Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Mi dogo kamaliza EGM,E-B,G-C,M-E (ni three ya 13) na nyumbani mambo sio mazuri na yeye anataka masomo ya accounts na kote naona ni non priority,msaada wenu wakubwa achague faculty gani ili aweze...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimezipata hizi taarifa kwa watu wawili kuwa Serikali imetoa waraka kuzuia Watumishi kupanda madaraja mwaka huu eti hela hakuna, mwenye taarifa za uhakika nisaidie kama ni kweli au ikoje?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hv ukichaguliwa na tcu kusoma kozi flan ktka chuo flan den ukafika ktka hcho chuo na kubadili kozi bila tcu kujua ukija kumaliza unapewa chet chako kama kawaida???
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi jamani kwa wilio maliza diploma na wanahitaji kuendelea na degreee je muda wa kutuma maombi ulishakwisha au bado.
0 Reactions
0 Replies
891 Views
hbr zenu? naomba msaada hv EGM anasoma comptr science, IT, ICT????????
1 Reactions
7 Replies
4K Views
..
0 Reactions
7 Replies
1K Views
nimeomba mkopo .sasa niki log in ili ni view details zangu naambiwa you should fill other forms na nikiangalia walipoandika status application naambiwa application incomplite.msaada jaman hizo...
0 Reactions
0 Replies
984 Views
Nilimaliza form4 2oo3.,nilisoma shle ya binafsi. Kombi haikbalance, kwaio sikchagliwa f5. NingeendeLEA f5 shle binafsi, lakini mfadhili aliishia hapo...baada ya hapo maisha yaliendelea ndipo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wanajf, kwenye guide book upande wa dit sijaona column ya 'possible loan amount' sasa sijaelewa ukipelekwa dit hupewi mkopo au?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Walimu wenzangu ajira mpya 2liokosa mshahara hv kunauwezekano kwel wa kupata mshahara mwez huu?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
kama kuna mtu aliyewahi kufanya atitude test(mitihani ya kujiandaa kuingia hapo chuoni) iko vipi i mean wanauliza maswali yapi??
1 Reactions
0 Replies
2K Views
msaada kwa wanajua vyuo vya uandishi wa habari hapa Dar~Es~Salaam,ngazi ya certificate,ni vipi na wanaanza lini??
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Nina mdogo wangu ambaye amemaliza kidato cha sita na kwa sasa anafanya application kwa ajili ya masomo ya chuo kikuu. sasa kuna hizi course mbili zinazotolewa na chuo cha Mzumbe ambazo ni BAF in...
0 Reactions
1 Replies
875 Views
wanachuo wawili wa chuo cha STEMMUCO kilichopo Mtwara wanisurika kuuwawa baada ya kihofiwa kuwa ni wauwaji kutokana na ugeni ambao wanakijiji walishindwa kuwajua vijana hao walioko Field katika...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
kwa kweli bodi ya mikopo ifike hatua muwe na aibu hivi hela zetu bado munafanyia biashara tu? Nani asiyejua udhalimu uliopo ndani ya bodi ya mikopo mtu akiajiliwa leo baada ya miezi yaa mitatu...
0 Reactions
49 Replies
11K Views
jana mda 10:00 am niliwasiliana na wizara kuhusu kuchelewa kwa pesa ya field kwa baadhi ya vyuo!majibu ni kama ifuatavyo(1) kwa kweli hili ni tatizo kubwa linalosugua vichwa vyetu kama watendaji...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wandugu naombeni ushauri wenu. Me nmeokota TCU vocher juzi kati hapo, afu kuna mdau ye bado hajanunu vocher so antaka aitumie hii vocher. Jaman kunatatzo nikimpa aitumie hii vocher?
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Habar wana jf,kuna utapeli mpya umezuka wa genge la watu watatu(3),wawili kati yao wanajifanya ni WALIMU ambao wamefanikishiwa kuhama na mmoja wao ambaye yeye hujifanya ni kigogo pale TAMISEMI na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
message deleted
0 Reactions
542 Replies
58K Views
Wana jf naomba kuuliza kwa mwenye kujua, ivi majina ya watakao soma kozi za diploma udom zitatoka lini. Nimesubiri nimeshindwa hata kuomba sehemu nyingine .
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…