Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habar zenu ndgu zangu. napenda kuwafahamisha kile nilchobahatika kukisikia leo kutoka katika chanzo changu cha uhakika. MAJINA NDO YALIKUA YANAPANGWA LEO HIVYO SWALA LA AJIRA LINGALI LIPO JAPO...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Msaada kwa hili jaman hivi ni kweli waliopata alama 32-34 watasoma ualimu miaka mitatu?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jamani naomba mnijulisheni, niko gizani, hivi ualimu ngazi ya cheti wanachuo watalazimika kusoma kwa miaka 3 kwa wale wale wenye division 4 ya pointi 26, 27 kwa miaka ya nyuma na wa 2013 wenye...
0 Reactions
1 Replies
889 Views
Wandugu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naombeni msaada wenu kama inawezekana kwa mtu mwenye Ordinary Diploma (NTA Level 6) kama anaweza kupata scholarship ambazo hutolewa na balozi mbalimbali hapa nchini kama Turkey, Algeria...nk
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nomba mnisaidie natafuta shula binafsi kidato Cha tano mchepuo wa arts yaan Hkl nina credit 3 yani H-c, k-b na engl c. Asanteni.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hello Anyone to solve this qtn Kijika's police is to charge 10% of the consignment value cover freight charges. Insurance premium is at 1.5% of C&F value. VAT is at rate of 20% of the purchase...
0 Reactions
1 Replies
693 Views
Kuhusu kujiuzul kwa Prof. Nyamhumwa wa DIT kama alivyoahidi ikitokea kama atakuwa chanzo cha mgomo. Giza nene limetawala kuhusu kujiuzulu kwa Prof. Nyamhumwa katika Taasisi ya Technolojia ya...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Wanafunzi hao wamepewa barua zilizokariri kuvunjw kwa sheria za chuo kwa maandamano yaliyofanywa tar 29/5 mwaka huu kushinikiza kupewa hela zao za mkopo. wanafunzi hao wamesitishiwa masomo kwa...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Aya aya aya aya aya tukumbushane a.k.a zetu tulizokuwa tunaitwa na wanafunz wenzet instead of our real names? mfano. mim wakat nkiwa shule ya msing mburahati walinpa nick name 'kipua'coz nlikuwa...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Hivi tunaposema mfano bacteria cause diseases halafu inakuwa economic importance, hivi tunachukulia nini hasa hadi kusema kiuchumi inafaida?
0 Reactions
2 Replies
782 Views
Hivi huku vyuoni hakuna mechanism ya kuwafuatilia hawa walimu ufundishaji wao, au ndio wakishaajiliwa imetoka wanaendelea kufundisha wanavyojua wao na hakuna cross-checking maana kuna walimu hapa...
0 Reactions
33 Replies
20K Views
naomba kufahamishwa juu ya hii course METALLURGY AND MINERAL PROCESSING ENG: kwa undan hasa soko lake na ujumla wa hii koz
0 Reactions
0 Replies
842 Views
1.heslb usajili 30,000/= i.cafe 8,000/= nauli 20,000/= s/mtaa 5,000/= mahakama 9,000/= posta/ems 13,100/= 2.tcu usajili 50,000/= i.cafe 5,000/= nauli 5,000/=...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Tafadhali naomba msada wenu wakuu jinsi ya kuomba mkopo tena kama ulikosa awamu iliyopita
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habar wana jf nimepata tatizo wakati najaza fomu ya mikopo, baada ya kulipia nikapata muhamala wa mpesa, nikaanza kujaza fomu nlipofka sehem ya kusubmit email mtandao ukayumba ukanirudisha mwanzo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana jf nipeni uzoefu ya kitivo kizuri kusoma sua ukitokea kazini(in service)
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu wana Jamvi. Naomba kujuzwa ipi ni kozi nzuri zaidi ya nyingine kati ya hizo tajwa hapo juu. Natanguliza shukrani zangu.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wanajf naomba kufahamishwa yafuatayo kuhusu kozi hii; 1.ukiingia kazini, ni baada ya muda gani unaweza kurudi tena kusoma? 2.ukichukua yenye physics, unaweza soma masters ya physics? 3.ni kwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…