Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Huu ni Uzembe au ni makosa ya wizara ya elimu? Baada ya serikali kuwapanga vijana wa kidato cha tano haya yamejitokeza, 1. Watoto wa kiume wamepangwa shule za girls tupu. 2. Majina ya watoto wa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kozi ipi ipo more competent kataika soko la ajira au kujiajiri?
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Mimi ni mwalimu wa msingi nipo Newala Mtwara nahitaji kuhamia mikoa ifuatayo Iringa, Mbeya, Morogoro, Dodoma contact 0689976850
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari waungwana! Nina kijana wangu wa kiume nataka nimpeleke secondary ya bweni. Ombi langu ni kwa ambaye anaifahamu shule mojawapo ya bweni inayofundisha vizuri au ameisikia kutoka kwa jamaa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tafadhali sana waziri wa Tamisemi George Mkuchika tuondolee rushwa halmashauri ya moshi!Watumishi wa idara ya Elimu Halmashauri ya Moshi tumechoka na vitendo vya rushwa vinavyozidi kushamiri siku...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Nilikua na division III 29 ila sijapata kuchaguliwa, hivyo basi naombeni mawazo yenu nini cha kufanya? 1:Kurisiti 2:Chuo(chuo gani) 3:Jeshi(kama nafasi zipo) 4:PolisiI (kama nafasi zipo)...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF naombeni ushauri;nahitaji kusomea BED in mathematics ila sijasomea hesabu form 6, nimesoma o-leval nilipata C ya hesabu kwani nilikuwa naipenda sana hesabu mpaka leo bado...
0 Reactions
72 Replies
9K Views
Wana jamii, nauliza kuhusu haya maswala ya umeme mimi nasomea umeme hapa veta lakini nipo beginner mi naulza kwamfano nikimaliza kozi yangu serikali itatuchukua au mimi mwenyewe nitafute kazi au...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu ktk jf salaam. Nina mdogo wangu aliyehitimu form 6 mwaka 1994 na alipata alama zifuatazo: General Studies = F Physics = E Chemistry = S Adv Maths = S Naomba mnisaidie iwapo kwa utaratibu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
leo ni siku ya tano,hakuna hata trace?what does intelligence do in this country?it is difficult to understand who is responsible? is it CUHAS?is it government?is it unidentified individual...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana JF, Leo naomba niongelee maana za maana ktk lugha , Ktk lugha kuna aina mbalimballi za maana. Na aina hizo ni kama vile 1) Maana ya MSINGI 2)Maana ya KISARUFI 3)Maana ya ZIADA...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Natamani sana kusomea udaktari(md) ila adv.physics ni shida kwangu, yani bora adv.math., ndomana nimeshindwa kusoma pcb. Sasa sijajua cbm mwisho wake!! Nijuzeni wadau.!
0 Reactions
4 Replies
3K Views
habari raia wema, binafsi nina mkanganyiko kichwani mwangu nahitaji kujua uhusiano, matumizi na ushabihiano wa maneno yafuatayo; 1/njozi na ndoto, 2/lakini na yamkini. shukrani.
0 Reactions
0 Replies
503 Views
UPOTOO ni nini jamani????????? ukinipatia na mifano itakuwa bora zaidi
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Dah!Labda Hapa Naweza Nikajibiwa Swali Langu, Jaman Kwa Anae Ijua Shule Ya Sekondary Mbekenyera Iliyopo Mkoani Lindi Naomba Anijuze,Ipoje Kitaaluma Asanteni
0 Reactions
0 Replies
926 Views
Wanajamii forum napenda kuwaulizeni.inamaana kuwa humu ndani hakuna anae ifahamu vizuri MBEKENYERA SEKONDARI kama yupo namuomba anisaidie kunipa taarifa za hiyo shule hususani kwenye masuala ya...
0 Reactions
0 Replies
988 Views
Wale 2liochaguliwa KARATU tukusalimiane hapa
0 Reactions
0 Replies
864 Views
Nataka kuomba,mwenye hizo taarifa naomba anijuze maana nimekosa kwenye selection ya A-level iliyopita.Wana jf niokoeni please!!!
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Msaada wa ndugu, mimi pale kwenye selection status wananambia"not yet processed" na kwenye met min requirement wananambia "checkin in progress" Alafu selection...
0 Reactions
0 Replies
617 Views
Ndugu, hatimaye mwanangu amefanikiwa kuchaguliwa kuendelea na kidato cha tano, bahati mbaya yeye anatokea Arusha na amepangwa Njombe Sec, kiukweli mimi kama mzazi ningefurai zaidi angefanikiwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…