huu ni mfano wa namna baadhi ya wawekezaji hawa kutoka asia wanavyojaribu kuwateka wenzao kutoka ng'ambo na kisha kuwageuza watumwa katika ardhi yetu ya tanzania. huyu ni dean fo student ambaye...
In the next 30 seconds you will, on average.... 1) Take 8 breaths. 2) Produce .3 grams of carbon dioxide. 3) Your heart will beat 36 times. 4) Produce 72 million red blood cells. 5) Your blood...
Come and join the FUN!! ↓
→UHURU WALK & TREASURE HUNT 2014.
Febuary 2nd 7A.M 6.5KM
Giving orphans a chance for better tomorrow!!
Take a step forward & contribute from Tsh 5,000/-...
Napenda kuchukua nafasi hii kuwatakia kila la heri wanachuo wote wa Chuo kikuu cha Arusha
University of Arusha katika mitihani yao inayotarajiwa kuanza apo kesho tarehe 27-01-2014
katika...
wakuu naomba kuuliza wapi vitabu vya anatomy na physiology kwa level ya diploma vinapo uzwa kwa upande wa dar es salaam na vina fikia shilingi ngapi au kama kuna wepsite ambayo naweza soma hayo...
Nimesikia jana RFA wakisema mbunge wa Vunjo DR. Augustine Lyatonga Mrema amfagilia Kikwete ndio nikastuka kwani sikuwa najua kuwa jamaa kasha ukwaa udokta. Sasa sijajua kama ni wa kusoma na...
Ivi kuchukua wanafunzi wenye wastani wa 20 hadi 29 na kuwaacha waingie kidato cha 3 kwa kisingizio cha mafunzo maalumu mmeshajiuliza watafanya saangapi, lini na wakati gani, kweli alieomba chumvi...
Mgomo wa wanafunzi wa chuo cha St Joseph Songea unaoendelea na kupelekea chuo hicho kufungwa, umepelekea mmoja wa Walimu wa chuo hicho kutoka India kupigwa na wakubwa zake wa kazi kwa kile...
Dear friends I would like someone who knows about assistantship procedures application in the us or else and how it can help you pay your tuition fee &accomodation
"Elimu yetu ipo shakani, sasa hivi mtu mwenye shahada mbili analingana na mtu wa darasa la nne la zamani"
Hii ni kauli iliyo ongelewa na mtanganyika mwenye shahada tatu (Phd).
Alichokizungumza...
Wandugu, mm nmezaliwa enzi za mwinyi kipindi ambacho darasa la nne la zamani linalosifiwa na babu zetu halikuwepo, sifaham ubora wake kiujumla, ila kila mzee analisifia kwamba ni bora sana kiasi...