Kati matokeo yangu sikutalajia Kama itatokea iv Nina History c,Kiswahili b,English c,geograph d,biolog d,chemistry d,civ e na mathematics e.sasa Nina div ya 32.je apo naweza kwenda wapi.nami nil...
Wadau tafadhari msaada nina mkuu wangu wa shule ana kihelehele sana pamoja na serikali kutotambua mchango mkubwa wa walimu bado mkuu anakufatilia kisa anataka umaarufu kupitia kwako siku moja tu...
Habari wana jukwaa , nilikua naomba kuuliza kama kuna mtu yeyote mwenye taarifa kuhusu ku update taarifa za loan board kwa continuing students , maana nakumbuka mwaka jana tuli update ila mwaka...
Serikali kwa sasa imeamua kufanya mapindinduzi makubwa katika kuboresha sekta ya elimu hapa nchini.Nimependezewa na elimu nayo kuwekwa katika mpango wa matokeo makubwa sasa Big Results Now...
Ndugu zangu wadau me nmemalza form six 2014 napenda koz ya internatiönal relation. Vp kuhusu koz je kuna ajira coz naogopa kuxoma af nkae mtaan bla kaz. tafadhal wanaojua nsaidien.
Jaman me nashindwa kuelewa,serkal ilisema kuwa wale wenye princpal mbili afu wajaenda ualimu ngaz ya diplopa au wa wa o-level wa masom ya sayans wakienda kusoma ualimu ngaz ya diploma watapewa...
Samahani wapendwa,mimi ni mwalimu nimeajiliwa ajira mpya za 2014 natafuta wa kubadilishana nae kituo cha kazi,yeye aje KWIMBA MWANZA mimi niende SONGEA RUVÙMA. Kama yupo naomba ajitokeze
kama sijaelewa vizuri. Katika hyo guidebook kuna ile column ya admission requirements wameandika diploma(teacher education or NTA level 6) sasa wanamaanisha mtu mwenye diploma ya ualimu, anaweza...
Habari zenu wa kuu kuna jambo moja naomba msaada wenu ati nimesikia bungeni limezungumziwa suala la vijana waitimu wa kidato cha sita mwaka 2013 & 2014 ambao hawatokwenda kupata mafunzo ya JKT...
Which one is the best option to students who are about to start writing masters thesis? Giving them a research title or let them suggest research title?
Mwenye kukijua chuo cha TANZANIA INSTITUTE OF TRANSPORT-DSM
Naomba hanifahamishe kuhusu hiki chuo//Ni tarehe ngapi huwa ni mwisho wa kutuma maombi ya chuo
CONTACTS!:::: 0684-354 346...