Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

ifuatayo ni orodha ya vyuo na kozi wanazotoa; UDSM-law,engineering,accounting MZUMBE-law,accounting ,human resource TIA-accounting DIT-tengineering SUA-veternary medicine,agriculture...
0 Reactions
38 Replies
23K Views
Wakuu mnaoifahamu hii faculty ipi kati ya hizi ni specialization nzuri in term of market and salary? 1.microbiology and immunology 2.Haematology and immunohaematology 3.Histo and cytopathology...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kumekuwepo na wimbi kubwa la watu na hata mada zikibeza na kutilia shaka uwezo na ubora wa vyuo vya binafisi kiasi cha wengine kuviita majina ya ajabu ajabu. kwa mkutadha huo nimeona bora...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
mfumo wa elimu yetu ya tanzania unatambua masomo matatu kwa kila combination. mfumo wa kujiunga chuo kikuu unataka ufaulu wa masomo mawili tu. Vitivo vyuo vikuu vinataka masomo mawili tu. KWA NINI...
0 Reactions
67 Replies
16K Views
kesho natarajia kuanza field ya education hiv kuna changamoto gani nitakazo kutana nazo na nitazikabili vipi
0 Reactions
14 Replies
2K Views
jaman ss wahanga wa ajira mbona wizara ya elim ime2sahau san au hawajui mchngo we2 ktka nchi hii, mwnye update 2julshane
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Ndugu wana Jf; Naomba kujua kama kuna hiyo kozi Mzumbe (Masters of Arts in Language mgt) naomba nijue na sifa zake au chuo kingine kinachotoa hiyo kozi. Nawasilisha
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama ilivyo kwenye board za mazao kama bodi ya kahawa,bodi ya pamba,korosho n.k. Kama ilivyo kwenye majeshi kuna Jwtz,polisi magereza,uhamiaji n.k. Hata walimu tutenganishwe katika chama wale wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hongereni sana kwa kuchaguliwa chuo cha usimamizi wa fedha, chuo hiki kipo katikati kabisa ya jiji la Dar es salaam, kipo mkabala na Jumba la makumbusho ya taifa. Taaluma. Chuo kwa asilimia...
1 Reactions
74 Replies
13K Views
MWANAFUNZI aliyemaliza kidato cha sita katika shule ya sekondari Saronge, iliyoko mkoani Kigoma na kuchaguliwa kwenda chuo kikuu kwa ajili ya kuanza masomo ya mwaka wa kwanza katika kipindi cha...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Wakuu MZUMBE UNIVERSITY ni chuo bora sana hususan katika course za BAF(B,ACCOUNTING&FINANCE),HRM,NA LL,B kinachukua wanafunzi wazuri sana na wenye ufaulu mzuri kwenye hizo kozi na pia hapa MZUMBE...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
1.Harvad university..2.MIT(massachusetts institute of technology...3.Stanford university...4.University of cambridge..5.University of Oxford.. 6.Calfonia University,Berkeley...7..Princeton...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Tumebishana sana leo na mwalimu fulani wa kiingereza,kuhusiana na matumizi ya misamiati hyo tajwa, wakuu ebu ondoeni utata ili nimsaidie huyu mwalimu!
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Ifm student information system is undermaintanance anytime 2tawaachia matokeo yenu
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu! Mimi ni mwana chuo wa mwaka wa kwanza chuo cha ufamasia kilichoko Kimara Dar jina kinaitwa Paradigms. wakuu naombeni msaada kwa yeyote mwenye notes za second semister...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari ya majukumu wanajamvi. Me nilikuwa na wafadhili wangu toka p/school hadi A'level lakini ikafika mda mawasiliano yakakatika kabisa na mpaka sasa sijui wa hali gan. Mara nyingine nakosa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Eti wanajamvi form za kujiunga na dit tayari zimeshatoka?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu, kuna kitabu ninacho hapa kinaitwa "UTIMILIFU WA MVULANA". KIMEANDIKWA NA WILLY M.T.SLAA WA S.L.P 49 MBULU. KIMECHAPWA TAR.25.3.1982. ILA KIMEANDIKWA MARCH 1981 HUKUO PONTIFICAL URBAN...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Wakuu nawasalimu,mimi huwa napenda sana kujisomea vitabu mbalimbali,so kwa mtu yeyote alie na kitabu ambacho anajua ni kizuri na kimemsaidia kumpa vitu fulani vipya katika maisha yake,iwe ni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wana jf Nimekuwa nikitazama mara kwa mara kwenye picha mbalimbali za vyombo vya habari nikagundua wanawake wengi wakuu wa wilaya na wabunge wa viti maalum karibia wote ninaowafahamu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…