Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wakuu heshima kwenu, naomba mwenye ufahamu anijuze naomba kufahamu shule nzuri za private za sayansi za kidato cha tano na sita. Itakuwa vema kama nikipata majina ya shule zenye gharama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwa wenye komb ya CBG tunapeta advance kwani ni komb ya wachache tunayoifaulu tu tupia neno ADVANCE kama unaipenda CBG
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Jamani Wana Jf Anaefaham Shule Nzuri Za A-level Kombi La Cbg Zinazo Patikana Kanda Ya Kati Anijuze Tafadhari.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu na Mbarikiwe sana ...
0 Reactions
0 Replies
997 Views
Naomben Msaada Kwa Anayejua Mwinyi High School Iko Mkoa Gan Naomba Anisaidie
0 Reactions
3 Replies
815 Views
Kuna madudu mengi yamefanyika kwenye selection zilizotoka hivi karibuni mfano kuna wanafunzi wana div II hawajapangiwa shule,wengine wamepelekwa shule za jinsia tofaut na wao,watu wamepelekwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni Mwenyekiti wa vijana tawi la NCCR - MAGEUZI Jimbo la Nyamagana Jijini Mwanza ahusishwa na wizi wa fedha za wanafunzi walipanga kutembelea hifadhi ya Taifa ya Serengeti. Inasemekana alikuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kujuzwa kwa waliomaliza diploma mwaka 2014 ili kujisajili kwenye CAS ya TCU wanatumia result za kidato cha nne au diploma? nauliza hivi sababu wengine matokeo hayajatoka mpaka sasa na...
0 Reactions
2 Replies
699 Views
Jamani naomba mwenye kujua ada ya post graduate diploma ya education na if usajili umeanza na kozi zinazosomwa kwa mtu Wa BA Economics .Ni kwa Open University of Tanzania plzz
0 Reactions
0 Replies
909 Views
wandugu mimi ni mwl idara ya sekondari,nahitaji mwl anayehitaji kuhamia kilimanjaro(moshi manispaa)tubadilishane.atoke mkoa wa tabora wilaya yeyote.Aksanteni.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ACCTAX FINANCIAL CONSULTANTS conducts review classes at Kisutu girls sec, school from July 2014 for more information call 0653 023805/0769 012203 or visit massawe building Lindi street behind new...
0 Reactions
0 Replies
628 Views
Mm nimuhitimu wa diploma ya masoko na mauzo ( marketing mangement) nimenaliza hii leo nilikuwa naomba mnishauri kwa hii miezi mitatu nisome short course gani ambayo ni nzuri?
0 Reactions
0 Replies
805 Views
tulio changuliwa mara high school mpo
0 Reactions
0 Replies
747 Views
kumekuwa na sintofaham kwa wale wanafunz waliopata daraja la 3 kama watapangwa na serikali
0 Reactions
56 Replies
11K Views
Nilikua nataka kujua hvi zile form za vifaa vinavyoitajika kujiunga form 5 zinapatkana wap shule aliyotoka au anakoenda
0 Reactions
4 Replies
3K Views
jaman hv zile joining instruction zinatolewa baada ya muda gani,?? na zikitolewa huwa unazipatia wapi?? skul uliyomaliza au huko ulipochaguliwa?? plz wakuu
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa wale wanaotaka kujua zaidi trillion 1,000,000,000,000 qudrillion 1,000,000,000,000,000 quintillion 1,000,000,000,000,000,000 sextillion 1,000,000,000,000,000,000,0000
0 Reactions
8 Replies
3K Views
jamani vyuo vya govenment wanafungua lini
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…