Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Naomba ushauri kuhusu coz ya petroleum geoscience kwa nchi yetu !
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani hapa tulipofikia si kazi ndogo ! Tumshukuru mungu kwa kutuwezesha kufika mpaka leo hii ! Tukijuliana hali sio mbaya ! Wasalaam !
1 Reactions
92 Replies
8K Views
Jaman wadau si nimesikia post kidato cha 5 zimetoka. Je, kuna ukweli wowote naomba kama kuna mwenye nazo anitumie link ya kuyapata.
0 Reactions
2 Replies
933 Views
!Hello! Wana jf mi ni mwenzenu naomba mnipe mawazo mimi ni mwalim nataka nikalitumikie Taifa Morogor ila naomba mnisaidie, wilaya gani moro ni nzuri kwa maisha ya mwalimu ili kufanya na kashughuli...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wadau naomba mnijuze kuhusu application za kuingia depo na vigezo vyake nina mdogo wangu kamaliza 4m six2008 alipata 3ya 13 alisoma hgk kachoka kukaa kitaani.
0 Reactions
7 Replies
22K Views
Mtu aliyesoma cbg anaweza kusomea udaktari wa binadamu?
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Salam wana bodi Kama wewe si msabato katika sule ya emau jua jua siku zote umekaliakuti kavu. Wanaoongoza kuvunja maadili ni mwasibu 0768078206 anafanyia ofisini mwake Jujulu patroni 0759820605...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Naomba mnisaidie hii sheria mpya kuhusu ada vyuo vikuu. Wanaiita student unit cost framework Inasema nini kuhusu upandishaji wa ada na kama kuna mtu anayo. Naomba anipe link niipate na mimi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa sasa nipo mkoani mwanza na kiwanda x nafanya kazi, ila wakati natafuta kazi mwaka jana niliomba kufundisha seminari moja hivi ya wakatoliki, sasa wakuu naomba kujua kama wanaallowanzes zingine...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani naomba anayefahamu taratibu za kujiandikisha na mtihani wa kidato cha nne aniambie wadau, yaani; ada kwa pc mwisho kujiandikisha na utaratibu mzima.
0 Reactions
0 Replies
975 Views
Katika kipindi cha maswali na majibu bungeni kwa waziri mkuu aliwaeleza wabunge ya kwamba wanafunzi watatumia tablet pc mbadala wa kubeba vitabu. Wakati wanafunzi wanakaa chini hakuna madawati...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
[SIZE=4]Goodafternoon i am in urgent need of the tanzania national policy on social responsibily for bank in Tanzania. If anyone knows where and how i can get it please assist
0 Reactions
1 Replies
900 Views
Naombeni msaada nahitaji kusoma open university, je application ni lini na ninaapply vp?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau wa jf naombeni msaada wenu aisee nimeapply form za mkopo kwenye heslb kwaajili ya mdogo wangu but kila kitu kimeenda poa but kwenye printing inagoma inasema error kwenye f6index no...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana JF. Napenda kufahamu kutoka kwa wanaofahamu kuhusu teknolojia katika nchi yetu. Je, kuna chombo chochote kinachosimamia au kuendeleza teknolojia ya watanzania wanazozigundua au...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanajf nisaidieni natafuta sana shule hiyo kwani mdogo wangu anatakiwa ajiunge mwaka huu. A-level private yenye comb ya CBG au CBM mkoani Tabora
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Wana JF Kuna mtu ameniomba nimtaftie taarifa kuhusu fani ya uuguzi, katika pitapita zangu nikakutana na tangazo la wizara ambalo pamoja na sifa nyingine linahitaji alama D katika somo la fizikia...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
habari wanajf. mimi nilichaguliwa kusoma bachelor of science in midwifery pale MUHAS kwa mwaka wa masomo 2013/2014.nilienda chuo na nilifanya registration lakini kutokata na sababu zilizokuwa nje...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Jamani nilikuwa na wito kuwa wale woote waliosoma marketing/sales management tuweze kujuwana na ikiwezekana tuunde hata association yetu jamani Asanteni sana.
0 Reactions
4 Replies
810 Views
Ni muhitim wa elimu ya juu ktk fani ya bsc in IT niligraduate ktk taasisi ya elim ya juu yaan IFM na kufanikiwa kupata GPA ya 3.8, malengo yangu siku zote tangu naanza kusoma ni kuwa mkufunzi wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…