Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

ipi kati ya hizi iko poa zaidi ya ENVİRONMENTAL HEALTH SCİENCES WİTH İT YA RUCO VS ENVİRONMENTAL HEALTH SCİENCES YA MUHAS .
0 Reactions
0 Replies
772 Views
hii wilaya naona viongozi wengi ni makanjanja,tukutane saa tatu tuchukue hela&nauli zetu maana bila pressure wanasinzia sana.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ifuatayo ni ilani ya uchaguzi ya mgombea umakamo wa urais katika serikali ya DARUSO-DUCE. Hata kama wewe sio mwanduce ipitie uone jinsi huyu mtu alivyo hazina ya DUCE na hata jamii nzima ya kizazi...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wanafunzi 1,200 UDSM warudishwa nyumbani Wednesday, 09 February 2011 21:40 ZAIDI ya wanafunzi 1,200 wa shada ya kwanza katika Koleji ya Uhandisi na...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Naomba maoni yenu na ushauri. Je ni vizuri au vibaya kumchapa mtoto anapokosea? kwa nini? je ni vizuri au vibaya kumpa adhabu mtoto anapokosea? je kuelimisha na kueleza madhara ya kosa...
0 Reactions
31 Replies
9K Views
Nawakilisha, Kuna habari zimenifikia mida hii kutoka chuo kikuu cha Tumaini college ya iringa kwamba hari si shwari kuhusiana na utaratibu mzima wa uendeshaji wa kozi zake na hasa upande wa...
0 Reactions
14 Replies
14K Views
Nukuu hii hapa chini ni malengo makuu ya kuanzishwa kwa shule ya Southern Highlands School inayotoa elimu kwa kufuata mtaala wa lugha ya Kiingereza (English Medium School).Shule hii inamilikiwa na...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
na Sauli Giliard WATU watatu, akiwamo mwanafunzi wa kidato cha sita katika Shule ya Sekondari ya Azania, jijini Dar es Salaam wamekamatwa wakiwafanyia mitihani wanafunzi wa Chuo cha Usimamizi...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Wakubwa hebu angalieni hii dissertation halafu mnipe maoni yenu. Si lazima kusoma yote, kurasa chache tu humo ndani zitatosha kukupa mwelekeo!
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mabaki ya Buibui Yenye umri wa Miaka Milioni 165 yapatikana nchini China Mabaki ya Buibui yenye kukisiwa kuwa na umri wa Miaka Milioni 165 yaligundulika katika mkoa wa Kaskazini mwa China...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wadau toweni mawazo yenu utofauti uliopo kwa course hizo mbili katika usomaji na soko lake katika ajira mbali na kujiajiri mwenyewe
0 Reactions
1 Replies
3K Views
naomba kujua ada za out kwenye website yao hawajaandika hasa hasa Msc.in mathematics
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wanajamvi nimekuwa nikihoji kigezo cha GPA kuwa sifa yakufundisha chuo kikuu ila kwautafti wangu kuna watu wanafirst class zisizoendana na wanachokjua
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Kuna tetesi kuwa majina ya shule zinazoenda jkt mwezi juni yametoka,tujuzane wana jamvi maana tumbo joto.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
jamai naomba kujua sifa ya mwanafunzi kuingia kidato cha 5 mwaka huu
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wadau naomba ushauri,nipo katika mazingira ambayo naweza soma chuo kikuu huria tu(OUT)..pia nataka nisomo kozi kati ya hizo hapo juu kwa ngazi ya postgraduate diploma,lkn sijui ni ipi itakayo...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Ni baada ya kusubiri sana hatimaye matokeo yameachiwa. naona raia kimya sijajua ndo watu wanafurahia walichovuna au yale yale ya big result now.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
jamani naombeni. ivi nivyeti aina gani nivyamsingi kuambatanisha wakati unatuma maombi bodi ya mikopo.
0 Reactions
13 Replies
3K Views
jamani naomba kujuzwa qualifications zinazotakiwa ili kujiunga na mafunzo ya ualimu kwa wanafunzi waliohitimu kidato cha nne kwasababu kwenye tangazo wameandikwa mpaka waliopata division III So...
0 Reactions
16 Replies
28K Views
wana jf leo akatika pita zangu nimekutana na habari hii. http://ziro99.blogspot.com/2014/04/wanaotaka-kuwa-waalimu-wa-sayansi-sasa-html?m=1 je kuna atakayepata daraja la kwanza halafu aende...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…