia kumgharamia kila...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari bandugu, nina dogo hapa alikua anasoma Sua akamaliza mwaka wa kwanza course ya natural conservation ame disco. Baada ya kupata matokeo hayo fasta aka aply tcu upya amepata sekomu bsc in...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…