Jamani naombeni mawazo yenu mimi nilimaliza kidato cha 6 sita mwaka 2011 na kupata division 3 ya 15 na kupata principle moja na subsidiary but now nataka kurudia mitihani mitatu ili miwili yani...
habari wana jamvi... samahani ningeomba mtujuze kwa wale mlioenda kwenye maandamano ya amani kule bodi na TAMISEMI maana sisi wengine tuko mbali na mji na pia wengine nadhani wameshindwa kufika...
mwaka huu tcu wametoa selection kihuni waliodahiliwa kujiunga na elimu ya juu majina yao yametangazwa na vyuo walivyochaguliwa na huku wengi wakibaki na sintofahamu kwa kutoona majina yao.
Hapo...
Wana jf ndugu yangu kamaliza f6 mwaka jana HGK kapata 2 ya 12 ila anataka kuapply chuo kitivo cha PROJECT PLANNING MANAGEMENT AND COMMUNITY DEVELOPMENT. Je chuo gan wana offer hyo facult, na...
habarini wanajamvi! samahani naomba kujuzwa kama nafasi ya kukata rufaa bodi ya mikopo imetolewa maana hapa kichwa kimestak naona dalili zote za kutosoma kwa mdogo wangu na haya mambo ya not...
kwa wale walioomba transfer kupitia tcu nadhani watakuwa na taarifa muhimu toka tcu,kuna wale waliomba mwanzoni kabisa majina mia 7 hivi yametoka kwenye net,kuna tuliochelewa kidogo kabla...
inatakiwa tukubariane kwamba elimu ya tz ni bahati nasibu
unaweza ukaomba course priority alafu ukakosa mwenzio kaomba non priority kapata usiumie ndo bahati za watu zilivyo
nashauri yafuatayo...
eti jamani huku wilayani kwangu tuemtumiwa sms walimu wote tunakatwa tsh 25 katika mshahara wa mwezi huu kwa ajili ya maabara ktk shule za kata,,,Nahsi ni huku Lindi ktk wilaya moja niliko...
habari, kuna rafiki yangu amepata scholarship algeria, anaomba ushauri kwa anayefahamu ubora wa elimu ya nchi hii na changamoto anazoweza kukutana nazo akienda huko?
Habari zenu wadau:.
Rejea kichwa cha habari ... Naomba kujuzwa taratibu za kubadili chuo....
Sijaridhika na Elimu na Mazingira ya Open University of Tanzania (OUT)..
Alisoma CBG na...
ni process gan zina chukuliwa kuhamishiwa boom na mkopo na huwa ina tumia km mda gani ..tusaidiaane pleas km ni process ndefu tubaki kwenye vyuo tulivyyo pangiwa tu
Habari wakuu
Chuo kikuu cha Mzumbe wametotoa majina ya wanafuzi waliofanikiwa kupata mkopo kwa mwaka wa masomo 2014/15. Majina nimeambatanisha hapa chini na yapo kwa mifumo ya excel na PDF...
Wandugu naombeni msaada mwenye kujua majina ya tuliomba kuhama chuo yanatoka lini niliomba kuhamia Udom kutokana na kuchelewa kutoka haya majina nakosa amani kwani chuo nilichopangiwa awali...
Asalaam wakuu,,
niko tabora vijijini ni mwalimu nina mizka miwili kazini.
Nimepata nafasi ya kusoma digrii ya ualimu,nmepata pia mkopo,ila kigezo kikubwa cha kupata ruhusa toka kwa mwajiri ni...
Ndugu zangu wa JF ufike wakati vijana tujifunze mambo yanayo ikera jamii , ambayo tunayashuhudia kila siku kwa kuyaona ,kusikia hata kutendewa kabisa wakati tunafahamu fika si sahihi,..
Ndugu...