Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Tafadhali naomba msaada kwa anayesoma udsm au mtu yoyote au lecturer, anipositie course content ya MA PROJECT PLANNING AND MANAGEMENT. asante kwa msaada wako.
0 Reactions
3 Replies
917 Views
BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA UFAFANUZI WA MASWALI MBALIMBALI YA WADAU WA ELIMU KUHUSU MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO...
2 Reactions
28 Replies
15K Views
wana Jf mimi binafsi nilijua mwenye ufaulu E na kanafuu kidogo kuliko aliyepata F na kama ni hivyo ni kwanini watumie madaraja mawili. UFAFANUZI WA MASWALI MBALIMBALI U YA WADAU WA ELIMU...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
s vibaya
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kesho ndo siku ya mwisho kulipia ada ya mitihani ya kidato cha iv hivyo kama hujalipa ilipe hiyo kesho ili kuepuka faini
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mr and mrs wote wakiwa walimu mwanza jiji wanataka kwenda manispaa ya morogoro kwa waliotayar wawasiliane nao kupitia 0716465959
0 Reactions
0 Replies
637 Views
Siku hizi chekechea hadi katika nyumba za watu uswahilini huku wazazi wakikomaa kupeleka watoto nursery waje wajitegemee na kujiajili. Hakuna kimbilio mkamate elimu, ukimuacha aende zake utaipata...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu zangu walimu wa Subira wenzangu taarifa ya naibu waziri Jenista kama ilikua ya ukwel japo wengi tuliipinga ..kwa Mujibu wa gazeti la Leo la Uhuru ni kwamba serikali ishakamilisha kila kitu...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Kama kuna mwenye taarifa kuhusu wale walio appeal atuambie ule mchakato wa kuappeal umefikia wapi maisha ya chuo bila mkopo ni magumu sana
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana jamii wenzangu naomba nisaidiwe maana nkila application ambayo nai downlod kwenye sim yangu nikiifungua naambiwa niweke Zip Code jee hii Zip code ni kitu gani naomba msaada wenu.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hili huwa haliishi kunishangaza! Mfano,Upper second ni 3.5-4.3,sasa mtu akipata GPA 3.4998,nilitegemea itakuwa 3.5,lakini badala yake inakuwa 3.4[truncation]! Kwanini Universities ziliamua...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
nina mdogo wangu wa kike naishi naye hapa kwangu na amemaliza diploma mwaka jana maana yeke naye anasuburi ajira, lakini sasa katika mtihani wake alipass akapata gpa 2.6 kwa mitihani yao ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari nilizozipata hivi punde ila hazijadhibitishwa ni kuwa kuna mwalimu mmoja wa shule ya msingi Mbuyuni , mtaa wa Magulumbasi ulioko Manispaa ya Morogoro (jina ninalihifadhi mpaka ushahidi...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
wale tuliosoma kidato c vbaya kama tukakumbushana skuli yetu kama vile mboko za ticha mmari inno , mwakibete na ndemandema na vitu vingne pamja na tcha kapele
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani wana janvi mnaweza zani utani kumbe kweli. Shule ya Msingi Jumakisiwani iliyoko Kata ya Katunguru wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza nchi ya Tanzania. Shule hii haijawahi kuwa na mwalimu wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Et wana jf kuna kijana amepata div 3 ya 25 na katka komb lake la kwanza alilochagua yan egm ana c ya geograph na b+ ya math je anaweza pata shule nzur ya a-level?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wana jamii. Moyo Business Networking and Info-Consult Tunatarajia kufanya workshop katika vyuo vikuu kadhaa hapa nchini kuanzia mwishoni mwa mwezi March. Tumepanga kuanza na SUA ambapo...
0 Reactions
0 Replies
742 Views
Wadau mwenye taarifa za kina kuhusu scholarship za china zinazotolewa na hii wizara anifahamishe kama tayar zishatolewa..asanten
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Heshima mbele wakuu! Matokeo ya O level 2013 yametangazwa na kumezuka taharuki juu ya ongezeko la ufaulu kwa over 15% na madaraja mapya ya div 1V ya 46 na div 0 ya 41!! Karibu tufuatane kwenye...
5 Reactions
61 Replies
16K Views
Wadau habarini za asubuhi,..naombeni mnisaidie vyuo ambavyo vinatoa corse ya medical assistant kwa ngazi ya cheti dar es salaam na nnje ya dar.!!.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…