Wana Jf wenzangu mliohitimu kidato cha nne 2013,nimepata tetesi ya kua tarehe 26 mwezi mei ndio selection zilitakiwa ziwe aut but naibu wazir alikhairisha hadi hapo itakapo fika tarehe 10 june,kwa...
kuna dogo mmoja anaomba ushauri kapata alama zifuatazo katika mtihani wa NECTA mwaka jana.,,,phy c,chem c,bios b,geo c,kisw b,b/maths b,civ d ,history e,engl c ,na ana div 3 ya 25,wana jf...
jamani hii tabia ya bord ya mikopo kukaa kimya bila kutoa taarifa yeyote ile kuhusu boom la wanafunzi wa chuo linaweza sababisha migomo isiyo na msingi kwa vijana wetu walio vyuoni kwani wengi wao...
habari wanajf, hivi kuna uwezekano wa mwl wa diploma kuchukua degree ya kozi nyingne tofaut na education kama accountancy au civil engnerng? Msaada wenu tafadhar
Wadau mimi ni mwanafunzi mwaka wa kwanza pale IFM mwaka jana niliomba mkopo ila wale majamaa wa bodi walinipiga chini sasa nimeomba tena ila kila nikiingiza zile code nilizotumiwa kutoka kwa M...
kwa wale wenyeji wa Mwanza hasa, nisaidie hili tafadhari,
napenda kufahamu kama chuo hiki kinatoa kozi za ualimu , hasa zile kozi za miaka mitatu
kwa upande wangu nina three point 29 ya Art, Aidha...
eti ili wawe wazalendo mbona hao wote waliopitia jkt zamani NDIO MAFISADI WAKUU na wasiokua na uzalendo kwa sasa.,....uzalendo haufundishwi mtu anazaliwa nao
....ILA WAPELEKENI TU MWAPE MAFUNZO...
SMART PHONE.....Ni kitu kiziru.......tena cha mhm unaweza tumia kusoma, unaweza fanya socialization ...kukamilisha mawasiliano na ndugu jamaa na marafiki;;;;pia kuna kurekod matukio muhimu katika...
Great thinkers sorry nilikuwa naomba msaada wa ushauri juu ya mdogo wangu aliemaliza form four mwaka 2013 na anataka soma certificate na diploma ya records n management so nilikuwa naomba msaada...
Jamaa yangu mmoja kanifuta na kuniomba msaada wa mawazo kwamba toka amalize masomo yake ya kidato cha nne mwaka 2004 matokeo yake yalikuwa mabaya sana, sasa ana make plan ya kurisit mwaka kesho...
Tukisema Elimu ya Tanzania CCM wameipeleka ICU wanafiki wanakataa na kuleta siasa kwenye Elimu.Mtihani wa utimilifu (mock) Darasa la saba mkoa wa Mwanza uliofanyika mei 21 na 22,2014 ulitolewa...