Kitabu hiki muda si mrefu kitakuwa sokoni, kinatoa mwogoza jinsi ya kuwa mchoraji mzuri kwa kutumia autocad software ambopo kila civil student lazima awe na iyo software usikose kitabu hiki waweza...
JAMANI TUNAHITAJI MA ARCHITECTURAL WENGI SANA TANZANIA, HIVYO BASI JIFUNZE KUCHORA KWA KUTUMIA AUTOCAD SOFTWARE KWA BEI NAFUU SANA WASILIANA NASI KWA KUTUMIA EMAIL HII eliasbuza4@gmail.com
wadau kuna suala moja linalonitatiza tangu
nimejiunga hapa chuoni,, NAOMBA MSAADA
WENU TAFADHALI.
Ni kuhusu neno DARUSO (kifupisho cha serikali
ya wanafunzi chuo kikuu cha Dar es salaam)
ambalo...
Kichwa cha habari hapo juu chahusika.
WanaJF nimelazimika kuomba msaada wa namna watakavyojiunga kidato cha tano mwaka huu kwani mpaka sasa nimechanganyikiwa.Kwa mujibu wa Sera ya elimu ya mwaka...
Nlikua najaribu kulipa loan application fee ya HESLB kwa M-pesa (Tshs 30,000). Sasa wakati nikifata process kuna mahali wakaniambia "Ingiza namba ya kumbukumbu." Mimi hiyo namba ya kumbukumbu...
Nimepata taarifa zisizo rasmi kutoka kwa mdogo wangu aliyemaliza kidato cha nne na kutusua vizuri tu katika mtihani wake, kuwa tayari majina ya waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano 2014...
Bunge la serikali ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam,(DARUSO) lilikataa kuipitisha bajeti iliyoletwa na serikali siku ya jumamosi tarehe 31 juni kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo...
Serikali ya wanafunzi DIT kushinikiza uongozi wa chuo kufutilia mbali swala la wenzao kutokufanya mitihani ya kumaliza mwaka wa masomo.
Hii imetokana na wanafunzi takribani 620 kutoruhusiwa...
NDUGU ZANGU NISAIDIENI ILI NIMSHAURI MDOGO WANGU,,,YEYE ANAPENDA UDAKTARI, SASA SIJAJUA HIYO FANI NA TATIZO LAKE ATAMUDU AU ASOMEE NINI. KAMALIZA MWAKA JANA SIX,, HAKUWEZA KWENDA CHUO MWAKA...
mpk sasa sijapata mshahar kisa tu nimetumia crdb, kwend kwenyew mjn tsh 15elfu kwa pikpik huku shule nina zamu,nasimamia mitihani huku kusahihisha brn du,mwl. mimi...wadau nioneshen njia nitoke...
Nahitaji kwenda kozi ya udereva mwezi mmoja. Daraja A na D na leseni gharama yake ni Tsh laki mbili na elfu sita(206000). Mimi nina tsh 72500, bado tsh 133500 Namba yangu ya simu(airtel money) ni...
Habarini wakuu!
Kuna hizi shule zinazoitwa "Shule za wanafunzi wenye Vipaji vya kipekee vya kiakili."
Kigezo pekee kinacho tumika kudahili wanafunzi huko ni "national exams".
Nimekuwa...
kwa matokeo haya ya div 3 point 17 comb PCM principal pass moja tu na nyingine ni subsidiary pamoja na gpa 2.9 ya nta level 4. Je anaweza kuchaguliwa kujiunga degree? Majibu yenu ndio msaada kwetu
habari wanajf, hivi kuna uwezekano
wa mwl wa diploma kuchukua degree
ya kozi nyingne tofaut na education
kama accountancy au civil engnerng?
Msaada wenu tafadhar
wadau naomba kuuliza,shahada ya usanifu majengo inalipa?hasa kwa mazingira halisi ya kitanzania!?na pia kati ya architecture na civil engineering,ipi iko poa zaidi?asanteni!
<strong><em><em>Habari wana jukwaa , nilikua naomba kuuliza kama kuna mtu yeyote mwenye taarifa kuhusu ku update taarifa za loan board kwa continuing students , maana nakumbuka mwaka jana tuli...