Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

wizara imetoa amri kila mtoto wa kidato cha pili mwaka 2013,aliyepata alama za wastani wa 20-29 kuendelea na kidato cha 3. swali..1.HIVYO VIPINDI VYA ZIADA NANI ATAFUNDISHA? 2.NANI WA KULIPA HAO...
0 Reactions
0 Replies
967 Views
kwenye hotuba yake ya mwezi uliopita J.K alinukuliwa akisema serekali itaajiri walimu zaid ya elfu 30 mwezi wa januari..... ili januari ndio hiyo inaaga. dah.. tired!!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
mkoani Arusha,mashule mengi ya private walimu wanaofundisha pale ni wa kutoka kenya na ukizingatia wanajificha kutokana na kua hawana uraia hali hii inazuia vijana wa tanzania kupata kazi ktk...
0 Reactions
0 Replies
882 Views
Ni wapi elimu ya tanzania inapoelekea? kama elimu imebadilishwa kuwa kama mchezo wa kuigiza, mabadiliko yanafanyika kimya kimya tu, na kwa namna hii inaonesha kabisa kudorora katika sekta hii. our...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
salaam wana.jf kuna mtu wangu wa karibu kaletewa cheti cha ualimu ila kimeandikwa daraja A. je,hilo daraja ndio linafaa kufundishia au nini? __anaweza kuajiriwa ualimu? na je waalimu...
0 Reactions
6 Replies
12K Views
Serikali yetu imeona kuna umuhimu wa kuwasaidia wanafunzi wa vyuo vikuu kwa kuwapa mkopo ili waweze kujikimu kwa muda wote wa masomo, cha ajabu hawa waganda wao hilo hawalioni wanachojali ni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
HABARI ZENU WANA JF, Tumesikia sana kuhusu suala la ajira mpya za walimu,labda niseme tu kuwa ajira zetu zipo cha msingi tuwe wavumilivu, na inawezekana hata...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Ugomvi mkubwa watokea chuo cha st.joseph songea mhindi mmoja amepata kipondo kutoka kwa wahindi wenzake baada ya kukataa shinikizo la kusaini barua ya kufukuza wanafunzi 25 chuoni akimbilia kwa...
4 Reactions
45 Replies
6K Views
Jamani napenda kujitokeza hadharani tena peupee na kukiri mbele yenu kabisa kuwa,mimi ni mwanafunzi wa Kidato cha Tatu niliyefaulu kwa Mbinde lakn mwaka huu umekuwa wa neema kwangu.Nimeingia F3...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ngugu wana Jv naombeni mnijulishe juu ya kiwango cha elimu itolewayo na chuo cha Taifa cha usafirishaji (NIT)na hadhi ya chuo,Ushauri wenu ni muhmu ili niweze kufanya maamuzi yalio bora, nataka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Anayetaka kuhamia chunya. Kutoka wilaya za kibaha mjin, moro mjini na Dar tuwasiliane!!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tafadhali naomba msaada wa kutambua topic za francais kwa shule za secondary.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kimepita kipindi kirefu kidogo toka wawaambie wanafunzi walionyimwa mikopo ya Elimu ya juu kukata rufaa ili wafikiriwe upya. Na kama kawaida maombi hayo yaliambatana na fee ya shs 5000. Jambo la...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Get your Home Based Job Guranteed Today and earn upto 9000$ Weekly - InternetDuty.com
0 Reactions
0 Replies
890 Views
Nipo idara ya sekondari BAGAMOYO natafuta mtu wa kubadilishana nae kutoka, KILOMBERO au MOROGORO MANISPAA kwa mawasiliano (0783476711)
0 Reactions
0 Replies
734 Views
Wadau mtu wa 10 sasa aniambia kuwa ajira znatangazwa trh 26JANUARY, je kunaweza kukawa na ukwel wowote ule? 2juzane bac wadau plz....
1 Reactions
81 Replies
14K Views
Ikiwa imebaki wiki moja ili awaye mwnachuo wa chuo kikuu cha taifa (UDSM) aingie kwenye mavuno ya alichokipanda kwa muda wa miez minne ilopita i wish u a nice and prosperous preparation of UE...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
mwendo wa dics modo chini travoo afu kitu mlege , kuingia shule saa 3 asubuhi , notsi anaandika dent, kufundisha dakika 10 zilizobaki story za mapenz na mpira ligi ya England, madent wazur wa kike...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Cfa
Nahitaji msaada wadau kuna yeyote anaweza nisaidia kujua vitua vya tuition na mitihani ya certified financial analyst hapo dar es salaam
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…