Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Poleni na Majukukumu , nahitaji review questions na answers kwa MBA kwa masomo ya marketing,decision making na Financial Management.Kwa yeyote aliyonayo naomba tuwasiliane.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jaman wanajukwaa, kwa heshima na taadhima ni mara nyingine tena najitokeza jukwaani, ni mara nyingi huwa najiuliza sana ni kwa nini herufi ziligundulika na hakuna zaidi ya Z. ni vigezo gani...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
habari zenu wana jamvi kwanza natanguliza shukrani zangu kwenu wana jamvi kwa ushirikiano wenu mchango wenu ni mkubwa kwangu. Nawaombeni mnisaidie kwa hili mimi ni kijana niliyemaliza kidato cha...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Mdogo wangu ana Math B+,Bios B+,GEOG D,CIVICS D,HIST D,CHEMISTRY D,PHYSICS E Anaweza kujiunga course za nursing au C.O?
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Wakuu hebu niambieni umhimu wa course hiii!natolewa na UDSM
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu,naomba msaada wa kujua review classes ama wale wanaojiandaa kufanya mitihani ya bodi ya ugavi kwa stage yoyote ile kwa MOROGORO.nashukuru sana kwa msaada wakuu.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
heshima kwenu wanajamvi, ningependa mwenye kujua kituo kizuri chenye walimu wazur kwenye review classes za mitihan ya bodi ya wagavi. Pia kiwango cha ufaul kwenye hvyo vituo..natarajia kuja huko...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
naomba mnisaidie maswali ya physics form 3 mada yeyote.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana jf tufahamishane ,eti kwa tuliofaulu kidato cha nne tutapangiwa shule lini?,kwa anayefahamu tuambiane jaman.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Samahani kwa kuwasumbua wadau. naomba kupatiwa link ya matokeo ya Kidato cha nne 2004 kama kuna uwezekano. Ni muhimu sana!
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Ndugu zangu naomba kufahamishwa kama kuna chuo chocolate kinachofundisha kozi fupi za upigaji wa vyombo vya music hapa dar es salaam. Pls
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Chunguza Wadada Wa Vyuo Vikuu Ambao Tunasema Ni Miongoni Mwa Wasomi Ambavyo Suala La Ngono Wanavyolichangamkia Pamoja Na Kupewa Elimu Ili Wajikomboe Kifikra Lakn Patupu, Kwa Nawapa Pole Hata...
0 Reactions
90 Replies
11K Views
Vodacom mmepewa tenda na bodi ya mikopo kwa ajili ya malipo ya maombi ya mikopo ila kwa nini vodacom M PESA Haitaki kufanya hayo malipo toka asubuhi tunajaribu kulipa hapa ila majibu yenu ni...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimemaliza masomo yangu ya shahada ya uzamifu. Nina knowledge katika mambo mbalimbali hasa upande wa sayansi asilia (natural science). Kama sehemu ya kumshukuru Mungu kwa mafanikio ningependa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu poleni kwa shughuli naomba kujuzwa kwa tetesi hizi kuwa bachelor of midwifery inayotolewa mhimbili na Udom imefutwa na badala yake itakuwa kwa masters tu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndg wanajamvi,poleni sana kwa majukumu ya hapa na pale. Naomba kujua kama hata kuna tetesi juu ya selection za kidato cha tano 2014, maana jambo hili lipo kimya sana. Ahsanteni.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
naomba mtu anayejua private school zilizoko kigamoni, anitajie 1.sule za msingi 2.O-LEVEL 3.A-LEVEL
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wadau kwema naomba kupata list ya vifaa vinavyotumika katika maabara ya Fizikia kidato cha Sita kwani ninataka kufungua maabara ya somo hilo ! Ahsanteni wadau
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimeshangaa sana hapa st joseph department ya civil engineering, karibu malecture wote wa civil engineering wanatoka vyuo hivyo tajwa haga juu. Ns kama mjuavo hapa kwetu masomo huwa yanaisha...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Anyone who will be the first to answer the following question correctly will stand a chance to win an air time worth Tsh 10,000! NOTE:Only answers are required, no calculation method needed...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…