Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Hivi tufanye nini hasa kwa Wanafunzi ambao huwa wanaboreka sana darasani? Mimi ni mfano hai wakati niko shule na ni ngazi zote kuanzia Shule ya msingi mpaka Sekondari nilikuwa naboreka sana...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
naomba kujua ukitaka kuahirisha mwaka kwa Chuo inakuaje...inatakiwa ufanyaje ili uweze kujunga mwakni...tofaut na huu mwaka nliotakiwa kwenda kuripoti
0 Reactions
0 Replies
761 Views
Habari zenu wanajamvi. Katika kuhangaika na second application nimeangukia fani hiyo na kuandikiwa umechaguliwa. Vip wadau wa hiyo kitu ipoje kwa ujumla wake? Sent from my BlackBerry 9900 using...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
habari zenu nilikua naomba ushauri kwa anayejua course hii aniambie inahusu nini na ajira zipoje? pia kama kunauwezekano wa kubadili course pale sua
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Nawasalimu Umofya kwenu? Ninapenda kujiunga na kozi tajwa hapo juu evening class kwa hiyo nahitaji kujua yafuatayo. 1) masomo yanaanza na kuisha muda gani 2) ni siku ngapi ndani ya week kuna...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za ahsubuhi wana JF,mm ni muhitimu wa kidato cha 6-2014 niliye kwenye mchakato wa admission. Naombeni kujuzwa japo kwa makadirio tu tarehe ya kuripoti chuo kwa undergraduate N:B kama...
0 Reactions
42 Replies
9K Views
Kwa habari ya uhakika tuliyopewa na mmoja kati ya wakurugenzi wa elimu pale wizara ya elimu makao makuu yaliyopo pale Magogoni mkabala na ikulu Dar es salaam. Ni kwamba wizara haitochukua watu...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Wakuu Salaam Naomba kuuliza hivi sisi tuliojaza kupitia equivalent wameshaanza kutoa selection? na kuna second kama hawa wadogo zetu sixliver? Naomba kujuzwa. Maana nimeingia kwnye profile...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habarini wakuu, mimi ni mmoja wa wahanga wa hii second round application sasa katika option za kuapply mara ya pili nimeiona hii na kidogo imenivutia mana lengo langu hasa ni kuhudumu katika...
0 Reactions
36 Replies
9K Views
  • Closed
TANZANIA Communications Regulatory Authority (TCRA) will finance three projects to be carried out by two universities after signing a Memorandum of Understanding (MoU). The two higher...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Code Description Institution Priority Selection Status Met Min Requirement AR009...
0 Reactions
83 Replies
11K Views
Hivi kozi ya bachelor of science in chemistry inahusika na nini hasa? i mean graduate anafanya kazi katika maeneo gani? pia accessibility yake katika suala la ajira ikoje? karibuni tuelimishane wakuu.
0 Reactions
41 Replies
10K Views
Ni muda kidogo tokea nianze kujiuliza swali hili, nilipokosa majibu ndio nimeamua kulileta kwenu kwa msaada zaidi. Tiririkeni majibu yenu wajuzi.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Samahani wana jumvi kunarafikiangu anataka aje tarehe 16 nimsadie kufanya application ya second round, japo anafahamu kuwa akichelewa ndivyo hivyo atakuta zile course nzuri zimejaa but she do'nt...
0 Reactions
41 Replies
7K Views
Kama kuna mtu anasoma SUZA Zanzibar Naomba msaada wako tafadhari, Naomba unisaidie kupata namba ya mtawala yeyote wa pale anae husika pale au kama una ndugu ako anasoma pale naombeni mnisaidie...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
heys..jamani kama ulisoma economics udsm na mwenye upper second please peleka cv, application letter na matokeo pale career center udbs. Wanahitjiak ten pipo wa ajira na 40. Pipo wa internship...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
WanaJF nimehitimu kidato cha nne 2013 nimept div III nilikuwa sayansi na nimefaulu hvyo vpnd nikawa nimeomba wizarani kujiunga na mafunzo maalum ya ualimu tarajali ngazi ya stashahada masomo ya...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Wadau Naomba kujua vyuo vizuri vya udaktari na pharmacy vya nchi ya kenya, uganda ,India na nchi nyinginezo. nashukuru wadau.
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Wameanza leo mitihani na maswali yote hadi ktk hesabu ni ya kuchagua herufi kwa kutia kideshi.Wapi tunaenda watanzania?
0 Reactions
21 Replies
20K Views
  • Closed
Mimi nilifanya application nikafanikiwa kwenye ile first round, sasa asubuhi hii na mapema nimepata sms kutoka CRB but imekuja incomplete hapo mwishoni wamenipa namba zao za mawasiliano. Swali...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…