katika hali ya kushangaza mkuu wa chuo cha saut mwanza ameachia cheo hicho baada ya kuona wanafunzi nane wamefukuzwa chuo bila utaratibu wowote,sababu nyingine ni kuwatoza wanafunzi penalty ya...
leo,mnamo saa tano asubuhi, tume ya uchaguzi ilianza mchakato wa kuwapata wangombea wa kiti cha urais, katika serikali ya wanafunzi wa chuo kikuu cha kumbukumbu ya sebastiani, mwenyekiti wa tume...
Poleni wadau mdogo wangu ana4 ya pts 26 Necta 2012! Anataka asomee ualimu grade A chuo Cha private. so naomben anayejua chuo chochote cha private bac aniambie!
Wasomi ebu nisaidieni kwanza jibu la hilo swali hapo chini ikibidi npe na sababu kwa nn unafkiri jbu lako kuwa ni sahihi,,,,,,,
She performed ___ the cultural programme that day.
(a) on
(b) at...
Naomba mnijuze ada mwanafunzi anachangia bei gani baada ya mkopo.
dogo anasoma hapo na hunipa bei mpya kila muhula . Kesha lipa laki 6 anadai bado 7. Ni kweli?
Wadau naomba mnisaidie katika hili.
Mwanangu ni amefeli kidato cha nne kapata daraja la nne na pointi 40,hataki kurudia (Kureset) sasa naumiza kichwa nimpeleke chuo gani aweze kujiendeleza...
Cku ya kwanza kuripoti afisa utumishi wa manispaa aliwaambia walimu wapya waliopangiwa shy manispaaa kwamba watapewa pesa ya cku 4,coz govt imetuma pesa nusu,wakapewa pesa ya cku 4 cku ya tar...
Naomba mtambue uwepo wangu hapa jukwaani..kwa sasa nimejirekebisha kiasi baada ya kuchezea supp za kutosha katika last semister exams.so kipindi hki ntakua mpole kwa kiasi flani.naomba ushirikiano...
Naomba mniambie wajuzi.
Katk haya matokeo mnaona ninafaa kwenda kuendelea a-leval au chuo..
Na kama a-leval nikasome comb gani?.na kama ni chuo nikasomee nini?
msaada please!
civics-c...
Jamani napenda kutoa ya moyoni kama kuna mwl. aliyepangwa mkoa wa Mtwara na anatoka NJOMBE/LUDEWA tubadilishane mie niende kwetu yeye aje LUDEWA, shule LUANA,KATA LUANA idara msing ni kama chache...