Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Hawa jamaa NACTE kwa kweli wangefanya kama TCU kuandika assurence za selection kuliko kunyamaza tu kama sasa wanatuweka Roho juu watu wa Equiualent, Maana profile zipo vile2 wameongeza muda mpaka...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Naomben ushauri juu ya iyo coz kwa yohote anaye ifaham vizur
0 Reactions
1 Replies
689 Views
Kama kichwa kilivyo hapojuu naomba kujuzwa wana JF soko la ajira kwa program hiyo hapa nchini.
0 Reactions
7 Replies
5K Views
kwa kifupi tu,kwa nini mtu anadanganya au anatoa taarifa isiyo sahihi? Ni faida gani mtu anayoipata anapotudanganya kuwa tcu wametoa majina ya vyuo tulivyochaguliwa? ninaamini wote tuliopo humu...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Bachelor of Science in Bioprocessing & Post-Harvest Engineering. habarini wanajamvi, nauliza ivi hii kozi apo juu inalipa kwenye soko la ajira?
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Naomba kujua utaratibu wa kuaplly chuo kingine endapo umedisco katika chuo husika wakuu.
0 Reactions
31 Replies
11K Views
ikiwa umechaguliwa kuja kuanza chuo jijini mwanza na huna mwenyeji sisi tupo kwa ajili ya kukupokea kukupatia maradhi kukuonyesha chuo chako na kukutafutia sehemu nzuri ya kukaa lengo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau kupotea kwa link ya kuangalizia post za chuo kunamaanisha nini?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF, Naombeni msaada wenu mimi ni nina elimu ya Darasa la saba, na ninataka kwenda kusoma IT je hii inawezekana ?
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Thanks god, malengo yametimia Kam ni miongo mwa waliopangiwa sebastian kolowa, sio mbaya ku share idea hapa
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Club Foot ni nini? Hii ni aina ya ulemavu utokanao na matatizo ya mifupa ambapo kunakuwa na mkao usio wa kawaida wa unyayo wa mguu (unusual position of the foot). Dalili za kuwa na club Foot 1...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Miongoni mwa habari ambazo si wengi tunapenda kusikia ni kuhusu ulemavu na athali zake. Lakini leo napenda ujifunze kitu; kila jambo ulionapo linasisitizwa sana watu wajue athari na namna ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa kweli ndugu zangu mimi nimekosa mwelekeo wa maisha kwa sasa . Sasa nimeamua nichukue hii degree naombeni ushauri wenu hasa katika upatikanaji wa ajira
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Msaada kwa anayekifaham hichi chuo coz nimeomba second around bachelor of science in chemistry.. hata hivyo imebibid biombe tu coz mm nilikuwa cpend lakin tcu wamenifanya niombee na ninajua pale...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Daah, ndugu wanaJF hawa jamaa sasa wamekuwa kiini cha kuharibika kwa ndoto za wanafunz weng hasa hasa watoto wa mama n'tilie pamoja na Wakulima maana sasa watoto weng wamekuwa wakilazmika kujaza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Haya sasa vijana its college time!!!!.......wale wa Jordan mzigo huo hapo chini ushindwe wewe
5 Reactions
74 Replies
70K Views
kwa swali lolote kuhusianA na sokoine university of agriculture (SUA) kwa wale form six waliomaliza mwaka huu na wanategemea kujiunga na chuo hiki.... tafadhali uliza hapa
0 Reactions
17 Replies
7K Views
nianze na mada bodi ya mikopo mda sio mrefu itatoa majina ya wanafunzi walioopata mikopo ili kusomeshwa ktk elimu ya juu yafuatayo ni chaka la mbwa mwitu1.hadi sasa bodi ya mikopo unaweza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani mweny kujua link ya kueleweka yalipo majina ya waliochaguliw vyuo mbalimbal na tcu atoe
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa mwenye link ya majina ya waliopata vyuo naomba anisaidie tafadhari
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…