Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Hbr zenu ndugu, naomba kuujuzwa vitabu vyote vizur kwa kutumia katika hiyo combination na bei zake pamoja na vinapopatikana kwa Dar es salaam.
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Ninaomba kujuzwa, wakuu.
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Hi, Members, Nahitaji shule nzuri inayofundsha lugha , ila iwe arusha, I wanna learn to speak English, en French, ..
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Habari zenu wanajamvi,natumai sherehe ya iddi pili imeenda vizuri.Nakuja kwenu leo nikitaka ushauri kama kichwa cha habari kinavyosomeka , nilisoma ECA na kwa sasa nipo katika zoezi la kuchagua...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
ni kama nusu saa sasa naahangaika kuifungua hii website na haifunguki. shida yangu ni kuwa nahitaji kupata ufafanuzi wa "cut off points form V selection 2014" mfano HGL 13:31:3:6 hii ni kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
samahani wakuu nimeona ni vema kushare na nyie ili muweze kunisaidia kwa hili naomba kwa mwenye kujua shule 5 zenye ufaulu mzuri kwa hapa tanzania ukiachilia mbali shule kama feza boys ,marian...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
serikali ya jamhuri ya muungano wa tanzania imepunguza ada ya vyuo vikuu vyote vya serikali na private kwa asilimia 40 kwa faculty zote. Taarifa hii limetolewa rasmi na tume ya vyuo vikuu vya...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Napenda kufanya masters lkn tatizo kipato....anayenipenda anipe scholarship ntamshukuru maishani
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Haki ni lazima mtu apewe wala siyo ombi. Wanachuo UDSM,TEKU,UDOM tupo field mwezi umekwisha bila hata malipo. Serikali kuweni na huruma acheni roho za mabavu,shida ni nn? Tanzania kila jambo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
jaman mim nataka kwenda kuxoma pale kcmc kat ya koz izo mbili ipi ni nzuri jaman ukizingatia soko la ajira kwa sasa?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mbona vyuo vikuu tumesahaulika hivyo ? Kuna thamani gani ya elimu ya chuo kikuu hapa Tanzania kama tunakuwa watu wa kukopa kopa, namaanisha ni mwezi mmoja sasa umekatika hatujapewa pesa ya field...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Aiseee wakuu nimeshangaa sana kulisoma hili tangazo maeneo ya nane nane morogoro. My take: Ina maana hivi nchi hii vyuo ni viwili tu?
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani wadau na wanajamvi wote naomba tuwekane sawa humu. Hali ni mbaya sana kwa vijana wa vyuo vikuu walio field na wiki ya tatu imeisha jana bila dalili zozote za kupata hela. CCM na serikali...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wanafunzi wenzangu tulio field wiki ya tatu imeisha bila hata dalili za kupewa hela. Tumedhalilika vya kutosha sasa huku viongozi tuliowapa dhamana wakiwa mabubu na kuzimwa na wenyenchi. Chaajabu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Toka nimefanya aplication mwezi wa tano hadi sasa bado tu wameniandikia CHECK IN PROGRESS sasa sijui inachuwa muda gan kuandikiwa YES or NO kwenye program nilizochagua kama wafanyavyo kule...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za humu wana JF... Naomba kujuzwa kwa yeyote anayekijua chuo hiki cha dit vzur haswa hii kozi ya civil kwa ngazi y a degree kuanzia ufundishwaji.hostel kwa wanafunzi... Je eti ni bora...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Jana yalikuwa ya fanyike maandamano makubwa mkoa wa mwanza kushinikiza serkali iwalipe wanafunzi madai yao au kuharakisha asessment ili wanafunzi warudi makwao , lakini jambo lakushangaza umekuwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Salaam wadau, Kuna mdogo wangu kamaliza form six mwaka huu ananiuliza kila siku kuwa kuna uwezekano wizara ya elimu ikafungua upya maombi ya kujiunga na mafunzo ya ualimu ngazi ya diploma kwa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ndugu zangu wanazuoni kutokana na hali tete ya kupata pesa za field na kwa ukimya wa marais wa vyuo vikuu pamoja na TAHLISO napenda kutoa wazo ya kuwa mwezi wa kumi tukifungua vyuo vyote Tanzania...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
wazee wa Nyakato mpo? unakumbuka nini hasa katika shule hii? mi nilifika pale mwaka 1996, Du! nilishangaa kuona viranja wakichapa wanafunzi wenzao, kiukweli form one hakua na thamani pale{kijana}...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…