Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Hi wanajamvi. Nina maombi mawili. 1. Naomba kama una list ya shule angalau 20 bora za mkoa wa Dar es salaam. 2. Pili kwa mwenye experience na shule za msingi za wahindi-yaani shule kama...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Nimeona ni vyema kuwe na uzi kwa ajili ya watu waliopangiwa post mbali mbali kujua wenzao wengine walipangiwa sehemu moja na pengine muanze kuwasiliana kabisa. Karibu!
2 Reactions
144 Replies
19K Views
Habari zenu viongozi... Hivi vitabu vya kinunda vina update za hivi karibuni au ndo vya mwaka sabini vilevile... maana nimetafuta nimevikuta vile vya mwaka sabini.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu naombeni msaada kuna ndugu yangu amechaguliwa Mkwawa bachelor of science in Education ila mkopo hakupata! Nilivyoangalia sababu ni kuwa form yake haikuwa submitted huko loarnboard! Kumbe...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimepewa title inayohusiana na masuala ya Big Results Now.lakini cjui wapi nitapata secondary source kwa urahisi maana ni kitu kipya.naomba msaada kwa anayejua mahali nitazipata kiurahisi au hata...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
ninaomba kujua kama wizara ya elimu imeshatoa majina ya wadogo zetu walioomba kujiunga na mafunzo ya ualimu Grade A mwezi may mwaka huu,
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jaman naomba msaada wa chuo cha kuendela na masomo ya conputer application. Au kama kuna ushaur wowote wa ishu naomb mnisaidie.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hakika, kama hii hali ya utoaji mkopo itaendelea kwa miaka kadhaa ijayo, walimu hasa wale mnaosomea masomo ya arts mjiandae kusota na bahasha za kaki mkitafuta ajira hii ni kutokana na ukweli...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu wana jf..mimi nimechaguliwa udom course ya BEDA nataka kuhamia BAED je ni rahisi kufanya hivyo na itakuwa na athari gani kwangu? Naombeni ushauri wenu juu ya kuhama kirahisi na kwa mda...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
.IYHUIT
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa mwanachuo yeyote wa united african university of tanzania naomba anipe info za chuo kidogo, kwasababu naona sipati updated document internet znazohusu hch chuo kw xaiv
0 Reactions
10 Replies
2K Views
wanajamvi hii habar ilikuwa hot sana . cjui kinachoendelea mpaka . au walizungumza kwa sababu walitakiwa kuzungumza na sio kwamba walikuwa na cha kuzungumza......mwenye kuelewa kuhusu hili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nili-resit form 4 kwa hiyo nina namba ya ‘S’ na ‘P’. Profileyangu ya HESLB inasoma ‘S’. NACTE, TCU na chuo inasoma ‘P’. HESLB nimeona nimekosamkopo, reason: NOT applied the loan. Je ni appeal au...
0 Reactions
0 Replies
955 Views
Habarini za asubuhi wanajamvi, naombeni kujua kwa wale wanaoweza kuwa na taarifa za uhakika za utoaji wa transcripts UDSM. Mie nlisikia eti mpaka muda wa graduation utakapofika hii ilinichanganya...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Kwa wale walio chaguliwa ruco angalia mkopo wako Home
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu waungwani Naomba kufahamishwa kazi anazofanya kwa mtu aliyechukua BACHELOR OF SCIENCE IN CONSTRUCTION MANAGEMENT. Natanguliza shukraan
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Mimi nashangaa sana watu wanakaa wanajadiri ooh viboko mambo ya kizamani!..ooh viboko ukweli ni kwamba mitoto ya cku hizi bila fito hainyooki, hata kama magenius wachache tz ila mbele ya kiboko...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Jamani nisaidieni kidogo ushauri nimechaguliwa UDSM education nikataka kufanya transfer TCU kwenda NIT lakini nafasi wakasema zimejaa nikaenda mpaka NIT nikakutana na mhadhiri ambae tunafahamiana...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mwenye kujua maana ya hii atujuze mara ya kwanza iliandika not secured sasa ukiangalia haioneshi kitu na majina yameongezwa
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wana jamvi!!!! Kwakweli hii inasikitisha sana pale ambapo kama taifa tunakosa vipaumbele vya kutukomboa na maadui watatu, Ujinga, Maradhi, na Che Che Mea Iko hivi, tangu mkuu wa kaya atoe...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…